Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanachukulia kitoto 🤣🤣🤣
 
Urusi amalize mtihani aliopewa kwanza wa kupambana na Ukraine kabla ya kuwafikiria hao wengine [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine ilishamalizwa kijeshi siku 3 za kwanza na hakuwa na jeshi tena baada ya hapo ndo EU na NATO wameingia kwa lango la mercinaries(mamluki) na demilitarization unaendelea kwenye vitengo vingine.. Sasa hizo stori za mapanya patia panya wenzio
 
A Ukrainian soldier asks his commanders to withdraw the Ukrainian troops from Bakhmut.

You bastards, the Ukrainian command, take the guys out of Bakhmut! It will be a repeat of Azovstal! Take the guys out; how many video appeals have we already recorded? Why don't you hear bitches? Do you like it when our guys die, you bastards? Take your son or wife and take them to Bakhmut, and let them stand there!
And you fucking deputies sit in a chair and shout glory to Ukraine? You are not patriots; you are murderers; you are beasts; you are devils! We don't ask for much: withdraw from Bakhmut; issue an order to withdraw troops from Bakhmut! Whatever the cost, it will be the right decision.
I'll tell you another thing for sure: when the war is over, one hundred percent, there will be a sweep of our deputies for whom our heroes, our soldiers, died! Glory to Ukraine
 
New Zealand yaripoti kuwa Urusi kwa mara ya kwanza imetumia drone yake mpya za majini (drone boat) kushambulia na kuangamiza daraja muhimu la kupitishia silaha huko Odessa. Shambulizi hilo limewaajabisha wachambuzi wa maswala ya silaha wa kimagharibi wakisema haikutambulika wala kutegemewa kuwa Urusi angeweza kuwa na drones hizo wala uwezo wa kuzitengeneza.

Kumbe wamagharibi walikuwa wakidhani eti Urusi ni Zimbabwe?!



 
Mbona hatuoni hata jiwe likirushwa kwenye ardhi ya hayo mataifa ya NATO Sasa[emoji28][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani upo Dunia gani[emoji23][emoji23][emoji23].makombola juzi tu yamepiga Romania na Moldova na hakuna hata wa kusema kitu. Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…