Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata mafisadi ya africa yametengenezwa na yanawekewa pesa zao wanazo kwapua huko huko kwa mabeberu huo ni mfumo kabambe wa wahuni wa dunia ambao samia anawasujudia kama miungu wake
 
Urusi inapigana na west wote.
Wamekua wakichangishana silaha kabla na baada ya SMO hii.
Haihitaji elimu kubwa kujua kua Urusi ni nchiyenye nguvu sana.

NATO wote wameshatoa michango Yao ya silaha,

EU wote wameshatoa michango Yao ya silaha,

G7 wote wameshatoa michango Yao,

West wote wameshatoa michango Yao.

Nje ya NATO tunasubiri Israel TU,ambayo ni mshirika wa NATO nje ya Europe.
 
Kimsingi NATO ni us na ndio maana ana wanajeshi lukuk na makambi ndani ya nchi za ulaya lkn hakuna nchi ya ulaya yenye kambi us .

Kipind cha trump aliwah kulalama kuwa memba wa NATO wa ulaya ingawaje waliambiwa wachangie padogo ktk gharama za uendeshaj NATO lkn bado hawatoi michango ipasavyo na kupelekea us kugharamikia pakubwa zaid ya makubaliano.
 
Kabisa, mpaka dakika za mwisho NATO hawakuwa tayari kuisaidia Ukraine ila hata 'performance' mbovu ya jeshi la Urusi na ushujaa wa Ukraine uliwatoa hofu ya kupeleka misaada.

T14 Armata Sela Son
Performance mbovu,?😃😃😃.
Don't put all eggs in one basket.
Hii ndio sera ya Urusi ktk vita hii.

Wakati Urusi wako ktika op Ukraine wanapigana/walipigana kufa na kupona kulinda ardhi Yao.
 
Hii Special military operation walioianzisha imewavuruga akili hasa wanapoona huko mbeleni ugumu utaongezeka.
 
Kabisa, mpaka dakika za mwisho NATO hawakuwa tayari kuisaidia Ukraine ila hata 'performance' mbovu ya jeshi la Urusi na ushujaa wa Ukraine uliwatoa hofu ya kupeleka misaada.

T14 Armata Sela Son
Sidhani Kama Ukraine ingeachwa bila msaada but siku ya kwanza na ya pili ilikuwa siku ya maafa Sana kwa warusi.NATO walikua kule tokA 2014 wakisubiri siku ile.
Tar 25/2 /22 transport aircraft iL76 ilitunguliwa ikiwa na vijana 100 ndani yake? What a scar?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Maneno mujarabu kabisa haya.
Pro NATO hua hawasomi makala mbalimbali ndio maana wanapuynga TU humu na kuwaachia nyie ndio muwafundishe.
Sasa hili ni darasa tosha kabisa
 
Wacha propaganda wewe, NATO ni North Atlantic Treaty Organization

Angalia neno organization; USA kuwa na nguvu za kijeshi kuliko member wengine hakumaanishi kuwa wao ndiyo NATO. Hata UN ni organization ingawa kuna wachama ambao wana nguvu zaidi. Russia isilazimishe kupendwa na majirani zao bali itumie ushawishi. Iwapo wote hao Ukraine, Georgia, Moldova, Lativia, Estonia, Lithuania, Poland walikuwa wamoja hadi USSR ilipovunjika, iweje sasa wawakimbie Urusi na kutaka kujiunga na NATO kama tatizo siyo Urusi yenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…