Huyo jamaa ni mweu ...pia kwenye vita kunakuteka silaha unaweza kuzitumia tuUmelewa nilichokwambia hapo juu.Urusi alipokea vifaru 300 kutoka kwa muingereza mwaka 1942 kama urafiki wa kusaidiana kwenye majanga. Urusi yeye alikuwa na vifaru alivyotengeneza zaidi ya laki 1.Vifaru 300 kwenye uwanja wa vita utasema umesaidia Urusi kushinda ww2.
Kitu usicho jua ni kwamba warusi waliteka silaha nyingi za uingereza zilizo tekwa na ujerumani nchini ufaransa vifaa hivyo vilitumika kuivamia urusi majeshi ya mjerumani yalipo shindwa ndani ya urussi yalijisalimisha malaki na dhana za kijeshi za west zikatekwa na urusi mamia na maelfu ya vifaruMkuu ushauri kwa jumla ni: ujielimishe kidogo kabla ya kusema . O si tacuisses fuisses philosophus (kama ungenyamaza ungeheshimiwa kama mwanafalsafa!).
Ona hapa kikosi cha kirusi 1945 huko Brno, Chekoslovakia. Vifaru vyote ni Sherman kutoka Marekani.
View attachment 2497310
Under Lend-Lease, 4,102 M4A2 medium tanks were sent to the Soviet Union. Of these, 2,007 were equipped with the original 75 mm main gun, with 2,095 mounting the more-capable 76 mm tank gun.
Unaupeo mkubwa Sana, sio wote wanaojua kuwa hizi historia tunakaririshwa tu ila uhalisia sio..Niamini mimi baada ya miaka 100, historia itakuwa inasomeka hivi Russia na Germany walipigwa vita vya pili na Mmarekani with her allies.
Pia ajui kuwa urusi iliteka zaidi ya vifaru 400 ya west mikononi mwa wajerumani ambavyo vilichukuliwa na jeshi la ujerumani baada ya kuishinda ufaransa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna vitu vingine ni vichekesho kwa kweli.yani unaongelea msaada wa kirafiki wa vifaru vya sherman.
Vifaru vya kwanza vikifika mwishoni mwaka 1944 na vingine vikaenda mwaka 1945. Vita si ilikuwa ipo berlin.sasa hapo utasema wamemsaidia kumshinda mjerumani kweli.[emoji23][emoji23][emoji23] ebu kuweni serious[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hii inajulikana ila haikuwa muhimu sana kwa mwendo wa vita. Kimsingi ni Wajerumani waliwfundisha Warusi kutengeneza vifaru maana kabla ya 1933 Ujerumani ilibanwa na mkataba wa Versailles kutokuwa na vifaru hivyo waliunda kwa siri na kuzipeleka Urusi ambako walifanya mazoezi ya siri.Kitu usicho jua ni kwamba warusi waliteka silaha nyingi za uingereza zilizo tekwa na ujerumani nchini ufaransa vifaa hivyo vilitumika kuivamia urusi majeshi ya mjerumani yalipo shindwa ndani ya urussi yalijisalimisha malaki na dhana za kijeshi za west zikatekwa na urusi mamia na maelfu ya vifaru
Wanabadilisha Historia ikae vile inawapendeza wao.Unaupeo mkubwa Sana, sio wote wanaojua kuwa hizi historia tunakaririshwa tu ila uhalisia sio..
Sawa na vile tulivyoaminishwa Mandela ndio shujaa wa Africa, lakini ukijiuliza Mandela kaifanyia nini Africa unaduwaa tu.
Utakuwa umepanic...Kwahiyo Ukraine as Sovereign State unailinganisha na Putin? Upo sawa kichwani kweli?
Kwani Putin ni sovereign state?
Wewe kama wewe unatakaje uhusiano wao uweje mzee mbona unajipa tena kazi ya kuwaamulia watu mahusiano yao ama hisia zao mzee?Wanabadilisha Historia ikae vile inawapendeza wao.
Ukijiuliza urafiki wa Poles na Nationalists wa Ukraine umetoka wapi ? ( Banderites walihusika na mauaji ya poles ).
Na regime iliyopo madarakani saiv Ukraine ni result ya Nationalism activities, yet Serikali na raia wa Poland wanaisupport.
Hapo ndio utachoka.
Na wewe unataka nini?Wewe kama wewe unatakaje uhusiano wao uweje mzee mbona unajipa tena kazi ya kuwaamulia watu mahusiano yao ama hisia zao mzee?
Urussi ya sasa ni hatari zaidi kuliko kabla ya vita ...labda uwe ujui vitaAliyepambana na Ujerumani huko mashariki ni Ussr ambayo ilikuwa imeundwa na nchi za Urusi ya Sasa, Baltic, Georgia na hata Ukraine.
Jeshi la Urusi ya Sasa limeshalemazwa na mwaka mmoja wa Vita, haliwezi kuitisha Marekani kabisa (labda watumie vitisho vya nyuklia).
