Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

saivi father anaitwa parent 1 na mama parent 2 haya mambo yaendana na haya ya wanaume kuowana ndo kuondoa nguvu ya wanaume. Tafakar na hilo pia. Na mpka saivi wanatumia nguvu kubwa sanaa kwenye haya mambo ya LGBT+ na mpka watoto wanafundishwa shule haya mambo.
 
Wiki mbili zilizopita tuliambiwa imebaki kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji28]

Wapi Mathanzua

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipanya wewe vipi,kama mtoto vilee.Yaani ukishaambiwa kitu hujiongezi hata,unang'ang'ania hicho hicho.Hii ni vita Kipanya,changes can occur anytime at the battle front.
 
Nakuambia hivi.
Kama zelensky kaenda Uingereza na kaonana na King Charles,Putin kwisha habari yake.
😃😃😃
King chaz noma😃😃😃
 
Wiki mbili zilizopita tuliambiwa imebaki kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji28]

Wapi Mathanzua

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vita ya Bakhmut sasa ni "Urban warfare" na ndo maana yachukua muda kidogo. Russia huwa hawapendi aina hii ya vita na ndo maana wao hutembeza kapeti na kuharibu kila kitu.

Vikosi vya Wagner sasa hivi vinapigana mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba na magofu kwa magofu ambapo majeshi ya Ukraine yamejificha.

Akiandika kwenye telegraph bosi wa Wagner bwana Yevgeny Prigozhin amesema sasa hivi vikosi vya Wagner vinakabiliana na vikosi vya Ukraine ambavyo vimejificha katika majumba, magofu na hata kwenye ngazi za majumba hayo.

Majeshi ya Russia yashambulia kutoka pande tatu yaani "three side ways" na yameingia katika barabara kuu zote na vitongoji vya Bakhmut kuelekea katikati ya mji.

Ziara ya Zelensky UK ni decoy kuzuia lengo halisi kwamba ataka kuondoa majeshi yake pale Bakhmut.

Majeshi ya Russia tayari yameshika barabara kuu mbili za MO3 na H32 ambazo ni barabara kuu muhimu kwa shughuli za ugavi yaani "supply lines" na wataka ikifika tarehe 24 wawe wamechukua Bakhmut mazima.

Kama ilivyokuwa kwa Soledar ambayo ilichukuliwa mwezi jana, ndivyo itavyokuwa kwa Bakhmut.
 
Km 900 hivi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Slavery mentality!!
 
Kwanini SMO imalizike muda huu BOSS hii SMO hata PUT IN aliishasema ni long process

Kwahio vumilieni tu huenda tukaishi nayo kama ile ya SYRIA nk

Hii SMO haitakiwi kumalizika mapema inatakiwa iendelee sana ili RUSSIA izidi kuheshimika maana MSM kina BBC nawenzie walituaminisha kwamba RUSSIA hawez vita yamuda mrefu sasa anataka kushuhudisha kwamba hata wakitaka miaka 30 awe anapigana yupo tayari

SMO ni long process kwahio kama mnatarajia kumalizika hv punde POLENI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Hivi kumbe sacholz bado ni raisi wa ufaransa ????
 

Hao wote uliowataja kwa Putin bado hawajakomaa kisiasa ndomana Macron huwa hapokelewi simu zake na Putin sababu hajui siasa hao bado watoto wananuka maziwa kwenye Siasa kidogo Biden ila bado sana kwnye siasa za kimataifa hana kitu.
 
Punde watu watakimbia BAKHMUT [emoji23][emoji16][emoji23]

[emoji635][emoji3538][emoji1255]"From a strategic point of view, Bakhmut is not very important, since it is completely destroyed". -Zelensky

Sent using Jamii Forums mobile app
sizitaki mbichi hizi...!!!...maninnaa...mpaka waitapike Ukrein yote!!!... wapi ki-rat..mida hii...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…