Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]the council of European union has added four countries , including Russia,to the list of non-cooperative jurisdiction for tax purposes [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
80% za kufa means huyo ni mfu kabisa

Asilimia inapozidi 50 means ni lazima hicho kitu kitokee sasa je wanajeshi wote walioenda vitani wamekufa?

Sema ni 50 kufa 50 kupona
 
Kwa nini asirushe hata jiwe Moja kwa moja pale pentagon [emoji28][emoji23][emoji1787]

Si mnasema ndiye anawaburuza na kuwamaster wote hapo ulaya!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kiufupi ameshafanya violation ya kutosha kwa kupitisha ndege na makombora kwenye air space ya Poland bila kibali, sasa wewe na mimi huku tujiulize ni kitu gani kimewazuia Poland [emoji1200] kutungua hizo ndege na makombora?
 
Kwani wewe ni msemaji wa serikali ya Poland?? Maana hao Poland wenyewe hatujawasikia wakilalamika kuingiliwa katika mipaka yao!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dakika chache zilizopita nilikuwa nawaangalia na kuwasikiliza kupitia TV waziri wa ulinzi wa Marekani General Austin na Chairman of the joint chiefs of staff wa USA General Mark Milley wakiwa kwenye press conference pale Brussels, Ubelgiji ambako wako kwenye mkutano wa Contact group (Baraza la Vita la NATO) unaohudhuriwa na nchi 54 zinazopambana na Russia...
Ndugu zangu, Hali ni ngumu kwa Ukraine na NATO...
Jamani kumbe ni kweli Russia ilikuwa haijatumia air Force yake na Sasa inaonekana itaanza kuitumia...duh...akina 'ki-rat' kazi mnayo...
 
Coment ya kujitia matumaini hii[emoji16]
Kwa hiyo baada ya kutazama ukaona uje mbio kuja kutusimulia huku[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakatuletea Movie ya RAMBO ili tusahau kichapo walichokula[emoji23][emoji23]
 
Mzigo unazidi kuandaliwa.., hakuna taifa lenye maadui dunia hii kama urusi..,naona kama Kila nchi inammind huyu super pawer wa kwenye makaratasi [emoji848]🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…