Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Basi NATO ivunjwe maana Urusi hamna kitu sasa hivi.
Kama NATO itaendelea kuwepo basi hoja yako ni dhaifu na ya kijinga.
NATO ipo ili kushugulika na wakorofi kama Putin (mabaki ya Vita baridi).
 
Mkuu kwa bahati mbaya sijui hata moja kati ya filamu hizo. Sina kazi sana na nguvu ya Marekani inayozidi kupungua (hata kama inazidi kabisa nguvu ya Urusi). Ila tu naona udhaifu wa Urusi na hasa maazimio ya ujinga yaliyochukuliwa na uongozi wake, pamoja na kwaya isiyo na dalili za hekima kwenye media yake.....

Hivyo sina tamaa kuiona lakini naona pia uwezekano wa Urusi kutokuwepo tena jinsi ilivyo sasa , baada ya karne 4 kufaulu kujenga ukoloni wake juu ya Asia ya Kati na ya Kaskazini . . . (Maana tofauti na Uingereza, Urusi bado inashika sehemu kubwa ya maeneo iliyotwaa katika upanuzi wa kikoloni; )
 
Pia Russia wanatumia mbinu moja inaitwa Kivundevic hii ile ile hali ya kuamisha wanajeshi kwa kasi ya ajabu yaani kipindi Ukraine wanadhani majeshi ya urusi yapo geita yanakuja mwanza muda huo Russia force inakuwa sengerema na magu
 
Tuone kama hii Vita itakuwa mwanzo wa anguko la Putin kisiasa na kudidimia zaidi kwa Urusi Au itaibuka katikati ya Vita na kuwa Supa-pawa mpya.....
 
Umesahau kuorodhesha
Kheson [emoji56][emoji56]

Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]


Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]


Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]


Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56]


Izium [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]


Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]


Mycolaiv [emoji56][emoji56]

Luhansik Sasa imemegwa pia, kumbuka kipindi Cha kura ya referendum urusi alikuwa anadhibiti luhansik kikamilifu [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii sababu kwa kifupi tunasema ni KIBURI
 
🔴 Israel admits to secret aid to Ukraine

Israel provides Ukraine with more assistance than it seems at first glance. This was stated by the country's ambassador to Germany, Ron Prozor.

📝 “We help, even if behind the scenes, and much more than is known,” Prozor said in an interview with the German Funke Mediengruppe.

The ambassador clarifies that Israel also prefers to remain in the background due to the Russian presence in Syria.

✅ Israel has previously stated that it is afraid to supply Ukraine with the Iron Dome anti-missile defense system because of Russia, since the Russian Federation could intercept these technologies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…