Kuna jambo moja naomba niulize kidogo nipate mwanga
Maana nimekua nikijiuliza muda ila acha leo kidogo nilitoe walau munipe mawili matatu
Je RUSSIA hakujua kuhusiana na Euro maidan iliopelekea sirikali ya rais alokua pro kremlin anaenda kuondoka madarakani kwa mikono ya western na US ama
Je RUSSIA kwenye yale mapinduzi alizidiwa kete namashirika ya nje kama CIA na wenzake ambao walifanikiwa kueka vibaraka wao hatimae wakeka Elensky ambae leo tumeona kasababisha SMO
Ama Je RUSSIA alijua kwamba kutatokea Euro maidan ambayo ingemuondoa rais alokua na mrengo wa KREMLIN ila akaacha litokee ili baadae aje afanye hii SMO maana sababu kubwa ya hii SMO wote tunajua ililetwa na mapinduzi yaliofanyika mwaka 2014
RUSSIA alitenzwa nguvu na mashirika ya UJASUSI ya MAGHARIBI ama alikua kaliacha litokee hili ili aje afanye anacho kifanya leo hapo UKRAINE
Anaejua ama anaehisi kitu ntaowatag na ntao wasahau msaada tafadhali
Hammaz
Jesus Mlokozi
Qibsyl
Venus Star
MR MAJANGA
MOTOCHINI
T14 Armata
Bukyanagandi
lee van cliff
Yericko Nyerere
Na wengine woooote ambao sijawatag
Sent using
Jamii Forums mobile app
Hakujua au alichelewa kuchukua hatua.
Hii colour revolution haikuanzia Ukraine.
Ilipangwa na Western agency's in amodern way kiasi kwamba mashirika mengine ya kijasusi yalichukua muda kugundua.
Ilitokea Libya kimasikhara masikhara hivi wakiingia kwa disguise ya kulinda raia na baadae kuufuta utawala wa bwana GHADAFI.
Ikafika Tunisia ikaenda nadhani kila mtu alikumbuka mwanzo wa yule kijana aliyejilipua.
Ndio wazee wakaplan target yao hasa Russia spheres of influence wakitaraji kuishika kuanzia Ukraine, Belarus na Kazakhstan kama walivyofanya kwa Balkan state na Slavic nation kama Croatia, Poland na nyinginezo.
Ukraine wakaja na Maidan revolution huku USA agents kama Victoria Nulland akionyesha waziwazi kuunga mkono ant Russian mob walioteka serikari.
Wakati huo huo kule Belarus, Western agency ikaanza kumtumia SViatlana Tsikhanouskaya ambaye anaongoza upinzani kuleta Chaos ndani ya aBelarus hivyo Russia kuintervene.
Mambo hayajatulia hata kidogo kikawaka kule Kazakhstan na ikabidi Urusi ideploy Umoja wake wa kujihami kuweza kuondoa bughudha ila huku waandamanaji wakiwa wamejipanga kweli kweli mpaka siraha.
Ndio ikaja amri ya kupiga live fire bila huruma, Western Europe wakilalamika haki za binadamu.
Ila colour revolution kule bara Arabu iliitwa Arab springs na ikasababisha Muslim brotherhood kuingia madarakani kwa sanduku la kura, ila Cha ajabu Coup d'tat ikatokea na jenerali kibaraka wa Marekani kuingia madarakani.
Ulishaona western world kupinga hili jambo? Kwamba mchakato halali wa kidemokrasia umevurigwa Misri?
Sasa Warusi wakagundua hizi njama kupitia GRU, FSB na taasisi nyinginezo za kiintelejensia hivyo kuanza kuharibu mpango kwa kuanzia hapo Ukraine[emoji38][emoji38][emoji38]
Msisahau yaliyotokea Venezuela mpaka kumtambua kiongozi wa upinzani ndiye Raisi bila Urusi kuingilia mnadhani ingekuwaje?
Huu mchezo wanacheza kwa manufaa yao na wako vizuri kwa kutumia propaganda media zao kama Aljazeera, BBC,CNN na nyinginezo.
Sasa Putin mwenyewe ni expert kwenye kucounter western influence toka akiwa KGB na Sasa ndio wameamka