mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Nitaendelea kuwapa updates mkuu..,nyie vumilieni tu.., Boris Johnson alimuonya sana Putin mwanzoni mwa uvamizi kwamba amechagua njia ya umwagaji damu na maangamizi.., hivyo usishangae kuona warusi wakichinjwa Kwa wingi namna hii maana ndio njia aliyoichagua Putin [emoji848]Halafu Hilo jedwali lako sijui umeli save ukitaka una edit tu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sio vita mkuu ni special operation military. Vita bado mkuuMkuu naomba tu nikujibu kistraabu. Sishabikii vita. Maoni yangu hii vita si vita kati ya ya Urusi na Ukraine. Kama mataifa menngine yanatuma silaha Ukraine au Urusi basi wao pia wako vitani japo hawapeleki askari binadamu.
Sijaelewa Nini lengo la uwongo huu kutoka BBC, na Aljazeera wa leopad na Abrams hasa juu ya range yao ya kushambulia.
Pole sana mdogo, je unasikia maumvu makali hadi uanze kutukana?Kwa hiyo tukusikilize wewe mmatumbi au tumsikilize Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani!!?? Ficha ujinga wako....
Kwanza kabisa hata wao washajua na wanajua invisibility na ule usiri was kuficha destroyed tanks hautakuwepo Tena.Wakuu,
Naomba kueleweshwa.
Ni kwa sababu gani US na German wanaviziana kupeleka hizo Battle Tanks Ukraine?
Yaani wanakuwa kama wanasakiziana.. anza wewe... peleka zaka kwanza na mimi ndio nipeleka. Au mimi nikipeleka na wewe lazima upeleke zako.
Hivi sababu hasa ya huku kuviziana ni nini..?
Mkuu tafadhali soma vema yale unayoona na jaribu kuyaelewa kabla hujalalamika! Maelezo yale hayahusi mzinga wa kifaru bali upeo wa kifaru chenyewe, maana kwa kujaza mafuta mara moja inaweza kwenda kilomita 500.Sijaelewa Nini lengo la uwongo huu kutoka BBC, na Aljazeera wa leopad na Abrams hasa juu ya range yao ya kushambulia.
Bila shaka km 1000 Ni long range ya missiles flaniflani hivi nzito Hapa hats Iskander haifiki.
Km 500 Ni middle range ya makombora Kama Iskander missile na tomahawk.
Ila kwa artilleries km 200-300 Ni long range
Hakuna kifaru wa Atgm yenye uwezo wa kufire range happy ya km 25.
Javelin range ya kupiga Ni km 20
Abram inatumia lita 14/km,Mkuu tafadhali soma vema yale unayoona na jaribu kuyaelewa kabla hujalalamika! Maelezo yale hayahusi mzinga wa kifaru bali upeo wa kifaru chenyewe, maana kwa kujaza mafuta mara moja inaweza kufika kilomita 500.
Itakuwa Soledad ya Westlife ndio wanayotambia UkraineWameenda Soledar wakazuiwa kuingia kuchukua habari.mbona wandishi wengine wamechukua habari.wanataka kudhibitisha wakiwa majumbani kwao.
Video zipo sasa sijui wanataka kudhibitisha vipi.makao makuu ya mji, maeneo yote muhimu yapo chini ya Urusi.sasa hapo imebaki Soledar gani.au kuna soledar mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sababu ni hii: Ukraine inaona Leopard itakuwa ni bora kwa madhumuni yake kuwapiga Warusi. lakini Ujerumani haitaki kuanza kuleta vifaru maana ni hatua mpya kusaidia ukraine, inaongeza ukali. Hapa chansela ya Ujerumani anataka kuchukua hatua hiyo kwa kushikamana na kaka mkubwa Marekani ambaye hatimaye ni mlinzi wa Ulaya dhidi ya tishio la silaha za nyuklia kutoka Urusi. Maana Ujerumani haina silaha hizo wala haitaki silaha hizo.Wakuu,
Naomba kueleweshwa.
Ni kwa sababu gani US na German wanaviziana kupeleka hizo Battle Tanks Ukraine?
Yaani wanakuwa kama wanasakiziana.. anza wewe... peleka zaka kwanza na mimi ndio nipeleka. Au mimi nikipeleka na wewe lazima upeleke zako.
