jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Picha hazitabadilisha chochote.[emoji1255][emoji123]View attachment 2517485
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sijazileta kwa lengo la kubadilisha chochote..,nimeleta kwa lengo la kuhabarisha tu!Picha hazitabadilisha chochote.
@Ziroseventytwo Russia hataki kupigana na Poland.., lakini vilevile Poland hataki kupigana na Russia
That's all[emoji106][emoji106]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
EU Ni Nan kwa Russia mm naona Kama broiler tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sijazileta kwa lengo la kubadilisha chochote..,nimeleta kwa lengo la kuhabarisha tu!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo EU inamwekea vikwazo urusi..,kama urusi ana ubavu kwa nini asiwawekee vikwazo hao EU??EU Ni Nan kwa Russia mm naona Kama broiler tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
HERUFU KUBWANATO muda huu wako Brussles wanaendelea na kikao Cha dharura kujadili namna ya kupeleka ammunition huko Ukraine ambayo imeishiwa...Nchi za NATO nazo zimepungukiwa na ammunition...Sasa hapo ngoma nzito Sana...dubu yeye anaendelea na kazi ...
Hiko kipoland kipigane na Urusi!!!!!Lait mgejua Poland anavyommezea mate urusi wakutane kwenye uwanja wa vita,msingelikuwa mnalishana haya matangopoli [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyo Urusi anasubiri nini kukigusa Sasa [emoji28]Hiko kipoland kipigane na Urusi!!!!!
Tunasubiri hiyo kitu toka kwa mashoga tuwatembezee mtalimboTukumbuke ni West ndo waliwakataza Ukraine wasifanye Counter Offensive.
Sasa wanajipanga wafanye counter
Russia hataki kupigana na Poland.., lakini vilevile Poland hataki kupigana na Russia
That's all[emoji106][emoji106]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app