Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hawa wataishi sana kwenye proxy na kuviziana ila vita ikitokea itakuwa ya mashambulizi ya haraka majeshi yao yako active mnoIsrael haina tatizo na Iran kuwa na silaha maelfu kwa maelfu ilimradi zisiwe nukes. Israel inakataa shipments za Iranian weapons kwenda kwa magaidi na ndio inazipiga hasa zikienda Syria maana zikitoka hapo zinaingia Lebanon na Palestina.
Na Israel haiwezi anzisha shambulizi la wazi dhidi ya Iran maana ishachoka lawama, na bado Iran inajiweza.
Iran haiwazi kuishambulia Israel, hizo death to Israel za serikali ni slogans tu. Hawa wataishi sana kwenye proxy na kuviziana ila vita ikitokea itakuwa ya mashambulizi ya haraka majeshi yao yako active mno
Kabisa MKUU maana UKRAINE hawezi mshinda RUSSIA naikitokea anamshinda basi DUNIA lazma itasimamaHii vita itaisha na mapinduzi makubwa ya namna ambavyo dunia itakuwa inaendeshwa.
Wanaotegemea Russia kushindwa wajiandae tutakutana makaburini kuelezeana ilikuwaje tukafika huko endapo Russia itafikia kwenye dead end.
Unapoteza muda wako bure kumuelewesha huyo 'much know'....muache aamini ujinga wake.Mkuu unaendelea kusisitiza habari za historia ambazo umesikia nusunusu tu au hujaelewa. Unaangalia takwimu kidogo unazochota wikipedia upande wa mapigano na Urusi lakini huna picha ya vita hiyo kwa ujumla. Naona basi tuache maana wengine wamechoka tayari . . .
Mkuu heri uwaambie hao wanaoleta Gaddhafi na ushujaa wa Urusi wakati wa vita iliyopita!Niwakumbushe huu uzi una maelfu ya kurasa tumeshatoka kwenye historia . Habari imayojadiliwa hapa KWA sasa ni matukio ya SASA yaani siku ya jana ama siku ya leo . Kama ndio unajiunga kwenye hii thread jua kwamba kuna page zaidi ya elfu ishirini za utangulizi. KWA SASA tupo na mwendo wa SMO BASI. MAMBO YA HISTORIA WORLD WAR HAYO JIANDAE NA PAPER FORM SIX MAY 2015
Mkuu unaonaje kwamba hadi leo Urusi ilishindwa kumaliza mradi wa T14 Armata? Ilipoonyeshwa mara ya kwanza miaka 7 iliyopita wote (pamoja na Wamarekani) waliisifu kama mapinduzi ya ubunifu wa vifaru ....Niliwaambia kuwa urussi baada ya kila miezi miwili anafanya mapinduzi ya kuzalisha silaha kwa kasi tena za kisasa ..sasa hivi viwanda vya kuzalisha silaha za kuuza kibiashara za viwango vya chini ..vyote vimegeuzwa viwanda vya kuzalisha silaha za viwango vya juu kabisa .... sasa hivi mrusi anazalisha silaha za daraja la kwanza grade A
MUDA NI MUAMUZI MZURI SO KAA KWA KUTUULIADaah unahangaika Sana kumtetea looser, mda ndo utakuonyesha kuwa ulikuwa unaupoteza bure
Pigia mstari hapa"In wars the Russians are traditionally weaker in the beginning, but later they cannot be stopped.β
upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana, unadharau nchi iliyokupiga na kuteka zaidi ya 18% ya nchi yako pamoja na kusaidiwa na mataifa makubwa?
Wewe kushinda unatafsiri vipi wakati washachukua donesky,luhasky na maeneo mengine.Hii Russia hakuna vita wanayoweza kushinda mwaka mzima hakuna kitu ni kuua raia tu hadi wamepeleka wafungwa vitani, ngoja vifaru vije viwakute hapo wakiwa bado wanalewa Vodka. Bure kabisa.
utake usitake mrusi bado ni world millitary superpower; USA waliwasaidia waasi kumwondoa Bashar al asad, urusi wakapeleka vikosi vyake mpaka leo Asad anadunda na Syria yake, USA walitaka kumwondoa Maduro wa venezuela, baada ya mrusi kupeleka vikosi vyake USA akafyata mkia bila hata mapigano, USA ilishindwa vibaya vita vyake na Somalia/vietnum baada ya mrusi kuingilia kati, Ukraine ikisaidiwa na mataifa ya magharibi hadi sasa imeshapoteza zaidi ya 18% ya ardhi yake! ni mtu asiyekuwa mwelewa tu anayeamini mrusi ni dhaifu kijeshiTena naidharau hadi basi tu, maana Urusi niliyokua naijua, niliyokua naiogopa...iliyokua inategemewa na waarabu wenu...kama ndio hii, kwa kweli dunia tumebaki pabaya maana tuna mbabe mmoja tu.
