Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haamini kinachoenda kutokea Daah 😂😂😂
 
Nje kabisa ya content.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Dah Hadi Tornado Mlrs imeingia mzigoni. Kweli hali lazima I we mbovu zaidi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
609 kuongeza Moja wamechinjwa ndani ya saa 24 tu..,sisi kazi yetu ni kuwapa updates jinsi askari wa super pawer wanavyochinjwa..,ikiwauma Mimi Simo[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mmmh ni hatari,ukiona Ukraine analazimisha kurecruit Hadi walemavu Ili wakapigane basi ujue wamepukutika sana!
 
Huyu jirani yangu, ako hana raha kabisa this year. Urusi anatembeza kipigo, Alshabab wanamtaabisha na Gen.Muhozi pale naye anapiga biti la kukiwasha hadi Nairobi.

Urusi wamepigwa hadi wamesalia kugombea kamji ka chumvi, Alshabaab majeshi wa allah wenu siku hizi hawana jipya, nahisi mabikira wamepungua peponi maana kuna kipindi walikua wanaliamsha na kujilipua lipua sana, Gen. Muhozi ni mtoto wetu, amesomea na kukulia huku, hatupi tabu.
 
Hakuna jipya....hata himars walipatiwa kitchen party mwisho wa siku hakuna game chenja
Ingekuwa hakuna jipya vita vingeisha kwa siku tatu kama dikteta Putin alivyokuwa akiota ndoto na Ukraine ingekuwa koloni la Russia.
 
Russia ingekuwa nchi ya kidemokrasia isingeingia kwenye vita vya kipumbavu kama hivi lakini kwa kuwa wana utawala kama ule wa kina Mangungo hawana namna.
Hujui chochote mbona mnaiita marekani nchi ya kidemokrasia lakini inapigana Vita sehemu mbalimbali ya dunia Team NATO mnaendelea kuonesha hamna kitu kichwani.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
- Law maker Yuko sahihi, hajakosea Economi sanctions ni mbinu ya kupambana, au hujasoma Public international law?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…