Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio mipasho, tumekua humu, urusi ilivyo jaribu kuparamia Kyev na msafara wao wakafukuziwa mpaka leo wanagombea kamji ka chumvi, wameuawa zaidi ya 127,000 hiyo ni idadi mara nne ya JWTZ.
Na Ukraine ni mara ngapi ya JWTZ?😃😃😃
Hizo figure si za uhakika ila za Ukraine tuna uhakika Nazo maana mlijiumbua wenyewe!
 
Mkuu jaribu kunyosha historia yako kidogo. Urusi ilikubali rasmi maeneo yote ya Ukraine katika mkataba wa 1994 ikaahidi kuheshimu na KULINDA mipaka ya Ukraine.
Putin anajaribu kubadilisha yale yaliyokuwa mapatano.
TAngu kuwepo kwa Ukraine na Urusi kama nchi za pekee hakuna ardhi iliyohamishwa kutoka Urusi kwenda Ukraine.
Puti alianza kushambulia Ukraine tangu 2014 wakati Zelenski hakuingia siasa bado.
Jisomee kidoga na jaribu kuelewa.
 
US aliivamia Iraq Kwa sababu gani?Tena UN walikataa ila yeye akatumia mabavu!Hujamsikia Tony Blair akiomba radhi na kutubu Kwa kushiriki dhambi hiyo ambayo aliingizwa mkenge?
US alitaka kuivamia Cuba mwaka gani na Kwa Nini?
Usiongee tu maneno matupu!
 
"Thank God maeneo yamesharudi urusi yakiwa salama"[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo kura ilipigwa lini kujua maoni ya waphilipino?Maana Rais aliyepita hakutaka mahusiano ya Philippines na US yahusishe military force!
Kwanini?Huyu ameingia tu na kuamua kuingia makubaliano na US!
 
Na Ukraine ni mara ngapi ya JWTZ?😃😃😃
Hizo figure si za uhakika ila za Ukraine tuna uhakika Nazo maana mlijiumbua wenyewe!

Ya Ukraine mtupatie nyie upande wenu maana ndio mna access ya mliowaua, ila upande wa Ukraine wana access ya mizoga yote ya Warusi, hivyo kuhesabu ni kazi rahisi....takbirr

Kumbuka Urusi wapo kwenye nchi ya watu, hivyo kuuawa ni ahisi sana na ndio maana wamekwenda kukusanya mateja mtaani wameishiwa wanajeshi.
 
Si mlisema kaishiwa silaha, ana chakula cha siku 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kuweni wapole maji mtaita mmaView attachment 2503201
Hichi kipigo kinaitwa "Rebirth of the Vandalism", ni maazimisho yatakayoambata na kipigo cha kwenda ili kufyeka vichwa vya mashoga wengi walioko frontline wakiipigania nchi ya kikafiri Gaykraine.
 
Ubaya gani kama Ulraine ilijijenga kijeshi?? Maana mwaka 2014 ilionekana jeshi la Ukraine ilikuwa taka tu, ilishindwa kutetea nchi dhidi ya mashambulio ya Urusi, wakati Putin alivunja mikataba yake mara ya kwanza.
Ukraine ilijenga uwezo wa kujitetea, si uwezo wa kushambulia.
Propaganda wa Urusi imejitahidi kupumbaza dunia. Nikisoma michango yako - walifaulu ikasi.

Ila propaganda ya ujinga sana - wapi kwa mfano maabara ya vita ya kibiolojia siku hizi? Maana Warusi waliteka maeneo mengi ya Ukraine - kama yangekuwepo wangeyapata. Ila leo hawajadili tena maabara kwa sababu hawawezi kuonyesha kitu.
 
Watakuja kuzkwa na AK-47 humo mitaroni. Kazi kazi tu
 
Na Ukraine ni mara ngapi ya JWTZ?[emoji2][emoji2][emoji2]
Hizo figure si za uhakika ila za Ukraine tuna uhakika Nazo maana mlijiumbua wenyewe!
Na urusi alijiumbua mwenyewe baada ya kufanya mobilization ya askari laki tatu..,na mobilization nyingine ya askari laki Tano tayari imeshafanyika kimyakimya

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo kura ilipigwa lini kujua maoni ya waphilipino?Maana Rais aliyepita hakutaka mahusiano ya Philippines na US yahusishe military force!
Kwanini?Huyu ameingia tu na kuamua kuingia makubaliano na US!
Mkuu tafadhali tuongee kama watu wazima! Nimekupa chanzo, chanzo kinaonyesha marejeo yake, uko huru kuangalia mwenyewe.
Je wewe mtoto anayehitaji chakula chake kutafuniwa kabla anaanza kumeza?

Halafu huyu rais ameingia madarakani kwa sababu amechaguliwa, akieleza siasa yake mbele ya wanachi kabla ya uchguzi! Au unataka kudai alificha msimamo wake kuhusu China? 😱
 
Hahahahaa,we Endelea na story zenu za kanga!Ukraine akirusha kombora,anakadiria atakuwa ameua kadhaa,anaweka record!😃
Russia yeye anakuambia sensa utajifanyia mwenyewe,kama alivyoreatreat mkakuta Kaburi Moja mnafukiwa Hadi buku,mkaanza kulialia😃!
Huyo ndio Russia,sensa ni juu Yako!
Nyie komaeni na hivyo vipeperushi vya kuungaunga,Wagner wako kazini!
 
Urusi alishaona uelekeo wa misk agreement ndo maana alianza kuchukua maeneo kama Crimea ili yamsaidie kujilinda.hayo maeneo aliyopewa Ukraine Enzi za USSR wenyewe hawakuwahi kukubali kuwa chini ya Ukraine ndo maana kukawa na vita Kati ya serikali ya Ukraine na serikali ya maeneo hayo ndo maana urusi kaamua kuingia kuwasaidia ndugu zake Kwa sababu Ukraine walishindwa kufuata mkataba wa Amani wa maeneo hayo.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni nani waliyekataa ombi la Russia Baraza la usalama kuhusu uchunguzi wa maabara za US za kibaiolijia nchini Ukraine?
Russia alipeleka ombi Ili uchunguzi wa kimataifa ufanyike lakini France,UK na US wakapiga kura ya hapana kwamba hawataki uchunguzi!Why???
 
Hiyo misaada mnapewa bure?? Mtoto wa kiume kupenda vya bure kunatia shaka sana. Africa kuja kuendelea tusahau kwa vision za vijana kama hawa “ brain washed”
Tatizo sio kupewa au kukopeshwa hadi umuelewe alivyoandika.


Ametoa mifano ya miradi na misaada unayotoka western na washirika wake akauliza jee hatakama ni mkopo urusi anamiradi gani ya maendeleo hapo Tanzania.
 
Tumieni akili,hivi kwenye akili zenu hamjiulizi kwanini hizo tension US hapeleki huko America ya kusini?Kwanini anadeal na China na Russia pekee?
Kama unatumia ubongo wako vizuri utaelewa!
 
Jee nchi yako inayouwezo wa kujiendesha bila ya misaada ya hawo mnaowatukana??

Kama inawezekana kemea mikopo mjitegemee kivyenu. Hayo ya kumlaumu mtu kisa amezungumzia misaada iliyokuwa hamwezi kuiepuka ni kuishiwa hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…