😃😃,Mimi nimekutajia mtoto aliyezaliwa Russia,akasomea Russia na Sasa ndio too of the game!The best in the world,kama umeumia pole!Unaulizwa hili unajibu Lile, sidhani kama uko sawa kichwani aisee[emoji28]
Swali ukiwa hujui sema sijui kuliko kujibu utopolo, vinginevyo utaonekana mwehu[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Anaombaomba huku akiendelea kuwachinja askari wa super pawer..,Jana tu aliwachinja zaidi ya 900 ,,Bora aendelee kuomba tu kama matunda ya kuomba ndio haya[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivyo vita vyao ULAYA hakuna vita vya Dunia ....Napata wasiwasi hii kitu inaweza kwenda kwenye WWIII kwasababu hakuna anaekubali kushindwa na kwa sasa inaonekana kama matokeo yoyote ya hii vita iwe ni collective West/ Ukraine kushindwa ama Urusi kushindwa yote kama yatasababisha vita ya tatu.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unamjua former secretary of state wa US,Condoleezza Rice?Badala ya kutuletea mipasho ya pwani Tutajie candidate hata mmoja maalufu kutoka west aliyesomea urusi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimeshakujibu!Unaulizwa hili unajibu Lile, sidhani kama uko sawa kichwani aisee[emoji28]
Swali ukiwa hujui sema sijui kuliko kujibu utopolo, vinginevyo utaonekana mwehu[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sidhani kama ni uwezo wa kurusha makombora nadhani huo ni uwezo wa kusafiri bila ya kutia mafuta kp kipanya44Duh! Ni hatari sana, kwa maana hiyo ni kama Ukraine kapewa uwezo zaidi..,akitaka kuyangurumisha mpaka hapo clemlin ni juu yake[emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni hiari yako uwe mtumwa/mtembeza bakuli/mtoa shukrani hakuna mtu atakae toka nyikani kukusaidia wewe zaidi ya wewe mwenyewe kujisaidia na kubadilisha fikra zakoUnashauri Nini Kwa sisi watz ambao tumekuwa tukitembeza bakuli?Tuendelee na moyo Huo Huo wa shukrani na kuwa watumwa milele ama?
Nyinyi wapumbavu hakuna tank inayo weza kushambulia umbali huo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo ni uwezo wa kusafiri bila ya kujaza mafuta hizo abram kama zinashambulia si zaidi ya km 10 kumbe wewe kipanya ujui chochote nimecheka sqna [emoji1787][emoji1787] hivyo ni vyuma chakavu hata asilimia 10 ya uwezo wa himars havina poleni sana kwa ujinga [emoji1787][emoji1787]Duh! Ni hatari sana, kwa maana hiyo ni kama Ukraine kapewa uwezo zaidi..,akitaka kuyangurumisha mpaka hapo clemlin ni juu yake[emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mmekunata wote machizi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani kifaru kirushe kombola km 500.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekuwa balistic au.Duh! Ni hatari sana, kwa maana hiyo ni kama Ukraine kapewa uwezo zaidi..,akitaka kuyangurumisha mpaka hapo clemlin ni juu yake[emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa hapa Cha ajabu ni Nini?Huu ni ukweli ambao supa pawa wa mchongo na wafuasi wake wa buza kwa lulenge hawapendi kuusikia
Kwa hiyo hivyo vifaru vyenye kupiga umbali wa kilometa 3 hadi 4 ndiyo vitamweza mrusi [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Wanajipa matumaini tu Hawa pro Russia, mziki wake wanaujua vizuri tu..,Sasa hivi wameanza kuzifia HIMARS kwamba ni silaha Bora kuliko hizo leopard [emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa Sasa wanasonga nyuma kufukua makaburi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipanya 44 ameamua kufufua makaburi.kwa iyo kwa sasa mnasonga mbele sehemu gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi ile kauli bado ipo.(Vita ilianzia Crimea na itaishia Crimea)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ashura manga wewe[emoji1787]
[emoji1787]kunamtu kawadanganya nato wa jf kuwa vifaru vinavyo pelekwa ukrain vinauwezo wa kushambulia umbali wa km 500 hadi km1000 wakati huo ni uwezo wa wa hivyo vifaru kusafiri bila ya kuongeza mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]vifaru vyenyewe uwezo wake wa kushambulia ni km3 hadi 6 tuVikosi vya Ukraine vikiwa vimetelekeza vifaa vya kijeshi uwanja wa Vita.inaonekana kuna shida sehemu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Yani kifaru cha kupiga shabaa umbali wa km 3 had 4 ndiyo umeona vinaweza kumsumbua mrussi wewe kweli ni bwege[emoji1787]Nenda kabet tu, huku unapotea.
IFV, Vifaru, himars ni vitu tofauti kabisa
Sasa matusi yametokea wapi au watak uwe namba 165?Yani kifaru cha kupiga shabaa umbali wa km 3 had 4 ndiyo umeona vinaweza kumsumbua mrussi wewe kweli ni bwege[emoji1787]