Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ha ha wanakopy kutoka Ufaransa.
Mtaongea yote mwaka huu. Putin endeleza kichapo.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hard doesnt mean impossible

UKRAINE inamegwa nyie endeleeni kusema tu hard hard

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
NATO na wachangiaji wake humu nendeni direct UKRAINE la sivyo UKRAINE mnaikosa

Ila hii SMO imekuja na mengi kuna watu walituambia RUSSIA hajui vyakula vyakwenda navyo vitani anabeba viazi

Wakaja wakasema RUSSIA anatumia vifaa vya kwenye washing mashine ndio maana silaha zake hazipigi vizuri

Tukaambiwa RUSSIA imeishiwa silaha ila tunawakumbusha RUSSIA anaweza pigana miaka 10 mfululizo asikumbane na scarcity ya silaha

Tukaambiwa PUT IN anaumwa nn cjui muangalie akitembea mkono anavyoueka

Ila sisi tunawaambia yakwamba hii SMO itaendelea mpaka malengo ya RUSSIA yafanikiwe na malemgo ya awali ya RUSSIA nikubeba DON BASS ZAPO na KHERSON ila wakikaza shingo watu watafika mpaka LIVIV

Mwisho mnaotegemea RUSSIA kushindwa na UKRAINE kwa hii misaasa uchwara poleni sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichofahamu ni kwamba squad ndio kikundi kidogo zaidi, na juu yake ndio kinaunda platoon. Then section nilijua ni aina ya kundi dogo chini ya platoon ila kubwa zaidi ya squad lakini mara nyingi linalinda stationary target kama SAM site, HQ au daraja. Huwa napenda kusoma infantry kwa kupitia Germany military structure, na artillery kwa kupitia Finnish military.

Military structures duniani zina tofauti kidogo kulingana na mapokeo. Ninahisi North Korea wana mvurugano mgumu kuusoma, completely different
 
Ili tukio kuna nchi itabeba lawama za mtu uruzii irani hacheki na kima kama akijua tukio limetoka sehemu ambayo ni nje ya nchi yake ngoja tuone yajayo

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
Suspected Israel Drone strikes in Iran.
Iran National Nuclear Center, armed forces HQ, oil refinery, ammunition & drone factory were targeted. Earthquake was detected after the attack.
Reports suggest drones came from an Israeli airbase in Azerbaijan

Mashambulizi sehemu tano tofauti ndani ya usiku mmoja. Aliyefanya hivyo anajulikana hatuna haja ya kukwepakwepa. Nasubiri majibu ya walioshambuliwa
 
Squad haiwi kwenye platoon za mapigano ila inakuwa kwenye muundo wa vita wenyewe huwa na kazi tofauti labda kutegua mabomu(field engineer) etc ila kwenye mapigano inaanzia section, platoon, company, battalion.
Halafu Muundo wa majeshi mengi nchini uko vilevile isipokuwa vitu vichache sana Na ndio maana anaweza akatoka mtu kenya akaja kupata mafunzo tanzania, au Watanzania wanavyoendaga urusi nkadhalika, hata mifumo ya kivita ni ileile isipokuwa huku utaona vimeongezeka vichache huku vimepunguzia ila kuna baadhi ya vitu Kama saba hivi(samahani sitovitaja) ni lazima viwepo kokote kule
 
Kupeleka?

Wanavipeleka lini?
Yaani hadi huko mwezi wa 6, vita bado inawasubiri wao tu

Na pia umeona mvutano uliokuwepo kwenye huko kufikia makubaliano ya kuvipeleka?
Muhimu ni kwamba vitapelekwa tu haijalishi itakuwa lini...... mvutano ni kawaida Sana kwa washirika wa hiyo jumuiya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…