Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🤣 🤣 🤣 🤣 Zelensky ni shoga mwenzie si unajua mashoga kwa nguvu za mdomo wanajiaminigi sana.
 
Kama kawaida yenu, endeleeni na twisheni sisi tunaendelea kusepa na vijiji 🤣🤣🤣
 
Kazi nzuri ya wachoma nyama wa Wagner PMC
 
We usiongelee uvunjifu wa kanuni gani wakati tunazungumzia real life, Ukraine imelelewa na Urusi ila imekengeuka wacha itiwe discpline. Mbona huongelei mambo ya shoga yenu USA kutaka kupelekesha nchi zingine kwa maslahi yake.
Urusi taifa kubwa hatuwezi pelekeshwa na mashoga. Tutaandikiana mikataba upya.

Ukraine alipewa masharti asijiunge na magharibi in a sense ya kukaribisha NATO. Yeye kajifanya mjanja kutaka kawasogeza hao wahuni anaambiwa anakaza ubongo acha apigwe na majimbo tuliomuachiaga yote tunayarudisha Urusi tuone hao mashoga wenzie wa NATO kama watakuja kuomba urafiki na Urusi.

Urusi alipotaka kuweka vinu CUBA marekani alikataa tena akang'aka sana kwamba ikibidi atawafumua na Nuclear bombs. Leo hii Marekani anajiona ana haki ya kuweka kambi zake Ukraine. Shoga mkubwa kabisa US na sahizi watajinyea bila pampers.
 
Hivi hapo juu mnabishanaje na mtu anayeunasibisha uislamu na kila mtu ambae Ni pro Russia?
Binafsi Mimi ni mkiristo Mkatoliki but am with Russians.
Ni ajabu comment za Jana na leo zimejazana watu wawili tu wanaoandika shudu.
Mtu anayekwambia leopard mzinga wake huenda km 500-1000,
Mtu anayekuita mvaa kobazi akimaanisha pro Russia wote Ni waislam na wanasapoti ugaidi. Wakati huohuo Russia kwa muongo iliyopita ilisumbuliwa na Wachenchenya ambao iliwaita magaidi.
Wakati huohuo Russia ndie aliyeimaliza nguvu ya IS na Alqaida katika Syria.
Kwanini watu hao wasipuuzwe bila kujibiwa?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa kwa Ukraine wanfurahia victory maana Urusi tuliyokua tunaijua tulitegemea ichukue Ukraine kwa wiki moja, imeishia kugombea kamji ka chumvi na kupoteza wanajeshi mara nne ya JWTZ.
hao mateja walioswagwa kwenda kupigana hawana jipya.
Wewe ni shoga, Urusi anapigana na NATO indirectly. Ukraine ni nyamafu tu bila msaada wa silaha hata huyo Shoga in Chief Zelensky angekuwa tayari ni mateka au ashakimbilia uhamishoni.
 
Habari za jumapili ndugu,Leo ni siku ya toba,nikukumbushe kwenda kusali na kupunguza mzigo ulio nao moyoni!

Wakristo huwa hatusubiri Jumapili kutubu, tunaamini Mungu wetu ni wa kila siku na kila saa na yuko popote pale, unapaswa kutubu muda wote popote pale na kuomba msamaha, kanisani tunakwenda kukusanyika ili kuhamasishana tu.
Nyie huwa nawashangaa hata mfungo mnatumia kalenda na kulazimishana.
 
Wewe ni shoga, Urusi anapigana na NATO indirectly. Ukraine ni nyamafu tu bila msaada wa silaha hata huyo Shoga in Chief Zelensky angekuwa tayari ni mateka au ashakimbilia uhamishoni.

Hivi mbona mnapenda ushoga sana huko Pwani na Pemba...maeneo mlio wengi.
NATO ikitia guu Ukraine itabidi muisahau Urusi.
 
Wagner wanakukata makende ukigoma kusonga front line.
 
NATO waingie mara ngapi? 🤣 Tunafumua uchafu wao wanaoleta na wanafunzi wao kwa ujumla.

Kwa mlivyochakazwa na ka-Ukraine, msiombe NATO waingie, hebu mpoteze njia mjichanganye na kushambulia kataifa kamoja ka NATO, kuna siku anti-missile ya Ukraine ilitua Poland, jameni Urusi alijitetea hadi huruma, alilia sana kwamba anabambikiwa...
 
Kwa mlivyochakazwa na ka-Ukraine, msiombe NATO waingie, hebu mpoteze njia mjichanganye na kushambulia kataifa kamoja ka NATO, kuna siku anti-missile ya Ukraine ilitua Poland, jameni Urusi alijitetea hadi huruma, alilia sana kwamba anabambikiwa...
Hamna taifa lolote linaloweza pigana na urusi directly. Halipo na hao US wanajua wakitoa silaha za masafa marefu zikaharibu mazingira Moscow ni WW3 directly. Itakuwa haina msalia mtume bali ni Nuke to Nuke interchange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…