Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi kalemewa Kwa Ile Air Supremacy and Air superiority Yao mpk Leo hii Ukraine kuna Viumbe hai wanapumua !? Sio kweli Putin.
Yule alikuwa overlated sana ..,kwa ufupi ni super pawer wa kwenye makaratasi tu,Wala Hana maajabu yoyote..,Bora hii vita imemvua nguo,kila mmoja amejua udhaifu wake

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yeah hapo ndio umbali ambao kwa macho ya kawaida utamuona adui na kumtambua.

Hiyo G3 sheria za umoja wa mataifa zilizuia isitumike(uganda walizitumia sana kwenye vita ya kagera wakiwa wamepewa na Libya) but mi nlikua najua G3 ni mfaransa
 
Wiki hii ubalozi wa Azerbaijan mjini Tehran umeshambuliwa na gaidi na kuua mkuu wa ulinzi. Azerbaijan inaishutumu jirani yake Iran kuwepo vuguvugu la kuikandamiza baada ya maaandamano ya mwishoni mwaka jana kuongozwa na miji ya watu wa asili ya Azerbaijan. Evacuation ya ubalozi inafanyika wanataka kuufunga na washamrudisha balozi wa Iran kwake.
Na mwaka huu Azerbaijan imetuma balozi wake wa kwanza wa Israel baada ya kuuziwa silaha kwenye Nagorno Kabarakh war mwaka 2020 dhidi ya Armenia inayosaidiwa na Iran & Russia. Uturuki pia inaunga mkono Azerbaijan.

Jana CIA Director Bill Burns kaenda Israel ziarani. Usiku nchini Iran imetokea shambulizi kwenye ammunition factory mjini Isfaham. Ilikuwa ni drone strike and hopefully Iran itatoa taarifa inamshuku nani na ilikuwaje. Taarifa nyingine za mashambulizi sijajua ukweli wake.
Iran ina air defence systems aina nyingi
 
Tulia upauliwe kama paa

Hamna kitu mnaweza kufanya leo kirejeshe hofu niliyokua nayo kipindi cha hii picha hapa, mengine yote ni makelele, kugombea tumiji twa chumvi sijui wapi huko kama uache Dar uende kugombania Katavi ya Tanzania.....hehehe

Yaani hapa mliliwa shaba na wabeba javelin hadi raha...

 
Hivi section mara nyingi si inatumika kwenye stationary deployments
Hapana ila hii ndio kikundi kidogo zaidi cha kivita.
Kwenye hiyo platoon kuna vikundi vidogovidogo ndio vinaitwa section so kunakuwa na Huyo kiongozi wa platoon lakini chini yake kuna viongozi wengine wanasimamia hizo section.

Kwahyo hata majukumu ya utendaji wanavyokuwa wanapambana Kama platoon kila section inakuwa na kazi yake bila kusahau section ya reserve. Mara nyingi platoon huwa na section tatu zenye idadi sawa ya watu na silaha
 
Ukiiangalia hii Raman na maandalizi anayoyafanya Urusi huko Berarus utagundua jamaa wanarudi kiev very soon kwa kupitia huko [emoji3][emoji3]
 
Yeah hapo ndio umbali ambao kwa macho ya kawaida utamuona adui na kumtambua.
Hiyo G3 sheria za umoja wa mataifa zilizuia isitumike(uganda walizitumia sana kwenye vita ya kagera wakiwa wamepewa na Libya) but mi nlikua najua G3 ni mfaransa
Kenya wanatumia mpaka leo naona kwa polisi wao,hakuzuiwa sina hakika japo kwenye majeshi yetu bado zipo na zinatumika ila nadhani teknolojia inabadili upepo ni silaha nzito kiubebaji tofauti na ambazo zitumikazo sasa na zinatumia risasi zenye kichwa kikubwa ukipigwa sehemu ya kichwa maiti yako haiaguki
 
Tunajua hilo pia Urusi walituma ndege yao ya reconnaissance huko juu kuchunguza activities za marekani na magharibi Sasa sijui unataka kuprove point gani? Kaa tulia tulii kunywa mtori nyama ziko chini mtaongea lugha zote ndani ya hii miaka10 ya SMO
 
Kwetu pia zipo lakini hazitumiki vitani hizo.
Kwa africa mashariki nijuavyo polisi wanatakiwa kutumia silaha zenye risasi ya kipenyo cha 7.62 mm kushuka chini.
Asa hizo G3 risasi zake sikumbuki kipenyo ngapi lakini zimezidi hapo
 
Tuonyeshe picha za tukio sio ramani na story za udaku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…