MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,152
- 3,967
Kwahiyo anaposema kwamba vifaru vya Magharibi vitachomwa Moto anamaanisha Nini? Anataka visitumwe au? Nchi za kijamaa zinatambo nyingi Sana.Ushawahi kusikia wapi Mwanasiasa wa magharibi akiingia frontline vitani? Au unajitoa ufahamu?
Tank za kijinga tu hizo bora hata za urussi t90ms kuliko huo uchafuHizi tanks mbona zimekuwa mjadala sana jamanii, kuliko?? [emoji23][emoji28][emoji28][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Atuja sifia tumesema ukweli ...uwezo wa himars ni mkubwa kuliko hivyo vifaru huo ndiyo ukweli sasa kama himars zimeshindwa unategemea hivyo vifaru kuweza kituHIMARS siku zote si mlikuwa mnasema hazijafanya chochote huko front line?? Leo hii mnaanza kuzisifia Ili mtumie mgongo huo kuviponda vifaru hambavyo viko njiani ,sio? [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani alikimbia kherson mwenyewe Tena akakimbia mwenyewe bila kufukuzwa."Hakuna taifa lilishakutana na vita ambayo anapambana Russia tokea dunia ianze!"
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota.
Yani Russia anapigana na Ukraine Peke yake lakini mpaka Leo anahenya maana Marekani na NATO hawana majeshi huko, utafananisha na Ujerumani ambayo ilichangiwa na mataifa yenye nguvu yakiwa na majeshi Yao?!
Hii Russia ilikua ikiogopwa kabla lakini baada ya vita hii imeonyesha ni Simba wa karatasi.
"Victory is inevitable!" - halafu akakimbia Kherson ambayo alipiga Kura na kusema ni sehemu halali ya Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hiyo si biashara tu hiyo mifumi ina software unaweza kuuziwa kumbe software yake uliyo pewa ni lowerKama urusi alivyokuwa anasingizia Ile mifumo ya ulinzi wa anga iliyotumwa Syria kwamba wasyria hawajua kuzitumia.., kumbe mifumo yenyewe makopo tu [emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama tank zime jikusanya 3 kwanini tusitumie ni boom boom [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95] tuUtumie hypersonic missile kukaanga tank,kuwa seriously mkuu [emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nilikuuliza kutaka kufahamu tu kwamba umepata wapi hiyo hoja lkn Haina maana kua ulichosema ni sahihi....Look for real knowledge,utaipata.Huwezi kuangalia BBC,Aljazeera,SkyNews,CNN,CGTN News,CBS, Bloomberg utegemee kuyapata haya,hawatakupa kwa kuwa inaumbua the backbone of their faith.
Kumbuka kwamba owners wote wa Main Stream Media ni Satanists without exception.
Peskov kalewa vodka, Balozi wa Urusi nchini Ujerumani ameijia juu Ujerumani kwa kupeleka vifaru hatari huko Ukraine. Kasema vifaru hivyo si kuwa vitaua tu askari wa Urusi ila na raia pia. Kaongeza kuwa Ujerumani imesaliti maelewano ya siku nyingi na Urusi.Msemaji wa Urusi Dmitry Peskov ametoa maoni yake juu ya uwezekano wa kupelekwa wa vifaru vya Abrams vya Marekani kwenda Ukraine, akisema kwamba vitateketezwa kama vifaru vingine vyovyote.
"Ni kwamba tu kwa upande wa kiteknolojia, huu ni mpango ulioshindwa, na muhimu zaidi ni kukadiria wazi uwezo ambao itaongeza kwa vikosi vya kijeshi vya Ukraine. Huu ni udanganyifu mwingine mbaya sana," aliwaambia waandishi wa habari siku ya Jumatano.
Kulingana na yeye, maoni ya mamlaka ya Urusi yanashirikishwa wataalam, lakini hawakufafanua ni nani hasa.
Awali, Peskov alizungumza hivyo hivyo juu ya kupelekwa kwa vifaru "Leopards" vya Ujerumani huko Kyiv.
"Tumesema mara kwa mara kwamba vifaa kama hivyo havitabadilisha chochote, lakini vitaongeza matatizo kwa Ukraine na kwa watu wa Ukraine," alisema wiki iliyopita.
Wataalamu wa nchi za Magharibi, wakati huo huo, wanaamini kwamba vifaru vizito vya Ujerumani na Marekani, pamoja na Challenger-2 ya Uingereza, uhamisho ambao London ilithibitisha katikati ya Januari, itaruhusu Vikosi vya Wanajeshi kuachana na kudhibiti wanajeshi wa Urusi hadi kuanza kuwafukuza nje ya Ukraine.
Kwahiyo mjadala unafunga Kwa mtoto wa Putin?πππ,Ujinga mzigo!Mtoto wa kike wa Putin kasoma Europe na mpaka sasa anaishi Europe wewe una compare wester countries na Russia kenge wewe
Unajua lakini jeshi la Russia liko nchi ngapi Africa na kwingineko?πππMpaka hao wanaomba msaada Kwa Putin wanajua kuliko weweπ€π€Huyo Putin wanayemlilia ya kwake yanamtoa kamasi [emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umesahau soledarWakati nyie mnalinga na hiyo soledar, Ukraine tunalinga na
Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]
Khakivu[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Kheson city [emoji56][emoji56][emoji56]
Izium [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Snake island [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]
Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Hamuoni kwamba mnatia aibu wakuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe utakuwa simu ya mchina 4sim card net search."Hakuna taifa lilishakutana na vita ambayo anapambana Russia tokea dunia ianze!"
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota.
Yani Russia anapigana na Ukraine Peke yake lakini mpaka Leo anahenya maana Marekani na NATO hawana majeshi huko, utafananisha na Ujerumani ambayo ilichangiwa na mataifa yenye nguvu yakiwa na majeshi Yao?!
Hii Russia ilikua ikiogopwa kabla lakini baada ya vita hii imeonyesha ni Simba wa karatasi.
"Victory is inevitable!" - halafu akakimbia Kherson ambayo alipiga Kura na kusema ni sehemu halali ya Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]