Hivi sababu hasa ya huku kuviziana ni nini..?
hutaki ?Ndo maana nilikausha kutojibizana na mtu anakwambia km 1000 max range ya Abrams.
Kwa maana hiyo Abrams inapiga shabaha kupita hata jiji la Moscow.
Ni kweli kabisa, na ndiyo maana balozi wa Urusi kule Marekani amelaani hatua ya Marekani kujiunga na Ujerumani kupeleka Leopards 2 Ukraine, kama US angegoma Mjerumani asingethubutu.Mkuu sababu ni hii: Ukraine inaona Leopard itakuwa ni bora kwa madhumuni yake kuwapiga Warusi. lakini Ujerumani haitaki kuanza kuleta vifaru maana ni hatua mpya kusaidia ukraine, inaongeza ukali. Hapa chansela ya Ujerumani anataka kuchukua hatua hiyo kwa kushikamana na kaka mkubwa Marekani ambaye hatimaye ni mlinzi wa Ulaya dhidi ya tishio la silaha za nyuklia kutoka Urusi. Maana Ujerumani haina silaha hizo wala haitaki silaha hizo.
Kwa hiyo chansela wa Ujerumani aliweka sharti "Nitakubali vifaru vyetu kama hata Marekani wanaleta vifaru vyao". Marekani mwanzoni hawakutaka, maana wanaona vifaru vyao ni tata zaidi vinahitaji muda mrefu ya mafunzo hasa kwa matengenezo na mfumo wa vipuli na mafuta ya pekee... Lakini sasa wamekubali madai ya Ujerumani wametangaza wataleta.
Kwa hiyi Ujerumani inaondoa sasa vikwazo kwa nchi nyingine zilizonunua vifaru hivi kutoka kwao, wengine wawezae kusaidia Ukraine Leopard.
Kifaru ndio kimemaliza Vita? Si mmeambiwa mpeleke? Tukaone hyo adabu vitashika vifaru au urusi?ni kweli kabisa, na ndiyo maana balozi wa Urusi kule Marekani amelaani hatua ya Marekani kujiunga na Ujerumani kupeleka Leopards 2 Ukraine, kama US angegoma Mjerumani asingethubutu.
Mrusi anasema Marekani ndiyo anayeishikilia vita yake na Ukraine.
All in all, lazima Putin ashikishwe adabu na Urusi iwe nchi huru inayofuata misingi ya Kidemokrasia.
Tatizo askari wa marekani wanaogopa sana kupigana vita na jeshi la urussi wanakumbuka kilicho mkuta mjerumani ...na hivyo vifaru lazima ukivipeleka upeleke na askari wako wa kuviendeshaMohamedidrisa niambie kilicho wakuta leopard 2 na Abrams maana wamepoa baada ya kusikia hivyo vifaru vitapelekwa mwezi March na Hapo kategeshewa aanze ujerumani nadhani US atakuwa wa mwisho[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hata Rudi hata mmoja tutakata kichwa kimoja baada ya kingine Tena Russia ndio inavitafuta Sana hivyo vichwa vya NATO.Tatizo askari wa marekani wansogopa sana kupigana vita na jeshi la urussi wanakumbuka kilicho mkuta mjerumani ...na hivyo vifaru lazima ukivipeleka upeleke na askari wako wa kuviendesha
Mlisema hela haipigani vita, tukakubali, mkasema pia misaada ya kivita haimalizi vita, tukakubali, sasa cha kusanganza kwa nini hadi leo ninyi na Putin wenu mhahangaika - mwaka sasa kitu kimenasa dadeq.Kifaru ndio kimemaliza Vita? Si mmeambiwa mpeleke? Tukaone hyo adabu vitashika vifaru au urusi?
Ukizingumzia demokrasia una maanisha nini haswa? Je tokea 2014-2022 watu wa Donbass walikandamizwa mbona nyie mwenye democrazy hamkutoka na kulaani?ni kweli kabisa, na ndiyo maana balozi wa Urusi kule Marekani amelaani hatua ya Marekani kujiunga na Ujerumani kupeleka Leopards 2 Ukraine, kama US angegoma Mjerumani asingethubutu.
Mrusi anasema Marekani ndiyo anayeishikilia vita yake na Ukraine.
All in all, lazima Putin ashikishwe adabu na Urusi iwe nchi huru inayofuata misingi ya Kidemokrasia.