George Bush, Tonny Blair, Obama, lini walifunguliwa mashtaka?Kwenye hii vita kuna mambo siyasikii kabisa moja ni upelekwaji wa merceries nchini ukrain,umoja wa mataifa kumfungulia Putin mashitaka ya uhalifu wa kivita,ukrain kushambulia ndani ya Urusi pamoja na kuiwekea vikwazo urusi
Hizo ni picha za satellite Mzee.., ulitaka uzione katika muonekano wa picha za selfie [emoji1702][emoji1702][emoji1702]??Hizi picha au movie za mapanga kuwa serious
Kapoteza magenerali 20 na mobilization ya vijana laki 3 unasema hajaanza vita fisi weweRaisi Putin alisema kwamba Russia bado haijaanza vita rasmi na ndo maana Wagner Group na wapiganaji wa Chechen watumika hadi sasa.
Pia Russia bado hajaanza kutumia silaha nzito hivyo huagiza silaha ambazo amewafundisha Iran na Korea Kaskazini kutengeneza.
Hivyo huagiza mizigo ili nae ajaribu ufanisi wake.
Kuna mahali humu nimesema kwamba Ukraine ni uwanja (theatre) ya majaribio ya silaha za aina zote na hata NATO/ USA wakisema watapeleka silaha Ukraine ni kwamba order zapelekwa viwandani na kisha kuletwa Ukraine kwa majaribio na matumizi.
Hili ni moja ya maeneo ambayo yana upigaji mkubwa sana (lucrative) na kuna watu wanatajirika kila kukicha kwa maana order zatumwa kwa kila aina ya kifaa cha kutumika Ukraine.
Ndo maana huwa nasisitiza kuangalia mgogoro huu kwa picha kubwa inohusu kila aina ya topic.
Lakini licha ya hivyo bado Russia aonekana apigana na mataifa 54 ambayo mengi hutengeneza silaha na vifaa kama mizinga kwa vibali.
Hiyo mizinga ya Leopard 2 baadhi ya nchi nyingi za Ulaya na NATO zatengeneza kwa kibali kutoka Ujerumani.
Ndege za kivita nyingi zatengenezwa Ufaransa na nchi zingine kwa order maalum. Ndo maana UK wamesema wao wana ujuzi wa kufundisha namna ya kuzitumia lakini wao wenyewe hawana ndege za F-16.
Uingereza wana ndege za aina ya Typhoon ambazo zitakuwa chakula kwa Russia kwani hizo huruka chinichini na si juu sana.
Hata hivyo hakuna ndege zinazopelekwa Ukraine kwani hiyo itakuwa ni "escalation".
Tatizo kipigo mnakihadisia kwenye articles hakunanushahidi wa video au picha za matukio lakini Ukraine anavyotoa kichapo ushahidi upo video na picha za marehemuNini kinaendeleq nyuma ya pazia?
Siku za nyuma west hasa US na UK walikuwa na assets mbalimbali zilizokuwa zinafanya surveillance, intelligence na recconaissance na kuwapa hizi taarifa jeshi la Ukraine ambapo kupitia hizi taarifa Ukraine alikuwa anajua mwenendo wa majeshi ya Russia hivyo kumpiga counter za hatari na kipindi flani Russia wakaoneķana kuachia baadhi ya maeneo.
Nakumbuka ndege na drones kama RC-135 Joint Rivet, Northrop Grumman RQ-48 Global Hawk na E-8 ambazo zilikuwa zinakaa anga la baadhi ya nchi za Nato na kukusanya taarifa zote muhimu kuhusu formation za warusi then wanampa hizi taarifa Ukraine. Jee hizi assets zimeondolewa maeneo husika na hazifanyi tena kazi ya kumsaidia Ukraine au nini kimetokea maana kipigo Ukraine anachopewa siku za karibuni ni kama mtu unayepigana ukiwa umefungwa ndani ya gunia huzioni ngumi za adui zinatokea upande gani ujikinge au urudishe mapigo.
Bila hata siraha kali sana kama hayo mavifaru anayoahidiwa kupewa, uwepo wa hizi ndege ulimsaidia pakubwa sana maana battlefield aliielewa na kumfanya kufanya mashambulizi yaliyoleta hasara sana kwa warusi.
