kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kashfa gani Tena mkuu, nimekwambia si vizuri kuwa na Tabia ya " vibinti" vinavyoanza kubalehe.., maana Huwa havina msimamo hata kwa mambo hambayo yako wazi..,sio kama Kuna kashfa hapoHahahahaaaaa,Naona imepenya hiyo!Umeugulia maumivu mpaka ikabidi uje ujitutumue na vijikashfa kupooza hali machungu Yako!Pole,nikuongeze mwingine?
Hiyo leopard mbona inawafanya warusi wote mnanena kwa lugha humu?? Au roho mtakatifu amewashukia, maana Kwa record zangu hakuna mrusi yeyote wa buza hambaye hajanena kwa lugha kuhusu hiyo leopard na Abraham ( ibla) na challenger.., inaonekana Hawa wanaume moto wao si wa Karne hii [emoji16][emoji28]Kwa namna Leopard 2 ilivofanywa Syria niseme tu tukutane frontline
Sidhani kama kuna watu humu wanachukulia serious comments zako...I can assure you a number of people in JF na hasa kwenye thread hii wanakuona kama 'msanii' or 'comedian' tu....Ila kwangu mimi nimekuweka kwenye group fulani la watu which i can't reveal here.Usitegemee urusi kusonga mbele kuelekea Kiev Tena..,walishasema wazi kwamba Kile kichapo walichotembezewa siku za mwanzo za uvamizi kinatosha[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mi mwenyewe huyu jamaa simuelewi namuona kama comedianSidhani kama kuna watu humu wanachukulia serious comments zako...I can assure you a number of people in JF na hasa kwenye thread hii wanakuona kama 'msanii' or 'comedian' tu....Ila kwangu mimi nimekuweka kwenye group fulani la watu which i can't reveal here.
Hiki ni kifaru cha nchi gani?Abraham ( ibla)
Sawa mkuu. Hilo nalo ni wazo la kufikiria na linaturudisha pale pale kwenye swali langu: Hii ni vita kati ya nani na nani???Ukraine anapewa silaha pekee hakuna watu wanaingia toka nje kumsaidia kupigana, ila russia anapewa wanajeshi wa kukodi toka korea kaskazini, iran, afghanistan na n. K mbona hili husemi?
Bila kusahau russia anakamata hadi wanafunzi wa nchi za kigeni hasa wa kiafrika na kuwapeleka vitani kwa nguvu.
KWANI WANAPORIPOTI VITA HUWA UNASIKIA WANASEMA KATI YA NANI NA NANI?Sawa mkuu. Hilo nalo ni wazo la kufikiria na linaturudisha pale pale kwenye swali langu: Hii ni vita kati ya nani na nani???
Ni yale yale mwamba. Idi alitake kufanya annexation of Bukoba.Soma historiaMkuu kesi ya Idi amin na Tanzania ni tofauti kabisa na Ukrain, naomba mtu mwengine akuelezee utofauti wake maana niko busy kidogo sasa hivi.
Anaongea kama Hitler, white supremacyThe time will come - sovereignty will be returned to Europe - Putin
Nchi ya mama. Yo[emoji16]Hiki ni kifaru cha nchi gani?
Wewe Bado ni omba omba ama?Tupambane tuinue taifa letu na si kutegemea kutembeza bakuli!Kila mtu akipambana Kwa nafasi yake basi tutasonga mbele!Anza kuiga kama ni kazi rahisi
Kama RUSSIA ataona inafaa afanye anavyoweza hakuna tatizoHapo nimekusoma.
Ukraine lazima irudi Russia.Tukimalizana na Ukraine tunaenda kunyakua Poland na Sweden.
Wakikataa tunapiga makombora ya nyuklia
Mbona unahangaika kunikwot Sasa kama dawa haikuingii vizuri [emoji28][emoji23] niltegemea kama huchukulii coments zangu seriously ungezipotezea tu lakini unahaha kujibu..,na hii yote inaonyesha wazi kwamba zinaingia na zinauma kweli [emoji2]Sidhani kama kuna watu humu wanachukulia serious comments zako...I can assure you a number of people in JF na hasa kwenye thread hii wanakuona kama 'msanii' or 'comedian' tu....Ila kwangu mimi nimekuweka kwenye group fulani la watu which i can't reveal here.
Baada ya hapo anachakazwa Hadi Moscow [emoji16]. Patamu hapo[emoji56]
Ku annex nchi ambayo sio jirani yako sio kinyume cha sheria !!!??Sawa ila kunyakua nchi ya jirani (Annexation) ni kinyume na sheria. Ukraine ana kila sababu za kujilinda kama sisi tulivyojilinda dhidi ya Idi Amin alivyotaka kunyakua Bukoba.
Bora apotee lakini azidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56]Ku annex nchi ambayo sio jirani yako sio kinyume cha sheria !!!??
UKRAINE kadri anavyojilinda ndio anapotea hvyo oohooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha maneno ya kanga,maana maneno Yako utafikiri wale sio riziki!😞Kashfa gani Tena mkuu, nimekwambia si vizuri kuwa na Tabia ya " vibinti" vinavyoanza kubalehe.., maana Huwa havina msimamo hata kwa mambo hambayo yako wazi..,sio kama Kuna kashfa hapo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
U nailed it!Sidhani kama kuna watu humu wanachukulia serious comments zako...I can assure you a number of people in JF na hasa kwenye thread hii wanakuona kama 'msanii' or 'comedian' tu....Ila kwangu mimi nimekuweka kwenye group fulani la watu which i can't reveal here.
Waliamka tu na kupambana? Mpaka wamefikia hapo damu nyingi za wasio na hatia zilipoteaWewe Bado ni omba omba ama?Tupambane tuinue taifa letu na si kutegemea kutembeza bakuli!Kila mtu akipambana Kwa nafasi yake basi tutasonga mbele!
Urusi na China ni mifano hai!