kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Vita sio mchezo wa mpila kusema una muda maalumu ,bali vita huisha iwapo mmoja wapo anapo shinda na mwingine akashindwa au wote wawili watakapo amuwa kumaliza vita kwa mazungumzo.Vipo vingi tu, vingine ndani ya siku 6 tu.
Wameshagomboa mji gani huko???Ni kichapo mwanzo mwisho [emoji1255][emoji91]
[emoji1255][emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky says it is no longer possible for him to sit at the negotiating table with Putin.[emoji298][emoji298]
Na akaongeza akasema "victory for Ukraine is inevitable if allies do their homework"Jamaa yenu huku anaongea ukweli mchungu, kwamba hakuna nchi inaweza kusimama na Urusi kivita na ikashinda...anasema labda USA napo analabudisha maana yake haamini kama Marekani wenyewe wanaweza kusimama na Urusi.
[emoji1255][emoji635][emoji631]At a press conference for the media, Zelensky said that no country could stand up to Russia on its own. However, he then added that the United States could. "Probably the US could, but, fortunately, they have no borders with the Russian Federation," - Zelensky
Usikute hamna cha Tanks wala nini..kelele tuYaani Tanks zinatoka Poland hadi Kyiv, zimetumia masaa 12 na bado Russia hajaziona na kulipua
Kwani wasipotambua hao EU ndio nini kitatokea?? NK, China na Iran watatambua, na nchi nyingine piaShushia dinner yako.
"G7 haitatambua kamwe kuingia kwa mikoa ya DPR, LPR, Zaporozhye na Kherson katika Shirikisho la Urusi, kama ilivyokuwa katika Crimea na Sevastopol"
Umeonesha mashaka,na mashaka ndio viashilia vya "intelligence".Wiki hii kina Jambo naliona kidogo la kushangaza. Kuna I'd flani zimekuja humu na Kiswahil Cha kizungu. Wanachangia lakini so Kiswahil kile tukijuacho Cha Kenya, tz , Kongo nk.
Wao kiswahili Chao Ni Cha ugeni kabisa kutoka Ulaya. Na hasa Nina wasiwasi tumeingiliwa ama kwa kujua ama kutojua na Warusi halisi ama Wamarekani halisi.
Ni wazo tu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sababu ni kuishi kwa matuamaini,kujifariji na kujipa moyo.Ukiskia Pro NATO wakifrahia ujio wa Leopard 2 unaweza kujiuliza hiyo leopard haipigiki? Lakini wapi kihistoria leopard zaidi ya 50 zimepotea kwa kupigwa na ATGM Kama Konkurs, na Metis( Both analogy to Kornet ATGM) Hapo Syria. Ndo itakuwa Russia? Taifa linalotisha zaidi kuliko yote Ulaya?
Ni miujiza watu kuwa na imani kubwa hivyo juu ya silaha hi ambayo pigo moja la guided missile kutoka TORNADO MLRS litakifanya kuwa chuma chakavu.
Ama pigo 1 la Kornet litakifanya Leopard kuwa tanuri dogo.
Ama missile kutoka armor piercing ka 52 ama Su 25 zitakifanya leopard kuwa kaburi la crew.
Nb.
Swali. Ni Nini kinawafanya muamini Leopard 2 Ni silaha unique ya kumkimbiza Russia ?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Azilipue ili op iishe haraka???Yaani Tanks zinatoka Poland hadi Kyiv, zimetumia masaa 12 na bado Russia hajaziona na kulipua
Hi statement "If the conflict is prolonged, a new military coalition will emerge from the countries that are tired of the Americans" itakuwa inatoka mdomoni mwa mtu ambaye kaelemewa yuko desperate anatafauta kusaidiwa. Mindset ya cold war ndiyo inayowasumbuwa hata rafiki yao china ameonya kuachana na mindsets za cold war. NATO siyo nchi bali ni organization ambayo nchi zinaomba uanachama. Hata urusi inaweza kuomba uanachama, lakini desperation yao inataka kulazimisha watu waamini kuwa NATO ni Marekani.Hapa China,Iran, Russia 🇷🇺, Syria, Belarus, South Africa, Venezuela zitakuwa za Kwanza.
🚨🇷🇺 Dmitry Medvedev: "If the conflict is prolonged, a new military coalition will emerge from the countries that are tired of the Americans." https://t.co/TpKHRHEURP
View attachment 2494996