Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Basi NATO ivunjwe maana Urusi hamna kitu sasa hivi.
Kama NATO itaendelea kuwepo basi hoja yako ni dhaifu na ya kijinga.
 
Hivi hadi wafanyabiashara wa kibongo waendao China nao wameishaachana na dola ya Marekeni? Natamani kujua hili
 
Habari Nimeipitia. Na habari hii imeandikwa tarehe 29/09/2022 na Mwandishi ni Miodrag Soric

Kwa ufupi Mr Soric ni huyu
- - -
Soric studied Slavic Studies, Political Science and German Studies at the Universities of Cologne, Kyiv, Moscow and Munich. From July 1988 to March 1989 he was a trainee at Deutsche Welle . Afterwards political editor of the central editorial office politics/science. In 1993 he became program officer for the artistic director Dieter Weirich, in 1995 head of the Russian editorial team. In 1999 he founded DW's Ukrainian program. From 1999 to 2001 he headed the station's Eastern Europe department. From 2001 to 2009 he was editor-in-chief responsible for radio and online programs.
----
Pia makala zake za DW ziliwahi kuonekana kwenye Kyiv Post kuanzia 2017 mpaka 2020.

Mojawapo ya makala inashangaza sana kuona kama kweli DW ni chombo cha habari cha Ujerumani ama kitengo kwenye Idara ya habari Marekani na pia je Mwandishi huyu analipwa mshahara na wajerumani ama Vitengo vya usalama wa US. Itafute hiyo makala kwenye link hii (Miodrag Soric, Author at Kyiv Post)
=====
Nikirudi kwenye hoja yako, Mkuu. Ni kwamba maelezo aliyoeleza Soric kwenye makala uliyoweka hapa jukwaani kupitia link ya DW kwa uchache yanajibiwa na link hii hapa chini

 
Nchi za ajabu kweli, hadi dada wa Rais ana sauti yenye Mamlaka.... Useless.


Kim Yo Jong, the sister of North Korea's leader Kim Jong Un, speaking at the National Emergency Prevention General Meeting in Pyongyang, North Korea, in August 2022 [File: Korean Central News Agency via KNS/AFP]
 
Wewe sasa ndio waajabu
Ungeuliza kaongea akiwa na mamlaka gani hapo !!?
Nchi ya ajabu ni US ambayo kuna kipindi mkwe alikua na sauti kuliko RAIS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hao wanaoipenda Urusi ukiwapa uchaguzi wa kati ya Dollar na Yuan, Rubble, Rupee, Rand watachagua Dollars
Usitusemee sisi ...Kama unapenda dollar wewe na mabeberu usidhani wote wanapenda hivyo...

Nyie watu wa ajabu Sana...hakuna taifa ovu duniani Kama USA...dollar inatumika kuikandamuza na kuinyonya dunia...Saddam Hussein na Ghadafi waliuawa siyo kwasababu ya kinachoitwa udikteta Bali kwa kuwa viongozi Hao walikuwa wanataka dhahabu itumike baadala ya dollar..

Yaani Marekani?!?! Hovyo kabisa...Hakuna taifa ambalo limeua mamilioni ya watu duniani kwa nyakati hizi Kama Marekani...USA imeua maelfu kwa maelfu ya watu huko Irak, Vietnam, Libya, Grenada, Panama, Serbia/Yugoslavia, Afghanistan na kadhalika...

Marekani ni taifa la wauaji...wanatumia kile kinachoitwa demokrasia lakini huko USA Hakuna demokrasia yoyote ile..demokrasia ni zaidi ya uchaguzi...weusi huko Marekani bado wanabaguliwa...

USA ndiyo iliyofanya genocide ya jutisha kwa kuwaua wahindi wekundu kwa mamilioni ambao ndio watu wa asili wa Marekani..stupid America..
 
Toa taarifa vizuri. Kama kuzuia basi wamezuia hizo tovuti zisipatikane nchini mwao Urusi. Na sote tunajua uzuiaji wa aina hiyo ni wa kujifurahisha tu kutokana na jinsi mtandao wa internet unavyofanya kazi.

Ni kama hapa Tanzania ambapo serikali imezuia upatikanaji wa mitandao ya pilau, lakini sote pia tunajua kuwa ukitaka mitandao ya pilau inapatikana tu bila ugumu wowote licha ya serikali kuizuia mitandao hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…