kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Huenda Kuna mtu alikuwa anachezewa akili hapa!Tayari video imetoka kuwa yupo Kyiv.
Isingefichika maana mpakani mwa Poland mambo yalikuwa mengi sana watu wakahisi kuna kitu.
Pia Kyiv misafara ya magari imezuiwa toka Asubuhi
Aibu ipi wakati ashafika.Na itakuwa aibu kwa marekani iwapo Biden atashindwa kufika Kiev kwa sababu ya hiyo mikwara ya urusi [emoji134][emoji134][emoji134]
Safii [emoji122][emoji122][emoji122]Aibu ipi wakati ashafika.
Safari ameianza toka jana leo ndo kafika maana katumia Treni masaa 9
Ngoja tuone kama urusi atarusha mabomu kwa mtesi wake namba Moja huko Kyiv [emoji28][emoji28]
Motochini mbona kama hiyo picha ya juu ni wale waliouliwa kwenye trench baada ya mwanajeshi wa Russia kuwakaribia akawaambia waweke silaha chini wakafanya mistake jamaa akawamiminia za kutosha hapohapo??Dadamtu Kipindi Anapiga picha Na kakake Wakikanyaga Mait nakuziita Mbolea Alikuwa Akifurahi sana
Leo Maiti ya Kakake Imekuwa Mbolea Naona Kapo Hoi na Huzuni
Karma dadaView attachment 2523513View attachment 2523514
[emoji848][emoji848]Baada ya habari kuwa Biden yupo au anaelekea Kyiv, ndege za Russia zimepaa ili kurusha mabomu. Anga lote la Kyiv liko on target
Mwamba sana, wakati Putin anaogopa sogea hata Crimea
Wanaweza rusha ila USA ameamua liwalo liwe ndo maana wamempeleka BidenNgoja tuone kama urusi atarusha mabomu kwa mtesi wake namba Moja huko Kyiv [emoji28][emoji28]
Hii scenario imeshabihiana kidogo na Ile ya pelosi kule Taiwan.., USA watata sana[emoji28]Wanaweza rusha ila USA ameamua liwalo liwe ndo maana wamempeleka Biden
Diplomasia haifanywi hivyo.Wanaweza rusha ila USA ameamua liwalo liwe ndo maana wamempeleka Biden
Wangekuwa wanakwenda kwa ruhusa ya Russia hizo ziara zingekuwa zinatangazwa,acha kupotosha!Diplomasia haifanywi hivyo.
Hata raisi wa Ufaransa, kiongozi wa Ujerumani, UK na wengine wamekwenda Kyiv kwa ruhusa maalum ya Russia.
Hii vita ipo lakini bado zile njia maalum za simu zatumika baina ya Russia, China, US na mataifa mengine makubwa.
Kwa kuwa vita sasa imepamba moto Russia ndie mtoa ruhusa na karuhusu Biden atumie njia ya reli badala ya anga kwani ni dangerous.
Ni lazima tuelewe kuwa bado hizi nchi zote zawasiliana kwa kutumia njia maalum za simu ili kuepusha maafa.
Russia ndie mwenye kuruhusu ama anga au njia yoyote ya kuingia Ukraine itumike ni wao ndo watawala anga kwa sasa.
Watu wa hivyo hupaswi wajibi kotu unawaacha na imani yaoWangekuwa wanakwenda kwa ruhusa ya Russia hizo ziara zingekuwa zinatangazwa,acha kupotosha!
Kabisa, ndio wanaoruhusu misaada ya kijeshi kuingia ili iwaueDiplomasia haifanywi hivyo.
Hata raisi wa Ufaransa, kiongozi wa Ujerumani, UK na wengine wamekwenda Kyiv kwa ruhusa maalum ya Russia.
Hii vita ipo lakini bado zile njia maalum za simu zatumika baina ya Russia, China, US na mataifa mengine makubwa.
Kwa kuwa vita sasa imepamba moto Russia ndie mtoa ruhusa na karuhusu Biden atumie njia ya reli badala ya anga kwani ni dangerous.
Ni lazima tuelewe kuwa bado hizi nchi zote zawasiliana kwa kutumia njia maalum za simu ili kuepusha maafa.
Russia ndie mwenye kuruhusu ama anga au njia yoyote ya kuingia Ukraine itumike ni wao ndo watawala anga kwa sasa.
Russia ndie atawala anga lote la Ukraine kwa sasa.Wangekuwa wanakwenda kwa ruhusa ya Russia hizo ziara zingekuwa zinatangazwa,acha kupotosha!
Hao jamaa wameshtukizwaKabisa, ndio wanaoruhusu misaada ya kijeshi kuingia ili iwaue