Kwa Afrika ni nchi chache sana zenye madini ya Graphite zitaweza kufanya hivyo.Je hatuwezi badili mifumo ya magari toka mafuta kwenda gesi?
Hili ni wazo zuri, Ila teknolojia na vifaa tunatoa wapi? Mostly ni imported.Je hatuwezi badili mifumo ya magari toka mafuta kwenda gesi?
Hapo wanabana vinyeo maana vikilegea tu mavi chini. Jeshi la mashoga
Alafu wanasema NATO haipo pale 😂😂😂Zaidi ya wanajeshi 10000 kutoka Marekani wauawa Bakhmut.
Wao (West) wamekuwa wamwita Putins' Chef yaani mpishi wa Putin.Huyu Kiongozi wa Wagner nimtu Hatari na Nusu nikama Kajitoa Kabisa Ufahamu
Yaani Jamaa Anapigwa Vita Na Nchi zaidi ya 50
Na Nimtu muhimu sana Kwa Urusi kwa sasa Lakini Yupo Bakmut Live Anapigana na Kutoa Update bila shida
Jana Wameingia Katikati ya City Center Leo Yupo Juu ya Jengo live Anaongea Hali ilivyo tena Nyuma Mizinga Inalia Risasi kila Kona
Jamaa Kajua Kujitoa Kwelikweli huyu Sipati picha Angelikuwa Ndio Mkuu wa majeshi wa Urusi
wachukue tuRussia itaenda tengeneza defence lines hapo Bakhmut.
Ukraine counter offensive itafuatia muda wowote
Ila tulichowafanya hawatasahau.wachukue tu
Yaani hata hujui umuhimu wa Uturuki kwenye NATO....Huyo Erdogan mara ngapi kacheza na katiba ili aendelee kuwa na nguvu na aendelee kutawala na NATO walikaa kimya.Jaribio la mapinduzi Uturuki 2016 unafikiri nani walifadhiri, au hata kwa nini tangu 2016 baada ya kushindwa kwa jaribio la kumpindua ghafla urafiki na Urusi ukaanza mpaka ananunua s400???wewe ndiye uliyeongea kinadharia ukiwa hujui kuwa NATO ni democratic organization ambayo haina hata veto power kama ilivyo UNA Ingekuwa USA inapanga nani awe mwanchama wa NATO na ni nani asiwe mwanachama, basi Uturuki leo hii ingekuwa nje ya NATO kwa sababu nyingi tu za kupishana na USA.
Maana yangu ni kwamba necessity is a mother of invention. Ikitokea kukawa hakuna namna ya kupata mafuta kutoka huko basi kwa namna yyt tutatumia yanayopatikana kwetu, how!? Vitu vingine huwa impossible mpk pale vinapokuwa possible.Ni nchi ipi ya Africa inayojitegemea kwa mafuta boss ambayo itatuuzia mpaka sisi na kwann hili halifanyiki sasa wakati wa amani linasubiri pakitokea vita?
Na Warusi ni hatari!Niliwahi kusoma taarifa kwamba Amerika ilikuwa mbioni kuwatafuta viongozi wa makundi ya kigaidi kutoka Syria, Afghanistani, Uchenyena na kwingineko kwenda Ukraine kutoa mafunzo ya kigaidi, halafu wapenyezwe Urusi kwa makundi madogo madogo kifanya ugaidi - nafikiri wamekwisha anza, leo kwa mfano: kikundi cha watu 50 wenye silaha wameingia kwenye nadhani vijiji vitatu nchini Urusi na kuwateka nyara wanakijiji - wakapiga risasi gari dogo lililokuwa linapita barabarani wakamuua mwenye gari na kujeruhi binti wa maika kumi kama sikosei - hii ina maana ndio wameanza hivyo - bahati nzuri Urusi ina uzoefu mkubwa wa ku-deal na vikundi hivi hatarishi - wamesakwa kweli kweli leo hii na kutokomezwa.
Ndio Yupo busy Anapika kwelikweliWao (West) wamekuwa wamwita Putins' Chef yaani mpishi wa Putin.
Lakini hawakuwa waelewa nini maana halisi ya neno Putin's Chef.
Wagner ni hatari na Nusu. Mtu kakimbizwa bwana kwenye mji wake na Suma Jkt.Huyu Kiongozi wa Wagner nimtu Hatari na Nusu nikama Kajitoa Kabisa Ufahamu
Yaani Jamaa Anapigwa Vita Na Nchi zaidi ya 50
Na Nimtu muhimu sana Kwa Urusi kwa sasa Lakini Yupo Bakmut Live Anapigana na Kutoa Update bila shida
Jana Wameingia Katikati ya City Center Leo Yupo Juu ya Jengo live Anaongea Hali ilivyo tena Nyuma Mizinga Inalia Risasi kila Kona
Jamaa Kajua Kujitoa Kwelikweli huyu Sipati picha Angelikuwa Ndio Mkuu wa majeshi wa Urusi