Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata hivyo basi Hakuna haja ya f 16 kufika huko Kama TU AD Ni kitisho hivyo

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hapo Kyiv ni eneo la mwisho, patapigwa katika namna ya pekee sana. Hakuna cha AD wala ushuzi. Zitashuka Hypersonic hapo hadi yabakie magofu tu.

Pataangamizwa tu na kujengwa upya.
 
Kuna watu vichwa vyao havi function zaidi ya kufugia nywele tu.

Haiingii akili useme mtu amepewa mtihani wa hesabu wa darasa la 2 wenye maswali hadi ya maumbo na algebra ambazo ni topic za darasa la 6 na la 7 halafu mtu akaze ubongo kuwa huo mtihani sio wa darasa la saba eti kwa sababu haujaandikwa ni mtihani wa darasa la 7 ila unaona uwepo wa maswali ya maumbo na algebra. Ni mpuuzi pekee atakayeamini ni paper ya la pili.
 
Urusi inapigana vita na US,NATO na the collective West mkuu,wakiwatumia Ukraine kama "Cannon Fodder," usijidanganye.This is a proxy war.Kama ingekuwa Ukraine peke yake,Russia would have overan it a long time ago.
 
Kwa nini wanasita?

Hakukuwa na maana yoyote ya kuivamia Ukraine in first place.
 
KUNA WATU WANAUSHABIKI ATAKAMA JAMBO WANALILO NA UHALISIA WAKE
HADI LEO MTU ANASEMA UKRAINE ANAPGAN NA MRUSI

WAMEJIZIMA DATA HAWA CHAWAAA
 
Kwa nini Russia hajatangaza vita na hayo mataifa yanapigana pamoja na Ukraine?
 
Hapo Kyiv ni eneo la mwisho, patapigwa katika namna ya pekee sana. Hakuna cha AD wala ushuzi. Zitashuka Hypersonic hapo hadi yabakie magofu tu.

Pataangamizwa tu na kujengwa upya.
Hypersonic are too expensive and don't add any tactical value than deterrent ndio maana Husikii tena Wizara ya Ulinzi ya Urusi ikisema tena bullshit za Hypersonic.

Russia at the end itabidi akae mezani sababu ya cost ya vita na little to no progress
 
Neno kwa Pro Russia.

Mwelevu ni yule anayeweza kushinda vita bila kumwaga damu, kama Russia ni Adui wa NATO basi NATO wakirefusha vita yake kwa muda mrefu, wanakuwa na Strategic advantage kuliko Russia.

Mwaka Jana sababu ya Russia kuivamia Ukraine walisema inampango wa kujiunga na NATO, then Finland anakaribia kujiunga na NATO na Russia hana tena uwezo wa kuendesha vita on multiple fronts, hii inaonesha namna Serikali za kiimla kama Russia zilivyo za ovyo
 
Kwa nini Russia hajatangaza vita na hayo mataifa yanapigana pamoja na Ukraine?
Sina hakika kwa nini Russia hawajatangaza vita kamili,ingawa to me wako kwenye vita kamili(conventional warfare) na mataifa yote ya magharibi.Hata hivyo tuwaachie wao waamue,after all sioni what they can't do by not proclaiming that they are at war with the collective West and NATO.

May be you can pick some points from the following link on why they have not announced a full scale war.

 
Hazitasaidia chochote ndio maana mlitaka zisije na mkatishia mikwara mbuzi kwamba nchi yoyote itakayotoa silaha itapigwa
 
Umelala umeamka unasema russia anapigana na Ukraine kisa kujiunga nato ila hujui au hujaskia toka 2014 Kyiv Alikuwa anawapiga eastern part of Ukraine kisaa wamekataa utawala wao uloekwa na marekan. Inasikitisha sanaaa
 
Hypersonic are too expensive and don't add any tactical value than deterrent ndio maana Husikii tena Wizara ya Ulinzi ya Urusi ikisema tena bullshit za Hypersonic.

Russia at the end itabidi akae mezani sababu ya cost ya vita na little to no progress
Russia akae mezani au NATO wakae mezani na Russia.
 
Kutanganza vita kamili kunakuja na consequences thus why kipigo kinatembea under Proxy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…