Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani huwezi kuamini Kama kweli macron ndio alisema Russia itashindwa ila isisambaratishwe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

"Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema atazuru China mapema mwezi Aprili mwaka huu kama njia moja ya kuitaka Beijing kuishinikiza Urusi kumaliza vita nchini Ukraine"

RFI kiswahili.
 
Ninachompendea urusi anaacha watu waongee wabashiri yeye kimya kama hasikii, na hafanyi kitu kwa kuprove watu wrong.
Mfano juzi KILA mtu alijua tare 23 atafanya mashambulizi makubwa lakini yeye kimya.
Saiv wanasema hana siraha yeye kimya.Hii nitabia ya kiume haswa.
 
Halafu alianza kufurumusha makombora wanaanza kulialia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…