Umeiona Kwa kutumia kiungo Gani?nauhakika sio ubongo.Naiona Russia ikienda kumegwamegwa.., masikini Putin [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana yake hiyoWatu wengi walikuwa awaelewi kuwa ule muungano wa soviety ulikuwa ukiugeuza upande wa pili unaona picha ya Urusi.
Soviety ndo Urusi na Urusi ndo Soviety
Urusi ya kabla ya hii vita siyo urussi ya sasa wakati ule warusi walijikita kwenye silaha za kibiashara zaidi hivyo wakawa wanatengeneza silaha chache za daraja la kwanza ambazo siyo za kibiashara ila kwa sasa vyuma chakavu vya mrusi vyote vilipelekwa ukrain...vimemalizika sasa hivi mrusi kajikita kutengeneza silaha za daraja la kwanza tu ...kumbuka hata yale makombola ya mrusi yenye kasi kubwa yalikuwa machache ila kwa sasa yanakwenda kutengenezwa kwa mamia na maelfuMkuu unaonaje kwamba hadi leo Urusi ilishindwa kumaliza mradi wa T14 Armata? Ilipoonyeshwa mara ya kwanza miaka 7 iliyopita wote (pamoja na Wamarekani) waliisifu kama mapinduzi ya ubunifu wa vifaru ....
Leo inaonekana mradi umewashinda, hawakuweza kutengeza zaidi ya makumi machache na hadi sasa waliogopa kupeleka T14 kwenye uwanja wa mapigano.... Kuna taarifa kwamba makamanda walivikataa, matatizo hapa na matatizo pale.
Ukiwa na taarifa tofauti: Onyesha!
Naona tu wengi huwa na mashaka kama kuna kweli kasi hiyo inayodaiwa . . . Unapata wapi habari hiyo ya silaha bora? Si kweli yale tunayoona.Urusi ya kabla ya hii vita siyo urussi ya sasa wakati ule warusi walijikita kwenye silaha za kibiashara zaidi hivyo wakawa wanatengeneza silaha chache za daraja la kwanza ambazo siyo za kibiashara ila kwa sasa vyuma chakavu vya mrusi vyote vilipelekwa ukrain...vimemalizika sasa hivi mrusi kajikita kutengeneza silaha za daraja la kwanza tu ...kumbuka hata yale makombola ya mrusi yenye kasi kubwa yalikuwa machache ila kwa sasa yanakwenda kutengenezwa kwa mamia na maelfu
Mkuu T14 Armata hali halisi haiko, angalau hadi sasa imefichwa... Inaonekana mradi umewashinda. Walikuwa na mpango mzuri ila hawawezi kuutekeleza. HAdi sasa ni kifaru cha paredi na propaganda tu.Hivi T14 Armata armored division moja inatakiwa iwe na vifaru na wanajeshi (Infantry Men) wangapi, au kunatakiwa kuwe na silaha za aina gani ???
Sehemu za mapigano (Battle- Fronts) ziko sehemu tatu,kule Donbass, Belarus na Crimea. Hivyo vifaru watavipeleka upande upi, na nini kazi ya vifaru kwenye vita ???
Umoja wa Kisovyeti ulikuwa Urusi pamoja na koloni zake zote. Urusi wa Leo bado ni Urusi pamoja na koloni nyingi katika Asia KAskazini na milima ya Kaukazi walizoiba katika karne tatu zilizopita. Waingereza waliondoka katika koloni zao, Warusi wamebaki.Watu wengi walikuwa awaelewi kuwa ule muungano wa soviety ulikuwa ukiugeuza upande wa pili unaona picha ya Urusi.
Soviety ndo Urusi na Urusi ndo Soviety
Acha uzwazwa wa kujitoa akiliNaiona Russia ikienda kumegwamegwa.., masikini Putin [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huo ni ukweli hambao unawauma wengi mkuu lakini Haina budi kuvumilia maana Hali hiyo haiepukiki.., urusi Anaenda kuchanikachanika kama tambala bovu.., kiukweli inasikitisha maana wengi walimtegemea urusi..,Kwa Sasa hatuna budi kuyatii matakwa ya USA kwa ghalama yoyote [emoji848]Acha uzwazwa wa kujitoa akili
Usije ukakimbia hapa baada ya vita kuisha.....mnajitamba sababu pale marekani ndio kitovu cha Aliens ππππHuo ni ukweli hambao unawauma wengi mkuu lakini Haina budi kuvumilia maana Hali hiyo haiepukiki.., urusi Anaenda kuchanikachanika kama tambala bovu.., kiukweli inasikitisha maana wengi walimtegemea urusi..,Kwa Sasa hatuna budi kuyatii matakwa ya USA kwa ghalama yoyote [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app