Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2508563
Nakubaliana na serikali moja Kwa moja
Hapo kwenye tozo ya kubadilisha fedha ndipo marekani alikuwa anapotajirikia na kupata jeuri ya kufungua base 700
Yule kilanja ataanza kusema sasa hivi Tanzania mguu pande mguu sawa mbele tembea

USA=nani kakupa jeuri ya kukataa pesa yangu wewe kilaza?

Tanzania=asee mimi sio kilaza na alienipa
jeuri ni PUTINI kwahiyo mpigie simu mwenyewe.



Tanzania=URAAAAAAAAAA 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Hivi wale wanajeshi 10,000 waliopelekwa Uingereza kwa mafunzo ili waende kupambana na Urusi walifuzu?
 
usifanye masihara na vifo vya 22 Generals..!...yaani RED ARMY wapoteze Generals wote hao kiulaini tu...,
tatizo la hii viti PROPAGANDA zimezidi uhalisia.....yaani WEST wamewateka vijana wengi sana na kuwalisha wanachokitaka mkijue....,,, ila what I truly believe at the end of this SMO....tutayajua mengi sana na kuna mengine yatatushangaza....
...sijui kama ulikuwepo week za mwanzoni kwenye hii SMO...kulikuwa na Ma-rat wenzio humu wakutosha yaani tulidanganywa balaa...kuna mtu humu anaitwa 'BRITANICA' sijui amepotelea wapi....huyu alikuwa anatubeba kipindi SMO inaanza kuwa yupo ndani ya Urusi...anatuletea picha za Supermaket with empty shelves....sijui maandamano ya mitaani...ooh sijui Putin anapingwa, mara The economy is collapsing...yaan longo longo za kutosha...humu..na wenzie..sasa yote yale waliotuletea humu...wamekuwa proved wrong...yalikuwa matango pori..na wamesepa fasta humu ndani...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
@britanicca alisema kua hata sukari huko RUSSIA hakuna

Sasa sijajua kama mpaka leo wanakunywa kahawa tuuu ama vp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wale wanajeshi 10,000 waliopelekwa Uingereza kwa mafunzo ili waende kupambana na Urusi walifuzu?
Mkuu, ni ngumu kukupa jibu la direct...ila nilichojifunza kwenye hii SMO habari nyingi zinazotolewa na (UK + US)...kwa asilimia kubwa ni Propaganda..., kwa hawa top 4 'Collective West'...atleast akisema France au Germany...huwa kuna kaukweli fulani hv manaake iko wazi..hawana maslahi sana kwenye hii SMO..wanavutwa tu na hao wawili...,Training ya askari 10,000 sio ya mchezo mchezo...it needs alot of resources...such as Trainers, Equipment, and mostly....SPACE...kwa nchi kama UK ni ndogo kwanza training ya 10K soldiers....ingekuwa wazi sana kutoka na ratio ya idadi/eneo...kungekuwa na alot of informations nje nje ...lakini ukitafuta utaona tu just a group of 50-200 Soldiers wako na Vifaru, au wako kwenye Urban warfare training...yaani blah blah za kutosha kuupata ukweli ni kazi....ndio maana kila mtu ana data zake..

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
⚡️🇺🇦🇷🇺 Bakhmut is functionally encircled. Russian forces have now physically cut all the highway links to the city, only a few rural roads now remain unblocked. Russia also continues to make advances on the Marinka, Kupyansk, and Lyman axes.

Options for Ukrainian forces in Bakhmut at this point are pretty simple:

1) Attempt a withdrawal across open ground and rural roads to the west.
2) Counterattack to unblock the highways.
3) Sit in the pocket and fight a reenactment of Cannae.

- Big Serge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…