Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyo suapapawa halisi hapo kwa gadafi kaenda na NATO nzima, Iraq alipigana miaka nenda rudi akisaidiwa na Fance na German na UK🤣🤣🤣 hapo Afghanistan Taliban wamemfurusha kakimbia kama mwizi au tukuwekee video
Talban hawajawafurusha USA na NATO na wala hawakuwahi kuwafurusha warusi mwaka 1989!!!!Tatizo wabongo mna ushabiki wa kitoto afu mnachanganya na hisia za kidini na mahaba ya umashariki na umagharibi!!!!Weka hiyo video tuitazame na tuchambue kaka!!!Tuna wataalamu wa kijeshi hapa JF watusaidie kutueleza kitaalamu kama Taliban waliwafurusha NATO na utuwekee pia video za mwaka 1989 wakati majeshi ya urusi yanaondoka kabul kuwapisha hawa hawa mujahedeen a.k.a Talban tuone kama walifurushwa pia kaka!!!!
 
Achana na historia ya 89 nazungumzia majuzi hapa talibani walipochukua utawala wa Afghanistan
 
Bado ameongea Maneno ya kujihami.

Inshort magharib unatumia nafasi kutest teknolojia zao.


Maneno haya yamenisononesha Sana...


Nanukuu..."Tumesema mara kwa mara kwamba vifaa kama hivyo havitabadilisha chochote, lakini vitaongeza matatizo kwa Ukraine na kwa watu wa Ukraine.."

ni Kweli Ukraine itaangania mazima
 
Achana na historia ya 89 nazungumzia majuzi hapa talibani walipochukua utawala wa Afghanistan
Nimekukumbushia mwaka 1989 pale mujaheedin a.k.a talban walipochukua madaraka maana style waliyoondoka warusi kabul mwaka huo ni sawa na hii waliondoka NATO kabul!!!!Je huko ndio kufurushwa??????Kabla hujaleta video ebu kaangalie videos wakati warusi wanaondoka kabul kwanza mwaka 1989¡!!!!Afu leta hizo vodeos zako tuzichambue kitaalamu hapa JF
 
Hiyo ya 1989 utaileta wewe mi ntakupa ya motooo majuzi walipokimbia na kuacha silaha zao bahati waling'oa some sensitive parts otherwise zingekuwa mikononi mwa Russia
 
Pia ieleweke hakuna askali hata mmoja wa urusi aliye vitani, jambajba z ote hizi wanahangaika nanwanamgambo waliopatiwa mafunzo wiki 2 na kwenda vitani. Jeshi lote la urusi wanasubiri mashoga walete pua zao wadili nao
 
Kama Himars ziliwarudisha nyuma Russia vipi hivi vifaru [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi vifaru vinapewa sana airtime ila ufanisi wake kwenye battlefield soon utaonekana.

Kama vilishindwa kazi mbele ya vikundi vya waasi sasa ngoja tuone vikikutana na jeshi.

Ni wakati mzuri wa Leopard 2 kukutana na Kh-22, muda utatoa majibu.

Daily mail wanakwambia vilikua embarrassed in Syria
 
Pia ieleweke hakuna askali hata mmoja wa urusi aliye vitani, jambajba z ote hizi wanahangaika nanwanamgambo waliopatiwa mafunzo wiki 2 na kwenda vitani. Jeshi lote la urusi wanasubiri mashoga walete pua zao wadili nao
Yah, inaonekana hivyo...acha timu upinde liwakute jambo.. Putin kajipanga tangu kitambo.

Mlipolalia, ndipo wenzenu walipoamkia.
 
Ngoja, hivi vinaenda kutaga tu frontline...hakuna kitu .. Zelensky anachezewa akili ila alivyokilaza haelewi, anafikiri ni upendo
 
Jana Putini alisema uwezo wa Urusi kuzalisha silaha ni sawa ama unakaribia uwezo wa Mataifa yote Duniani..

Kifupi Urusi adui yake ni Mataifa yote ya Ulaya.

Nchi za Ulaya anahesabu kama majimbo ya Marekani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…