kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kuna jamaa hum ndani alitabiri kutakuwa na reactions za idadi kubwa ya viongozi wa west watakao-react baada ya hotuba ya Putin.
Cha ajabu imekua ni kweli aloo, nmeskia bibi sii leo saa 12 asbh kelele za viongozi wengi akiwemo Old Man wanalalamikia baadhi ya kauli za Putin[emoji23]
Ila kweli huyu jamaa kawashika pabaya ase, yaani kama utani vile kumbe ni kweli Rusia ni very powerfull.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Being concern for what reason..?[emoji298]The United Nations has expressed concern over Russian President Vladimir Putinβs decision to withdraw from the New START treaty, which is aimed at the reduction of statesβ nuclear arsenals.
βA world without nuclear arms control is a far more dangerous, unstable one, with potentially catastrophic consequences,β UN spokesperson Stephane Dujarric said, as reported by Sky News. βEvery effort should be taken to avoid this outcome, including an immediate return to dialogue,β he said [emoji298]
Kwani huoni Ukraine anatembeza kichapo fresh kwa majeshi ya fashisti?? Kuna haja gani Tena ya kupeleka vikosi vingine huko??Iraq Libya Mlipeleka Bila Kificho
London will not send troops to Ukraine, this is unthinkable, British Minister of State for Europe and North America Leo Docherty said in Baku.
Kumbuka pia kichaa aliyeshikilia mtutu wa bunduki Kuna namna ya ku-deal nae!Being concern for what reason..?
Russia si ni superpower wa mchongo... sasa wanapatwa na wasiwasi wa kitu gani?
Kwenye geopolitics hakunaga cha kupiga hesabu vibaya. Hiyo room ya kufanya makosa haipo. Kila plan ina fall back plan. Kuanzia B, C, D... Z! Game ngumu ila watu wanabadilikia humo humo.Nato kuwa mpakani mwenu hapo Finland sio tatizo ila mpakani mwenu hapo Ukraine ndio tatizo
Hapo Finland punde tutawaona askari wa nato wakivinjari mpakani hilo halitakuwa tatizo kwenu ?....kwa hiyo hoja ya nato kujitanua inakuwa tishio kwa Ukraine tu ?
Putin alitamani Ukraine iwe kibaraka kwake kama Belarus ila hesabu zake kazipiga vibaya.
π π π Mkuu inaonekana unaongea kwa unyonge sana.US amekuwa analeta mambo ya kihuni, sasa haina sababu ya kuendelea kuishi kwa wema na mtu ambaye ameshaamua kukuletea uhuni.
Anaangaika sana. And is so illogical.Kipanya ana haha KILA sekunde anatupia kabsndiko
Ki nyonge ki vipi mkuu.π [emoji14] [emoji14] Mkuu inaonekana unaongea kwa unyonge sana.
Sema maanangu we ni punguani kuliko kawaida..muda wote ww unatawala jukwaa na upuuzi wako huo...huna kaz mjomba? Da! Mama yako ana hasaraa[emoji298]οΈUS President Biden said Putin had made a "mistake" in suspending his country's participation in the last remaining US-Russian nuclear arms control treaty, the Associated Press reported.,[emoji298]
Kichapo gani unazungumzia?! Ingekuwa Ukraine anatembeza kichapo kusingekuwa na kelele na mikutano yote hii isiyoisha ya West...Kwani huoni Ukraine anatembeza kichapo fresh kwa majeshi ya fashisti?? Kuna haja gani Tena ya kupeleka vikosi vingine huko??