Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwambaaaa..... Vifaru vya Urusi vipige koote vichukue ila tu visiingie Kiev!!?? Waache uoga...sasa wasipoingia Kiev na wakachukua majimbo mengine SI watakuwa wajinga kiwango Cha HIMMARS
 
Ebu lete iyo taarifa kutoka NATO inayosema kuwa kama Warusi watashambulia Ukraine kwa Nuclear basi nao wataishambulia Urusi kwa Nuclear.

Nipo nasubiri iyo taarifa
Ufaransa walitamka kbs kuwa kama Urusi watatumia nuclear wao hawatajibu au hawatakuwa miongoni mwa watakaojibu kwa nuclear.

France will not respond with nuclear weapons should Russia use them against Ukraine, French President Emmanuel Macron said.

Kuna watu wanafikiri nuclear ni silaha za kawaida.
 
Wapigane huko huko dunia,wanasema Africa sio dunia
 
Naona tu wengi huwa na mashaka kama kuna kweli kasi hiyo inayodaiwa . . . Unapata wapi habari hiyo ya silaha bora? Si kweli yale tunayoona.
Kweli ninacho kuambia hata USA na NATO watakuja kukiri hivi karibuni sasa hivi HIMARS SIYO TISHIO TENA MAANA DAWA BORA ZAIDI ZIMESHA PATIKANA PIA URUSI YUPO MBIONI KUTUMIA PRODUCT YAKE MPYA YA SILAHA ZENYE KUJIENDESHA KIVITA ZENYEWE BAADA YA MIEZI MIWILI TU ZITAKUWA ULINGONI
 
Taarifa kutoka forbes.com aaah! Business as us... taarifa yenyewe wamenukuu Kyiv Independent waliowanukuu Military balance 2021[emoji16]

Vichekesho kama hivi havijaanza juzi wala jana kwenye huu mgogoro

"According to available information, the Russian occupation forces operating in Ukraine have stockpiles of ammunition and food for no more than three days," the armed forces official said in a statement.

Hiyo ilikuwa ni march wakati hata mariupol bado haijaanguka Leo watu wapo karibu kuikamata Bakhmut.

Wanasema kati ya vifaru 10k ambavyo urusi walivyonavyo store ratio ya vizima na vilivyokufa ni 1 ya 10. Hii chumvi sio ya kawaida. Hadi wenyewe wamejishtukia.
Kuna haka ka kipengele hapa wamekaweka.

"but it is hard to know how seriously to take this number: very likely nobody, including the Russians, really knows."

Hiyo article yote ni rubish. Kuna mambo yameandikwa hapo sio tu yanastaajabisha bali yanachekesha.

The presence of T-62s indicates that, despite its theoretical armor reserve of thousands of tanks, Russia is running low on T-90s, T-80s, T-72s and T-64s – representing at least three generations of tank — and is now scraping the bottom of the barrel with tanks made when Gerald Ford was president, disco was going mainstream and Bill Gates and Paul Allen formed a little company called “Micro-soft.”

Hii si ni mipasho hii [emoji16]. Haina tofauti na ile ya kusema mara ya mwisho Arsenal wanashinda epl Zuchu alikuwa hajazaliwa.

Alf how do you arrive to such conclusion kwamba presence of T62s on battlefield indecates shortage of 3rd generation tanks!? Haiwezekani kuwa Urusi anatumia mfumo wa 1st in 1st out. Kwa nini apeleke vifaru vya kisasa battlefield kwenda kupigana na adui anayemzidi firepower by far wakati ana mavifaru ya zamani kwa maelfu store ambayo yanaweza kuifanya kazi ambayo haitakuwa ni hasara sana kama yakiunguzwa au kutelekezwa!??
Kwani hivyo vifaru viliwekwa store kwa maelfu ili iweje!? Kama wangekuwa hawavihitaji ya nini wavihifadhi!?

Why Ukraine Capturing So Many Antique Tanks Is Bad News For Russia

Bad news for Russia and good news for Ukraine I guess!?
Last time I checked Ukraine's Zelensky was requesting tanks from west.

While the acquisition of tanks from the West will be considered a diplomatic coup for Mr Zelensky, he said on Tuesday that his country required at least 300 of them to defeat Russia.

Maybe they are not capturing enough Russian T62s, Are they!?
 
"The Art and Power of War is to influence others to join your fight"

Mark Arthur.

Hii ndio Sera ya Marekani. Kama hauwezi kuwashawishi wengine kuungana na wewe kupigana Vita Basi you are weak.

Kuwashawishi wengine kupigana bega kwa bega na wewe Ni Nguvu kubwa Sana. Ndio maana unaona Urusi imeshindwa kuishawishi hata Beralus kupigana upande wake.
 
Imekaaje hii? South Korea sio ndio hawa wanaowezeshwa ni US kumdhibiti North Korea kule na vishindo vyake? sasa aje amsaidie US tena kwa vipi, lete habari kidogo inayoingia akilini sio porojo porojo
 
Hiyo ya Urusi hajui vyakula vya kwenda navyo vitani nimeikumbuka hahaha aisee na uchambuzi kibao tukatajiwa mpk aina ya vyakula vya vitani. Tukabakia na maswali kama mtu yuko jf anavijua vyakula vya vitani na yeye sio mwanajeshi iweje majenerali na wataalamu wote wa vita wa urusi wasivijue tena wakiwa namba mbili kwa ubora wa majeshi duniani!? Kama Urusi hawajui hivyo vyakula vipi KDF au TPDF au UDF etc!?

Propaganda
 
Marekani hawezi kushuka chini hivi hivi lazima atafanya kitu cha ajabu sana! Lazima atashuka na wenzake.
Anaweza kushuka tu mbona USSR alishuka na hakuna kitu alifanya!?

Ila kwa mtizamo wangu mm sitaki Marekani ishuke. Pamoja na mambo mambo yake still US ana mazuri mengi ambayo yataendelea kuifaidisha dunia akiwa yupo juu. Ila inatakiwa na wengine nao wawe juu. Mustakabali wa dunia uamuliwe na wengi badala ya wachache. Tena hao wengi wawe ni wenye mitizamo tofauti tofauti.

Kama US akishuka akapanda Mchina hakuna kitachokuwa kimebadilika. Ni kuchimba shimo kubwa ili ufukie shimo dogo. Dunia itabaki kuwa ni unipolar ambapo ndio tatizo tunalolikimbia sasa. Na tena bora hata ya Unipolar ya US kuliko ya mchina au mwngine kwa falsafa ya shetani unayemjua ni bora kuliko usiyemjua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…