Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo 'air force' ilikuwa na matatizo gani mpaka isitumike mwaka mzima wa VitadU
Duh...swali la ajabu kabisa....sidhani kuwa uliwahi kushika hata silaha ya manati wakati wa utoto wako...Au niulize: hivi uliwahi kucheza hata mchezo wa hide and seek na watoto wenzio???!!!! Hivi kweli kwa namna ulivyosoma uchambuzi wa hoja mbalimbali hapa, unaweza kweli ukauliza swali la kitoto kama hilo??? duh
 

Zimeteketea zaid ya $ 120 billion sembuse hiko $ 10 billion??
 
Umesem iran , mmoja sio washirika , na hazipelekw kama msaad bali ni biashara

NATO ni muungano wa nch ngap
 
Umesem iran , mmoja sio washirika , na hazipelekw kama msaad bali ni biashara

NATO ni muungano wa nch ngap
Hiyo Iran nimeisema kama mfano tu,, yapo mataifa mengine pia yanamtumia silaha urusi kama north Korea..,belarus na mengineyo hambayo hayatangazi msaada huo Kwa kuhofia vikwazo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Norway will transfer height leopard 2 tanks and four special purpose tanks to Ukraine.it will also allocated fund for ammunition and spare parts ,the guardian reported [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Jamaa muongo sana halafu uso mkavu kabisa😀😀
 
Badala ya kujibu swali unaleta porojo....hovyo kabisa.
 
Nini kinaendeleq nyuma ya pazia?
Siku za nyuma west hasa US na UK walikuwa na assets mbalimbali zilizokuwa zinafanya surveillance, intelligence na recconaissance na kuwapa hizi taarifa jeshi la Ukraine ambapo kupitia hizi taarifa Ukraine alikuwa anajua mwenendo wa majeshi ya Russia hivyo kumpiga counter za hatari na kipindi flani Russia wakaoneķana kuachia baadhi ya maeneo.
Nakumbuka ndege na drones kama RC-135 Joint Rivet, Northrop Grumman RQ-48 Global Hawk na E-8 ambazo zilikuwa zinakaa anga la baadhi ya nchi za Nato na kukusanya taarifa zote muhimu kuhusu formation za warusi then wanampa hizi taarifa Ukraine. Jee hizi assets zimeondolewa maeneo husika na hazifanyi tena kazi ya kumsaidia Ukraine au nini kimetokea maana kipigo Ukraine anachopewa siku za karibuni ni kama mtu unayepigana ukiwa umefungwa ndani ya gunia huzioni ngumi za adui zinatokea upande gani ujikinge au urudishe mapigo.
Bila hata siraha kali sana kama hayo mavifaru anayoahidiwa kupewa, uwepo wa hizi ndege ulimsaidia pakubwa sana maana battlefield aliielewa na kumfanya kufanya mashambulizi yaliyoleta hasara sana kwa warusi.
Je hiki kinachoendelea tuamini Russia wamepata mwarobaini wa hizi ndege kama ilivokuwa kwa drone za mturuki, himmars na machuma mengine yaliyotumwa kumsaidia Ukraine. Kama ni hivo hizi ndege amedeal nazo vp?

NB; Mzee wa chip za kwenye dry cleaners kuwekwa kwenye vifaa vya kijeshi sihitaji jibu lako maana utaniingiza chaka
 
Dah aisee Russia imeua karibu Kila raia wa Dunia hii🤣🤣🤣.
Mpaka hapa Nina uhakika imekwishaua Kila mwanajeshi wa NATO.
 
Hawa mbwa watakwisha [emoji849][emoji849][emoji849]
Tayari maaskari wa ukrain laki 230000 wamekwenda na maji
 
Kwa sasa kinachoendelea chini ya PMC Wagner ni wanajeshi wa NATO kupigana wao kwa wao.

Wagner wanachokifanya ni kuwakamata wanajeshi walioupande wa Ukraine na kuwabatiza wanakuwa upande wa Russia.

Wanajeshi wa Urusi walipigana mwanzoni kupitia Chechen, lengo lao lilikuwa ni kupata mtaji wa wanajeshi. Sasa hivi wapo na mtaji wa mateka wengi sana. Na hao mateka kutoka nchi mbalimbali wamekuwa wanajeshi wa Russia.

Kuna General mmoja wa USA aliyekuwa amezungukwa kule Mariupol, walijaribu kila namna ya kumuokoa walishindwa. Sijajua alipotelea wapi maana hata taarifa za kifo chake hatukusikia. Huenda kwa sasa ni mwanajeshi wa Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…