kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ngoja viingie field ndio utajua hivyo ni vifaru vichache au lahBBC ebu muwe na aibu kidogo kwa habari zenu mnazozitoa[emoji23][emoji23][emoji23].
Yani vifaru 14 vya kuita vifaru vingi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].View attachment 2494164
Turkey tayari wamesema kuwa hawata shirikiana nae na wala hawataunga juhudi za yeye kujoin NATO.Ila hapa Sweden [emoji1236] wameingia chakike aisee, Kuchoma Quran ndo kumezidi kuchochea nchi nyingi asa za kiarabu kuiona NATO ni anti-islamic organization, na sijui Kama Turkey [emoji1250] wataidhisha membership ya Sweden kujiunga na NATO.
Tutaaminije kwamba hapo ni Kramatorsk,Ukraine wameanza kuchimba mitaro kwenye mji wa Kramatorsk.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2494173View attachment 2494174
Stress tupu
Propaganda as usual [emoji28] tatizo Huwa mnatoa report Kwa wingi tu, lakini uhalisia kwenye uwanja wa vita unawaumbua,Vikosi vya Urusi vimeingia kwenye kijiji cha Pervomaiske .
ila mapigano bado yanaendelea ya kuwafukua kabisa wanajeshi wa Ukraine katika kijiji icho.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2494210
Niwe na stress wakati warusi walifurushwa huko Kyiv, khakivu.lyman , kupyansk,, Snake island kheson na kwingineko..,wewe ndo una stress baada ya huyo super pawer wenu wa kuchonga kuwa-dissapoint balaa[emoji28]Stress tupu
Hakuna chochote kilichojibiwa..,wote wanaendelea kuchinjwa tu🥱🥱Mobilization imejibu
Onyesha sehemu tulipoumbuka.nilitoa taarifa ya Soledar kuanguka.vipi bado haijanguka[emoji23][emoji23][emoji23].Propaganda as usual [emoji28] tatizo Huwa mnatoa report Kwa wingi tu, lakini uhalisia kwenye uwanja wa vita unawaumbua,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe unayesubir kuletewa ugali na mumeo ndio unaweza kuwa na stress labda[emoji28]Stress tupu
Unafurahisha kweli.[emoji23][emoji23][emoji23] uwoni aibuHakuna chochote kilichojibiwa..,wote wanaendelea kuchinjwa tu🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo soledar labda unaongelea soledar ya Kwa mpalange..,mmejaribu kupiga propaganda zenu kwenye media lakini kihualisia soledar inabaki kuwa mikononi mwa vijana wakakamavu wa rais zelensiky [emoji16][emoji16]Onyesha sehemu tulipoumbuka.nilitoa taarifa ya Soledar kuanguka.vipi bado haijanguka[emoji23][emoji23][emoji23].
Wewe ndio unafurahisha na hizo ramani zako za mchongo [emoji16][emoji28]Unafurahisha kweli.[emoji23][emoji23][emoji23] uwoni aibu
Wewe ndo unaongea maneno matupu basipo hata ushahidi.unasema Soledar ipo kwenye mikono ya vikosi vya Ukraine.ila ukiambiwa ushahidi unatoka nduki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Propaganda as usual [emoji28] tatizo Huwa mnatoa report Kwa wingi tu, lakini uhalisia kwenye uwanja wa vita unawaumbua,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ushaidi unaouongelea hapa ni kuleta hizo ramani za mchongo kwa wingi.,sio??Wewe ndo unaongea maneno matupu basipo hata ushahidi.unasema Soledar ipo kwenye mikono ya vikosi vya Ukraine.ila ukiambiwa ushahidi unatoka nduki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiongee ovyo weka ushahidi wakuonyesha bado ipo kwenye mikono yenu.kama hauna basi sioni tofauti kati yako na Ashura wa Buza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo soledar labda unaongelea soledar ya Kwa mpalange..,mmejaribu kupiga propaganda zenu kwenye media lakini kihualisia soledar inabaki kuwa mikononi mwa vijana wakakamavu wa rais zelensiky [emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app