Tuambie kwanini usa kapigwa Vietnam..pia tuambie ni kwanini usa anashawishi nato yote dhidi ya urussi kwanini kama anayo nguvu asiende kusaidia ukrain yeye peke yakeAcheni ushabiki usio na maana. Russia ni kitu Gani mbele ya US? US ndio baba wa hii Dunia.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapo unachanganya madesa umeshindwa kujua tofauti ya idadi ya vifo na kushinda vita ...nimejua kuwa nabishana na mpumbavuu ..unajua jeshi kubwa kiasi gani la mjerumani lili jisalimisha urusi hakuna popote jeshi kubwa kiasi kile lili wai kujisalimisha tangu kuumbwa kwa dunia hadi leo hii ...vita kali kuliko zote vilipiganwa na urussi siyo marekaniUnaongelea Russia ipi hiyo ambayo iliwashinda wajerumani? Warusi Zaidi ya milioni 20 waliuwawa na Hitler na ndio sbbu Germany wakitafakari walichofanya Kwa mrusi hawataki Tena kitokee.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyu kipanya ni kilaza koko ajui kwanini ujerumani iligawanywa kuwa nchi mbili ..huyu kipanya hatakuwa ni mtoto wa majuziHuenda hata Leo hii tunapoambiwa majeshi ya urusi kwenye vita ya pili ya dunia yalifika mpaka mjini Berlin ujerumani ni uzushi tu wa watu wachache!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wee unahisi nataka nini kwani, unachokihisi ndo icho nachokitaka!!Na wewe unataka nini?
Mwamba ni ule Aliye Isambaratisha UNITED SOVIET SOCIALIST REPUBLIC!Urusi imefunga wavuti wa mashirika ya upelelezi ya Marekani ya CIA , FBI moja na ule wa Wizara ya mashauri ya kigeni ya Marekani. Hatua hiyo iliyotekelezwa Ijumaa imefuatia ombi la taasisi ya usimamizi wa mawasiliano ya kiteknolojia-Roskomnadzor.
Tovuti hizi hutumiwa na Marekani kutoa taarifa kuhusu vitisho dhidi ya usalama wa taifa hilo.
Zimefungwa tangu Januari 26, huduma ya mawasiliano ya Urusi Roskomnadzor imeiambia BBC kwamba "Tovuti hizi zina taarifa zisizo na maana kijami" zilipatikana katika vyanzo hivyo, pamoja na udhalilishaji wa jeshi la Urusi.
Kulingana na Roskomnadzor, tovuti hizo "ni za mfumo wa taifa unaosababisha uhasama kwa nchi" kwa kutoa taarifa zenye lengo la kuyumbisha hali ya kisiasa na na kijamii kwa lugha ya Kirusi.
Mwezi Mei mwaka jana, Mkuu wa tume ya usalama ya bunge la Urusi (Duma) alisema machapisho ya CIA nchini Urusi yanachochea uhaini.
Tarehe 2 Mei, CIA iliweka mtandaoni videokwa lugha ya kirusi katikachaneli yake ya YouTube , ambayo ilisshauri juu watu wanavyoweza kuwasiliana nao kwa usalama na kuwafikishia taarifa za ujasusi.
Katika kujibu hatua hiyo, Idara ya huduma za ujasusi wa kigeni ya Urusi ilifungua wavuti wa siri mwezi Aprili, ambapo huwataka watu kuishirikisha taarifa "vitisho kwa usalama wa Shirikisho la Urusi."
Mapema mwezi Januari, ofisi ya mwendesha mashita mkuu wa jeshi wa jimbo la Vladimir pia aliwasilisha ombi la kisheria la kuzuiwa kwa wavuti wa habari za Umoja wa Mataifa (UN news) nchini Urusi, lakini Ijumaa alikanusha mwenyewe madai hayo. Mahakama ilipuuzilia mbali kesi ya ombi hilo.
=====++++======
Mwamba aliyemuweka madarakani D. Trump anazidi kuonesha umahiri wake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] MK254 MTZ 255Dar
Direct confrontation btn NATO and Russia is World War III something that WE MUST STRIVE TO PREVENTAliyepambana na Ujerumani huko mashariki ni Ussr ambayo ilikuwa imeundwa na nchi za Urusi ya Sasa, Baltic, Georgia na hata Ukraine.
Jeshi la Urusi ya Sasa limeshalemazwa na mwaka mmoja wa Vita, haliwezi kuitisha Marekani kabisa (labda watumie vitisho vya nyuklia).
mrusiNani sasa anakomeshwa
Leo umesikiliza BBC au DW kweli?? Msemaji wa Ikulu ya Kremlin kasema kwamba mwenye uwezo wakusitisha vita ya Ukraine na Russia ni Biden! Lakini Russia wanashangaa Biden kila siku anapeleka vifaa vya kijeshi!!Wanajifanya hawamuelewi wakati anawatungua mtandaoni [emoji28][emoji28][emoji28] hadi wanapoteana
@Galip VrlMwamba ni ule Aliye Isambaratisha UNITED SOVIET SOCIALIST REPUBLIC!
or U.S.S.R Bila hata risasi moja kupigwa!
Huyu mandonga Ukreine imemshinda hata aibu hana kupiga raia na makombora ya cruise![emoji56][emoji31][emoji33][emoji33]