Vifaru vyenyewe vinashambulia umbali wa km 3 tu bora zile himars zao [emoji1787]Vitafumuliwa na drones za dollar elf mbilimbili. Zinatumwa kama nyuki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna abraham wala duma atakaetamba. Hivyo ndio namna walizikaanga Himars
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Vifaru vyenyewe vinashambulia umbali wa km 3 tu bora zile himars zao [emoji1787]
Russia na Ulaya zimekuwepo miaka mamia kabla USA haijakuwepo..kipindi hicho kuna red indians bara America kaskazini. Wazungu wa Ulaya ndo haohao wametengeneza USA na CANADA....Sasa sijui wewe akili yako inataka kusema nini??Na wewe ukamuamini Putin.
Vijana mmelala sana kichwani, bila USA leo kusingekuwa na Russia wala Ulaya isingekuwa kama ilivyo leo
Mwambie kama himars zipo zote azijachomwa ila mrusi anazidi kusonga mbele basi wakubali kuwa mrusi ni super power haswaWala usiwaze .... Zipo zinapiga kazi ..zimewwafukuza Urusi mpaka Sevastopol....
Yani mnasababisha wenzenu wote waonekane machizi.yani kifaru kirushe kombola km 500 na km 1000.imekuwa kombola la balistic.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani alikimbia kherson mwenyewe Tena akakimbia mwenyewe bila kufukuzwa.
Nimeona uwezo wa hizi tanks kurusha makombora ni mkubwa sn.
Yaani Km 500 Kwa Leopard na Km 1000 Kwa Abrams.....
Russia kz wanayo. Naamini ATACMS sasa ziko njiani pia
Hata historian hajui huyo unafhani vitu vinaibuka kama uyoga,hadi umri huo hajui kuwa USA na Canada ni matiafa ya wahamiaji.Russia na Ulaya zimekuwepo miaka mamia kabla USA haijakuwepo..kipindi hicho kuna red indians bara America kaskazini. Wazungu wa Ulaya ndo haohao wametengeneza USA na CANADA....Sasa sijui wewe akili yako inataka kusema nini??
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Yaani achana na masuala ya umbali..watu wanamakombora yanayoweza kutandika sehemu yoyote Ukraine....wao wanasingizia vifaru 50 ndo viwaokoe....Hivi hawajui mnaweza kuwa na vifaru front huku command post zote zimechomwa moto, hata Zelensky mwenyewe wakiamua wanamkaanga kabla hata vifaru havijafika..Yani kifaru cha kupiga shabaa umbali wa km 3 had 4 ndiyo umeona vinaweza kumsumbua mrussi wewe kweli ni bwege[emoji1787]
Basi Russia akichukua hatua,akapambana na Sasa ni one of the Giants!Tuige mfano wa Russia,China na wengine ambao wamepambana na Sasa wanaheshimika duniani!Ni hiari yako uwe mtumwa/mtembeza bakuli/mtoa shukrani hakuna mtu atakae toka nyikani kukusaidia wewe zaidi ya wewe mwenyewe kujisaidia na kubadilisha fikra zako
Tusi likowapi [emoji849]ilo si jina lako halisi [emoji1787][emoji1787]Sasa matusi yametokea wapi au watak uwe namba 165?
Umenikumbusha Jambo,ameonekana dhahiri akimalizana na Ukraine,Kuna nchi ikae sawa,sijui ndo hizo au la[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo nimekusoma.
Ukraine lazima irudi Russia.Tukimalizana na Ukraine tunaenda kunyakua Poland na Sweden.
Wakikataa tunapiga makombora ya nyuklia
Wanaongopeana eti vufaru vinaenda kuwa game change[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani achana na masuala ya umbali..watu wanamakombora yanayoweza kutandika sehemu yoyote Ukraine....wao wanasingizia vifaru 50 ndo viwaokoe....Hivi hawajui mnaweza kuwa na vifaru front huku command post zote zimechomwa moto, hata Zelensky mwenyewe wakiamua wanamkaanga kabla hata vifaru havijafika..
Ukraine wakubali wameyakoroga tu..wakubali kuongea
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nyinyi wapumbavu hakuna tank inayo weza kushambulia umbali huo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo ni uwezo wa kusafiri bila ya kujaza mafuta hizo abram kama zinashambulia si zaidi ya km 10 kumbe wewe kipanya ujui chochote nimecheka sqna [emoji1787][emoji1787] hivyo ni vyuma chakavu hata asilimia 10 ya uwezo wa himars havina poleni sana kwa ujinga [emoji1787][emoji1787]
Antonio Conte
kp kipanya44
Ni chapisho la pcha waliwek[emoji1787]kunamtu kawadanganya nato wa jf kuwa vifaru vinavyo pelekwa ukrain vinauwezo wa kushambulia umbali wa km 500 hadi km1000 wakati huo ni uwezo wa wa hivyo vifaru kusafiri bila ya kuongeza mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]vifaru vyenyewe uwezo wake wa kushambulia ni km3 hadi 6 tu
Mimi naomba sana akimalizana na Ukraine kituo kinachofata kiwe pale Poland.Umenikumbusha Jambo,ameonekana dhahiri akimalizana na Ukraine,Kuna nchi ikae sawa,sijui ndo hizo au la[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa kifaru cha Ballistic.ni aiba ya vifaru vipya vimeanza kutumiwa na ujerumani na marekani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliok range km 500 asee na jamaa alisem inawez kushambulia dar arush singda
Nikawa najiulz hiki nikifalu au mznga
Ha ha ha,,,,Kila mji wanajiondoa,mwisho watafika mpaka Poland[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Advvika.inaonekana vikosi vya Ukraine vinajiandaa kutelekeza mji ili wazifungiwe njia za kutokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawazalilisha sana ndugu zao[emoji23][emoji23][emoji23].wote pro ukraine wanaonekana wachiziNi chaposho la pcha waliwek
Range km500
Na kile km1005
Hvyo abrahm na leopard [emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249][emoji249]