Je hiki kinachoendelea tuamini Russia wamepata mwarobaini wa hizi ndege kama ilivokuwa kwa drone za mturuki, himmars na machuma mengine yaliyotumwa kumsaidia Ukraine. Kama ni hivo hizi ndege amedeal nazo vp?
NB; Mzee wa chip za kwenye dry cleaners kuwekwa kwenye vifaa vya kijeshi sihitaji jibu lako maana utaniingiza chaka
Fisi huzungumza na Fisi mwenzieKapoteza magenerali 20 na mobilization ya vijana laki 3 unasema hajaanza vita fisi wewe
Hizo video games zimekosa wateja siku hizi ndio maana hata speed ya kuzileta imepungua kama sio kuisha kabisa!Tatizo kipigo mnakihadisia kwenye articles hakunanushahidi wa video au picha za matukio lakini Ukraine anavyotoa kichapo ushahidi upo video na picha za marehemu
Kwenye hii vita kuna mambo siyasikii kabisa moja ni upelekwaji wa merceries nchini ukrain,umoja wa mataifa kumfungulia Putin mashitaka ya uhalifu wa kivita,ukrain kushambulia ndani ya Urusi pamoja na kuiwekea vikwazo urusi
Endeleen kujifariji[emoji1787]Huyu urusi anasubiri nini kumwagwa ugali Sasa?? Maana ni wazi Mambo yameshamwendea kombo baada ya operation aliyotegemea kuchukua saa 72 kugeuka vita ya muda mrefu [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aione kp kipanya44 [emoji4][emoji635][emoji3538][emoji1255][emoji125]"AFU may leave Bakhmut, but Kiev makes the final decision," - White House
[emoji16][emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaenda Hadi Berlin
Utaishia kusema video games wakati juzi Aljazeera walifanya mahojiano na drone operators wa control room ya UkraineHizo video games zimekosa wateja siku hizi ndio maana hata speed ya kuzileta imepungua kama sio kuisha kabisa!
Russia yeye anatandika halafu sensa utajifanyia mwenyewe!Ulisema umepoteza askari 20000 ni juu Yako!
Lakini siku Moja mtazitaja tu figure halisi!Kama yule mama wa EU alivyomuumbua Zele Kwa kutaja idadi halisi!
Nasikia Sasa 230,000+ Ukrainians soldiers wamekufa or missing!
Endelea kupiga kelele video games hao ni aljazeera wakiwahoji wali wanao operate drone na kuwawapa maelezekezo wanajeshi wa mizinga wapi pa kupiga ndio hizi telnolojia mrusi hanaHizo video games zimekosa wateja siku hizi ndio maana hata speed ya kuzileta imepungua kama sio kuisha kabisa!
Russia yeye anatandika halafu sensa utajifanyia mwenyewe!Ulisema umepoteza askari 20000 ni juu Yako!
Lakini siku Moja mtazitaja tu figure halisi!Kama yule mama wa EU alivyomuumbua Zele Kwa kutaja idadi halisi!
Nasikia Sasa 230,000+ Ukrainians soldiers wamekufa or missing!
Eti Mrusi Hana 🤣🤣🤣Endelea kupiga kelele video games hao ni aljazeera wakiwahoji wali wanao operate drone na kuwawapa maelezekezo wanajeshi wa mizinga wapi pa kupiga ndio hizi telnolojia mrusi hanaView attachment 2518152
Sasa mbona BBC anasema Russia is winning wakati hana teknolojia😃😃😃😃😃?Endelea kupiga kelele video games hao ni aljazeera wakiwahoji wali wanao operate drone na kuwawapa maelezekezo wanajeshi wa mizinga wapi pa kupiga ndio hizi telnolojia mrusi hanaView attachment 2518152
Russia is winning huku askari wake wakiendelea kupukuchuliwa kila iitwapo Leo.., kama ushindi ndio huu namuomba mungu amjaalie urusi aendelee tu kushinda tu[emoji28]Sasa mbona BBC anasema Russia is winning wakati hana teknolojia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]?
Kuwa na drones operators ni jambo Moja,kuleta video games ni jambo lingine!