Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nyie si mnamtukana papa????Tuendeelee tu kujadili ushoga wa papa kaka!!!
 
Jitahidi kufuatilia vitu pande zote sio kwa LGBT tu mkuu
 
Daaah hivi mnaweza vipi kubishana na mtu kama huyu??????
9mm trillion ni sawa na 9km trillion???????

😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwa hiyo kumbe humu ni mabishano kati ya waislam na wakristo na sio vita ya Ukraine inayo endelea?

Yaani ww kazi yako ni kuwasema wenzako kuwa wameathiriwa na dini za kuletwa kumbe ww ndo muathirika wa kwanza wa hizo dini?
Usipoteze mada mimi nilikua nadeal na mdau aliyesema Ukraine na NATO ni makafir na mashoga wakiongozwa na Papa nyie wengine mmedandia tu talking yetu na huyo mdau!!!Nashangaa kakimbia au ndio kaenda kumsaidia putin luhansk???
 
Tujuze kilichomkumba Samora kwa ufupi au weka link kama unayo.
Kifupi warusi wali-balance ile vita na Renamo ili waendelee kuwepo na Kuvuna Mali Asili za Msumbiji!
Samora Alipo gundua janja hiyo akaamua kubadili na kutafuta msaada wa wakufunzi wa Jeshi toka nchi za magharibi!
Kilicho mpata...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hivi si tuliambiwa humu kwamba HIMARS zimeshaangamizwa na makombora ya Urusi? Uongo utaendelea kujulikana.
 
Hapa Mada Ni Taarifa Kuhusu Vita Inavyo Endelea Kutoa Taarifa
Hizo Habari za Abunuwasi Mnatuvuruga Mkaanzishe Mada yenu
Upo sahihi Mm nimfuatiliaji sana wa Vita na hii mada lakini Naboeka sana na Hawa Badala yakuleta Habari Ya vita wao Wapo na Ujuaji Kila Mmoja Anajiona Mjuaji kuliko mwingine
Mpaka Kero
 
Kuna kitu nashindwa kuwaelewa watu humu jukwaani, mtu anakashifu, anatukana lakini watu wanapoteza muda wao kujibu

Hivi maelewa kwanini jf wameweka kitufe cha "ignore"????
Ukibonyeza hapo huyo mtu meseji zote anazotuma atakuwa anasoma mwenyewe na wale wanaomsapoti,

Kuendelea kumjibu mtu huyu nyie ndiyo mnakuwa na matatizo na Siyo yeye
 
Daaah hivi mnaweza vipi kubishana na mtu kama huyu??????
9mm trillion ni sawa na 9km trillion???????

😂😂😂😂😂😂😂
Je unaweza kusoma? Kila kijiji kuna taasisi inayofundisha. Nilieleza milimita trilioni 9 ni sawa na milimita "milioni" tisa. Uliza pale walipoandika "shule" kuhusu tofauti kati ya milioni na trilioni. Watakusadia!
 
Vipi kuhusu majeshi ya makaburu waliokuwepo pale eneo la mpakani wakati ndege inaanguka na walikua watu wa kwanza kufika eneo la tukio sababu ndege iliangukia upande wa afrika kusini?????Inasemekana waliwamsilead through radar communication wale marubani wa kirusi waliokua wanaendesha ndege hiyo kuhusu attitude waliyokuwepo kabla hawajagonga mlima!!!!!Inawezekana makaburu walitumiwa na KGB kaka????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…