EL_CHAPO_UNO
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 273
- 521
Nilishaiona hii somewhere,ila nika ignore nikiamini kwamba low IQs za JF zitasema ni conspiracy theory,lakini hii ni possibility kabisa.
Vifurushi vya cheka time vya mchongo.Duh! Hiki kifurushi kikitangazwa tukipatie jina gani wakuu.., maana ni wazi hakijawahi kutangazwa kifurushi Cha nanma hii tangu vita ianze[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the Biden administration is working with congress to approve 10 billion dollars in aid to Ukraine, the Washington Post reported
The New aid package will be announced next week [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu hii suggestion ya Marekani kwamba Ukraine itoe 20% ya ardhi yake ili kusitisha vita na hatimaye kukataliwa na both Ukraine na Urusi nayo nili iona mahali.Mkuu uko vizuri sana,dah!👍.Huo ndo uhalisia, Maana nchi za EU zimeanza kukinzana kuhusu kupeleka silaha uko Ukrain. Marekani kamuingiza kingi ujerumani apeleke Leopard ila yeye anasema Abram bado kwanza. Upande mwengine Norway [emoji1189] ametoa taarifa jana kuwa urusi amefungulia meli zake za nyuklia majini, imepita miaka 30 tangu tukio hilo lionekane kwenye vita ya dunia. Italy [emoji634] kagoma kupeleke, France [emoji632] ametoa ahadi ila bunge limeweka pingamizi. UK [emoji636] wamesoma hawana bajeti ya kuongeza uzalishaji wa silaha kwa huu mwaka kutokana na inflation. Vitu vinafall apart. Si ajabu ile taarifa ya kiongozi wa CIA ilivuja baada ya kwenda Moscow kutoa 20% ya Ardhi ya Ukrain[emoji3].
Kusubir anguko la Ukraine ni sawa na kusubir embe chini ya mnazi [emoji16][emoji28]Ila kama Ukrain ikianguka yote mikononi mwa Urusi basi Poland [emoji1200] atakuwa kwenye hali mbaya sana, maana atakuwa amezungukwa na Belarus [emoji1044], kwengine Urusi , na malighafi zote za kutokea Ukrain zitakuwa mikononi mwa Urusi ndo maana wanajitahidi Ukrain isianguke na kama ikianguka basi isiwe yote.
Vifurushi vya Cheka time lakini vimeweza kuigeuza operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu [emoji16][emoji848]Vifurushi vya cheka time vya mchongo.
Hapo bakhmut kuna ngome moja inaitwa ELOGYL ina mahandaki yenye urefu wa kwenda chini kilometre 35Huo sio mji bali ni jiji kubwa la kiviwanda na limejaa madandaki ya migodi ya chumvi na gibusamu sio rahisi hata kidogo kuliteka.
Hapo bakhmut kuna ngome moja inaitwa ELOGYL ina mahandaki yenye urefu wa kwenda chini kilometre 35Huo sio mji bali ni jiji kubwa la kiviwanda na limejaa madandaki ya migodi ya chumvi na gibusamu sio rahisi hata kidogo kuliteka.
Kule bakhumut super anajitaid kupeleka mamia ya askari kila kukicha huku wakiishia kuchinjwa tu 🥱[emoji848]Hapo bakhmut kuna ngome moja inaitwa ELOGYL ina mahandaki yenye urefu wa kwenda chini kilometre 35
Mkuu...ume articulate vizuri sana.Huo ndo uhalisia, Maana nchi za EU zimeanza kukinzana kuhusu kupeleka silaha uko Ukrain. Marekani kamuingiza kingi ujerumani apeleke Leopard ila yeye anasema Abram bado kwanza. Upande mwengine Norway [emoji1189] ametoa taarifa jana kuwa urusi amefungulia meli zake za nyuklia majini, imepita miaka 30 tangu tukio hilo lionekane kwenye vita ya dunia. Italy [emoji634] kagoma kupeleke, France [emoji632] ametoa ahadi ila bunge limeweka pingamizi. UK [emoji636] wamesoma hawana bajeti ya kuongeza uzalishaji wa silaha kwa huu mwaka kutokana na inflation. Vitu vinafall apart. Si ajabu ile taarifa ya kiongozi wa CIA ilivuja baada ya kwenda Moscow kutoa 20% ya Ardhi ya Ukrain[emoji3].
Kuna taifa ambalo limeshawai kusaidiwa kivita na china miaka ya karibuni?Marekani hana jeuri ya kuingia Vitani na Mataifa yafuatayo:
Urusi
China
India
Iran
Sudan
North Korea
Venuzwela
Beralus
Wote hao ni washirika wa mwamba Putin.
Labda akaipige:
Mataifa ya Africa na Waarabu exclusive Sudan na Tanzania.
Tanzania tuna marafiki wengi wanaweza kutukingia kifua hususani China. (Wataoneana aibu]
Wewe jamaa bado sana kuijua dunia. Propaganda za wakoloni zimekula ubongo wako.Kuna taifa ambalo limeshawai kusaidiwa kivita na china miaka ya karibuni?
China unadhani anaweza kuweka rehani biashara yake na USA & Europe kisa nape, makamba, kipanya, madebe lidai, na bibi jampa wa mlole kigoma ?