Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo Kwa maoni yako unataka hizo takwimu zitolewe na nani Ili uziamini..., hivyo vyanzo huru vya kutoa takwimu ni kama vipi..,hebu vitaje hapa[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha vita iendelee takwimu halali zitaonekana tu baadaya muda kama zile za mass grave kwenye maeneo yaliyokuwa occupied na russia
 
Usiwe kama kipanya nchi mnapoteza ardhi mbele ya russia bado mnathubutu kusema russia anapiga mikwara? Ingizeni pua zenu on ground mkakutane na wanaume halisi battlefield
 
Kwani ujui kinacho wapata nato hadi wameapa kuficha makabrasha ya siri kuhusu vipigo wanavyo pokea tayari Marekani kapoteza makomando 1,200 na NATO tayari imepoteza wanajeshi 13,300 mpaka sasa
Ha ha ha ha hizi hbr zenu jamani
 
Wanajeshi wa Ukraine wanapigana Kama wavetinam wa kwenye muvi za chuck Norris bomu Moja LA mkono wanakufa mia
 
Warusi wamechukua kijiji cha Vodyane maeneo ya Donesk.


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]




 
Vikosi vya Urusi vimeingia kwenye kijiji cha Pervomaiske .

ila mapigano bado yanaendelea ya kuwafukua kabisa wanajeshi wa Ukraine katika kijiji icho.


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Panya ujue kabsa,
Yani hata wakileta inayoitwa Adam itapigwa tu,kipigo kipo paleplea
 
NATO kuingia uwanjani kupambana na urusi ni sawa na kumuua nzi kwa lisasi.., urusi ni mwepesi mno na ndio maana imeonekana kwamba size yake ni ukraine tu ameweza kummudu vizuri

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ila Iraq,Libya,Afghan Ilikuwa kumuua nzi kwa kutumia Nini?
Ukraine anamuweza wakati hali Tete,watu wamekimbia nchi,nchii imegeuzwa magofu!
Imebaki ni west kulalamikia Russia Kwa war crimes,ingekuwa ni Libya au Iraq vimevamia nchi rafiki wa west basi tungeona ambavyo wangekimbia kusaidia haraka Kwa kuingia front!
 
Unadhani Urusi ni Marekani iliyofukuzwa Afghanistan na Libya eti, Rudi kwenye history
 
Nimekwambia ulete hivyo vyanzo vya habari vya kuaminika badala yake unazunguuka Ili mradi tu uonekane umetoa hoja,mahajabu haya[emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe ndio huelewi hoja hapa,usitegemee habari za west,Ukraine au Russia kuwa kweli mara zote hasa wakati huu wa vita!
Au hujui kusoma between lines!
Swali,utaipata habari ya kweli kutoka wapi?Jibu ni kuwa Kwa Sasa huwezi kujua!Muda ndio utajibu!
 
Kuna jamaa alikuwa Usalama Marekani, anaitwa Scott Ritter, ingieni YouTube msikilize wacheni upro-nato wa mchungo na ushabiki wakiduanzi tuwe objective hii vita ukraine hashindi na anglo saxons (EU & USA) wameongea pia source ingine ya info ni YouTube channel inaitwa Riddacted hii ni ya marekani hawa nao wako poa Ila wanaikosoa sana marekani politically, socially na economically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…