Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

VIDEO
Dege la Kimarekani B-52 lilijichanganya Njia huko Bahari Nyeusi
Ghafla Wakashangaa wamezungukwa na
Su-27 za Kirusi na Kupewa Onyo
Jamaa Wakatoka Nduki na Kuufyanta Mkia

View attachment 2538263
Hii ni mitaa ya Su-27. Ukiingia kichwa kichwa unafanyiwa fujo zote hadi usepe. Flanker ni mkongwe wa vurugu mitaa hii
 
Kila siku mnadai Wagner PMC wanachukua wafungwa magerezani.

Ina maana Russia wafungwa ni wengi kuliko watu waliopo uraiani.

Maana hawaishi huko magerezani na wanachukuliwa tu kila siku.
Progo mwenyewe alishasema wameacha kuchukua wafungwa kwasababu wanafight recklessly. Wengi hawajali. Mtu yuko tyr aumizwe ili atolewe mstari wa mbele akamalizie muda wake nyuma ya mapambano maana walikuwa wanapewa miezi 6 km wakitoboa hai wanakuwa huru.

Mapigano yanayofanyika Bakhmut kama Ukraine anashindwa na wafungwa wasio na mafunzo basi tatizo zaidi lipo Ukraine na wala sio urusi.
 
[emoji298]️Two Ukrainian pilots are currently at a military base in the US having their skills tested in flight simulators to see how much time they would need to learn to fly various US military aircraft, including F-16, CNN reported.[emoji298]
Wazingatie sana some la ku eject seat la sivyo wataungua na kubaki majivu
 
Hizo ni mbinu za Zelensky na viongozi wenzake anayafanya haya kwenye majimbo ambayo raia karibu wote wa majimbo hayo wanazungumza ligha ya Kirusi na hawataki kuwa chini ya utawala wa Zelensky - hapa anatumia mbinu
Mkuu ni kweli kuna makaburi mengi kila upande yanayosikitisha na kuhuzunisha, sioni tofauti. Ila nikamjibu mtu aliyeleta mada ya kundi la Wagner. Wagner wamepata umaarufu kwa namna yao ya kutumia wafungwa na kuwapeleka mbele bila kujali hatma yao.
Karibu kuongeza picha za makaburi mengine.
 
Mkuu tafadhali tazama vyanzo. Si maneno yangu, nimenukuu taarifa ya LeMonde. Maiti unazojadili zilionyeshwa katika video ya Wagner. Prigozhin mwenyewe anawaonyesha. Ukiona anafanya kazi kwa ajili ya "seasoned western media /western inept media" - basi shauri yako.
Unamshangaa Zelenski kwa sababu hataji idadi ya askari anaopotea? Ajabu ya nini? Na Putin hataji namba zake. Wote wawili wanajua kwa nini.
Ukipenda kukana mgongano kati ya Prigozhin na uongozi wa jeshi - nakutakia heri! Si rahisi maana wote wanaweza kuona video za Prigozhin na kusikia maneno yake.
 
Ni aibu kupoteza mji kwa wafungwa.
 
Kiswahili hakiandikwi hivyo.
Hichi ni kiswahili cha Dochivelle(DW)
HIi account ni kwa ajili ya uzii huu pekee? Maana hujawahi post pengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…