Huko DRC KDF wanafukuzwa kama kuku na banyamulenge🤣🤣🤣Ndio nini hiyo, mwaka mmoja bado tunapigishana makelele na supapawa...ameishiwa wanajeshi.
The war will end by "a bullet and a gun",take that to the bank!Ile vita itakuwa ni ndefu na hakutakuwa na mshindi - Putin anajua fika kwamba Ulaya na USA hawawezi wakamwachia aishike Ukraine.
Vita itaisha kwa mutual agreement.
Unalinganisha Syria na Ukraine?? Hauko seriously [emoji15]Sidhani kma western tasks will survive this mess?
View attachment 2509989View attachment 2509990View attachment 2509992View attachment 2509993View attachment 2509994
Kuna chanzo kingine kinadai ujerumani ameshaaprove vifaru 178 kuelekea Ukraine!!Kumekucha, sasa Vifaru vya kijerumani 100 (Leopards 2) kumwagwa Ukraine.- Baada ya Waziri wa Ulinzi wa ujerumani kutembelea Kyiv juzi.
Three European countries have promised Ukraine that it will get at least 100 tanks in the “coming months” as the German defence minister made a surprise visit to Kyiv.
The German, Dutch and Danish defence ministries also said training and support would be provided for the Leopard 1 tanks, ahead of the delivery of more advanced battle tanks in the future.
baadhi ya hivyo havifanyi kazi....ni machuma tu...yalikuwa store...wanayapeleka ili ya serve kama spare parts incase....,,,to shortify the stori ni kwamba Kyve.. is being regarded as a dumping area....watu wanasafisha store zao ... wanakuja kutupa hapo...!!!Kuna chanzo kingine kinadai ujerumani ameshaaprove vifaru 178 kuelekea Ukraine!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani hii vijana wa ghetto tunaiita kupigwa mande,uchumi na kijeshiSMO inaendelea vyema kama ilivyopangwa yaaaaani
Tunawakumbusha tu kwamba hii SMO kwa RUSSIA ndio kwaanza inaanza maana malengo bado hayajafikiwa nje ya beto field
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,mewahi kumla demu ghetto alafu akasema harudii Tena kuja,baada ya mwezi tu,unamuona katinga🤣🤣🤣 ndo Hawa west walivyoWamagharibi wanachekesha Sana wanafanya Nini hicho?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
kwa nini basi Putin kalalamika kitendo cha Ujerumani kupeleka silaha hizo nzito huko, kama ni ma scraper's si angekaa kimya tu ili baadaye wa- ukraine wauze vyuma chakavu.baadhi ya hivyo havifanyi kazi....ni machuma tu...yalikuwa store...wanayapeleka ili ya serve kama spare parts incase....,,,to shortify the stori ni kwamba Kyve.. is being regarded as a dumping area....watu wanasafisha store zao ... wanakuja kutupa hapo...!!!
..
siku njema bwana Kipanya!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Sijakuelewa Proved .point Yako ni Nini hapa?Patriarch Kirill ‘was a KGB spy in Switzerland’ – reports
Russian Orthodox Patriarch Kirill, a close ally of President Vladimir Putin, worked for Soviet intelligence while living in Switzerland in the 1970s, according to reports.
Citing declassified archives, Swiss newspapers SonntagsZeitung and Le Matin Dimanche reported that a Swiss police file “confirms that ‘Monsignor Kirill’, as he is referred to in this document, worked for the KGB”.
Source: The Guardian
======================
Huyu mtumishi ndio alitoa wito kwa Vita kusitishwa kwa muda kwenye Christmas ya ki-orthordox na Putin akakubali kuheshimu wito huo.
Ukistaajabu ya Musa.....
TUJITEGEMEE Sela Son
Dah!nchi ndogo lkn Ina msimamo hatari.[emoji1159][emoji1666][emoji288][emoji635]Main statements of Mali Foreign Minister after talks with Lavrov today:
[emoji3503]Mali will not make excuses for choosing Russia as a partner for cooperation
[emoji3503]Mali will not justify itself to anyone for choosing Russia as a partner for cooperation.
[emoji3503]"We decided to strengthen our partnership together with Russia and thus showed that we will not make excuses for the choice of partner that we made,
[emoji3503]The President of the transitional period of Mali intends to take part in the Russia
[emoji3503]Mali seeks to develop economic relations with Russia
[emoji3503]Mali will not support sanctions imposed on other countrie
Sent using Jamii Forums mobile app
Walivyotia kelele kuungana na West kwenye vikwazo, Russia waliieleza Japan Kwamba wasahau kabisa ishu ya mazungumzo juu ya North Territories ama Sakhalin island.Japan declared its desire to conclude a peace treaty with Russia.
“It is extremely regrettable that 77 years after the end of the war, the issue of the northern territories remains unresolved, and a peace treaty has not yet been concluded between Japan and Russia.
Currently, Japanese-Russian relations are in a difficult situation due to Russian aggression in Ukraine. However, the Japanese government is determined to resolve the territorial issue and conclude a peace treaty," said Japanese Prime Minister Fumio Kishida
View attachment 2509446
aisee, kwanza sijasema vifaru vyote ni vibovu...nimesema baadhi!!!...halafu kwa nn hamsomi...mbona habari zipo mitandaoni...kwamba baadhi ya hizo Tanks kutoka kwa Germany haziko nzima...,na zinapelekwa kwa ajili ya kusaidia spare parts kwa zile nzima incase.....si ni ishu ya kawaida tu hii...,kwa nini basi Putin kalalamika kitendo cha Ujerumani kupeleka silaha hizo nzito huko, kama ni ma scraper's si angekaa kimya tu ili baadaye wa- ukraine wauze vyuma chakavu.
nchi yenyewe haijielewi....matitizo matupu Tanzania ikasome.Dah!nchi ndogo lkn Ina msimamo hatari.
Hawamuogopi kaka Mkuu ,kiranja wa Dunia aliejipachika .
Tunasubiri tuone tofauti. But inaonekana silaha za offensive za Ukraine zinaisha kwa haraka Sana.Wameteka vifaru vingi ila sio kwa wingi wa kufanyia counter offensive.
Kwani uchumi wa Urusi haujatetereka hata kidogo sababu ya vikwazo ?...
Counter offensive ya Ukraine ipo njiani na silaha ikiwemo vifaru vya kimagharibu vipo njiani.