Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ndio maana SMO haitaisha hv punde waanze kuvurugana wenyewe kwa wenyewe huko ndani hatimae malengo yafikiweUnajipapasa mwenyewe
"Vikwazo dhidi ya Urusi ni mzizi wa maovu yote": Chama cha Uhuru cha Austria kinataka ipigwe kura ya maoni kuondoa vikwazo ambavyo ulaya imeiwekea Urusi lakini vinawatesa wenyewe kwa kuongeza gharama za maisha.
Air defence zilikuwa wap? Jaman Russia mnatumia makombora gani Tena ambayo yanapenya hata wakibana? Haya tunasubiri leopard bwana huu mtori tu nyama tutakula wiki ijayo.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji95][emoji95]
Confirmed damage to critical infrastructure in:
— Kiev (CHP-5)
— Kharkiv
— Odessa
— Kryvyi Rih (turbine department of the Kryvyi Rih CHPP)
— Zaporozhye
— Dnepropetrovsk
— Khmelnitsky
— Vinnytsia region
Emergency energy shutdowns in:
— Kiev
— Kiev region
— Poltava region
— Zhytomyr
— Dnepropetrovsk
— Zaporozhye
— Khmelnitsky
[emoji95][emoji95]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kitu pekee cha kuwasaidia ni kwenda kupiga magoti moscow.mengine ni kupoteza tu muda
Hazitabadilisha chochote.Nakazia!
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] president volodymyl zelensiky said on Feb.9 that certain positive decision concerning western made fighter jets were made in blussels with several European countries showing readiness to send them to Ukraine when the time comes [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kk security wakati alishspoteza mageneral 20 sasa waka idadi hiyo je wanajeshi watakuwa wangapi[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Biden si malaya, na urusi nae hapeleki jeshi lake la taifa, anawatumia KK Security kupambana na mashoga wa Ukraine.
Hivi kongo anavyopigana na waasi anapotumia silaha za Russia na China inamaana nchi hizo pia zinapigana tumia akili broUrusi inapigana vita na US,NATO na the collective West mkuu,wakiwatumia Ukraine kama "Cannon Fodder," usijidanganye.This is a proxy war.Kama ingekuwa Ukraine peke yake,Russia would have overan it a long time ago.
kremlin inangojea wafanyie miundo mbinu ukarabati kama wiki mbili hivi alafu inageuzwa vifusi, back to basics[emoji95][emoji95]
Confirmed damage to critical infrastructure in:
— Kiev (CHP-5)
— Kharkiv
— Odessa
— Kryvyi Rih (turbine department of the Kryvyi Rih CHPP)
— Zaporozhye
— Dnepropetrovsk
— Khmelnitsky
— Vinnytsia region
Emergency energy shutdowns in:
— Kiev
— Kiev region
— Poltava region
— Zhytomyr
— Dnepropetrovsk
— Zaporozhye
— Khmelnitsky
[emoji95][emoji95]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kitu pekee cha kuwasaidia ni kwenda kupiga magoti moscow.mengine ni kupoteza tu muda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamkutoa tena list ya magenerali waliokuwa baada ya wale mliosema wamekufa kuonekana wakiwa mzigoni.mlipata aibu sana kama ile helicopter yako iliyokuwa inadunguliwa mara mbili mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kk security wakati alishspoteza mageneral 20 sasa waka idadi hiyo je wanajeshi watakuwa wangapi
Jeshi la anga la Zelensky linalalamika kuwa Urusi imeitandika Ukraine na makombora 35 yasiyoweza kutunguliwa na mifumo ya ulinzi ya anga iliyopelekwa na Marekani/NATO nchini humo ikiwemo NASAMS
View attachment 2512487
Uingereza ni kina kirefu Mzee..,yule kichaa wa klemlin pamoja na mikwara yake likija suala la uingereza lazima aufyate tu..,yule ni kama mnyama leopard [emoji249][emoji249][emoji28]
Mdogo lakini mambo yake si ya kitoto
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hahaaa Zele anafosi Nato waingie mazima vitan na RussiaZelensky called the Russian missiles flying over the airspace of Romania and Moldova a "NATO challenge." Earlier, Romania denied the entry of the invasion of Russian missiles into the airspace of the state.
Kama Kiduku kwa JapanRomania's defence ministry says Russian missile flew 35 kms northeast of its border — Reuters
Ameona asishindwe vyote, maana front line anatembezewa mkong'oto balaa,Sasa anaona isiwe kesi, amalizie tu hasira zake kwenye hii miundombinu hambayo baada ya muda mfupi inarekebishwa!!Russia anasifa sana anasubiri utengeneze miundombinu ya Umeme anaharibu tena [emoji38][emoji38]
Kumbe linasongea mbele huku lingine linarudi nyuma #NIMEKUELEWAMkuu ukiuliza silaha zilizofika ukraine tayari zilikuwa na mafanikio gani? Basi angalia picha zilizokusanywa na shirika la ORYX - Uholanzi; walithibitisha hadi sasa takriban vifaru 1000 vya Kirusi vilivyoharibika, pamoja na vile takriban 500 vilivyokamatwa na Ukraine baada ya askari wa Urusi kukimbia na kuviacha wakihofia kuchomwa ndani ya vifaru hivi.
Jumla hiyo ya 1500 ni vile tu vilivyoweza kuthibitishwa, uharibifu kwa jumla lazima ni juu zaidi.
Pamoja na Urusi kukosa hadi leo hii udhibiti wa anga juu ya Ukraine... kwa sababu Warusi wanahofia silaha hizo za utetezi dhidi ya ndege.
Inatosha je? au niongeze?
(Pamoja na jeshi lililosifiwa kupigana tangu miezi likijaribu kusogea mbele tena mita chache...)