Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


 

Kumbe US anapewa nguvu na Joka huu mwaka umeanza kasi sana ndugu zangu[emoji23][emoji23][emoji23]. Pro US hili ni kweli maana ndo naskia kwa jamaa hapa
 
IMF wamesalimu amri...imebidi wawe wakweli tu:

According to the Moscow Times leo 31/01/2023...(Hawa Moscow times ni pro West..na waliishakimbizwa Urusi, sasa hivi wanatoa online copy..kutokea Uholanzi)..

Uchumi wa Urusi unatarajiwa kukua kwa 0.3% mwaka huu. Ikumbukwe taarifa ya mwaka jana October, IMF ilitoa taarifa kuwa uchumi wa Urusi utapungua kwa 2.3% mwaka 2023.

Kwa makadirio hayo ya sasa Urusi itakuwa mbele Ujerumani - ambaye uchumi wake utapungua kwa 0.1% na U.K uchumi wake utashuka by 0.6%.

Ikumbukwe sababu walizotoa kwenye report ya mwaka jana kwa Urusi ni VIKWAZO...

Je mabadiliko kwenye taarifa kutoka kwenye taifa kubwa kama IMF, kuna jenga taswira gani..kwamba effects za vikwazo kwa Urusi sio kama ambavyo ulimwengu hasa West walitarajia???

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Waislamu waoga wa kujadili hoja pinzani!!!!Wanachojua ni kumtukana papa na kutukana wakristo!!!Labda Gavana ndie tunaweza kujadiliana kwa hoja!!!!Wewe unachojua ni matusi na kutafuta huruma ya umma!!!Sawa mdogo wangu
 
Shirika kubwa..sio Taifa kubwa (IMF)

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Trillion 9
Asante mkuu, kutuonyesha waziwazi hisabati zako. Haya milimita trilioni 9 ni kilomita milioni 9, kwa hiyo, jeshi la Urusi limeshaondoka duniani, limefika kwenye anga-nje , limepita Mwezi likielekea sijui Zuhura? Ukiamini hii hutakuwa na matatizo kuamini yote mengine unayoambiwa na marafki!
 
Kwahiyo wao wameamua kuishi kikomunisti au kijamaa au kiukana Mungu kama unavyosema, hao watu wa Magharibi wao inawahusu nini?? Yaani wanapungukiwa nini Russia akiamua kuishi maisha anayotaka yeye
 
Waislamu waoga wa kujadili hoja pinzani!!!!Wanachojua ni kumtukana papa na kutukana wakristo!!!Labda Gavana ndie tunaweza kujadiliana kwa hoja!!!!Wewe unachojua ni matusi na kutafuta huruma ya umma!!!Sawa mdogo wangu
Kwa hiyo kumbe humu ni mabishano kati ya waislam na wakristo na sio vita ya Ukraine inayo endelea?

Yaani ww kazi yako ni kuwasema wenzako kuwa wameathiriwa na dini za kuletwa kumbe ww ndo muathirika wa kwanza wa hizo dini?
 
Waislamu waoga wa kujadili hoja pinzani!!!!Wanachojua ni kumtukana papa na kutukana wakristo!!!Labda Gavana ndie tunaweza kujadiliana kwa hoja!!!!Wewe unachojua ni matusi na kutafuta huruma ya umma!!!Sawa mdogo wangu
Mkuu usiaharibu huu uzi ukitaka mijadala fungua uzi wa mijadala ya dini
Wewe huoni unavyo tukana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…