jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Yaani air defence zilipigwa Kama hazipoKile kichapo cha Juzi Ni Habari tosha kwa Wale Fuata upepo kujua Urusi Inao uwezo wa Kumuua Zele Kama Kuku tu
Yaank Ikiamua Hakuna wakumlinda Labda Mungu pekee Aamue Vinginevyo na Sio Mtu/Mwanadamu au Taifa Fulani.
Kile Kisago cha Juzi Hakijawahi tokea Mpaka sasa NATO Wamechanganyikiwa
Unasemaje wewe,Wakuu,
Kwenye pita pita zangu leo, nimejifunza kuhusu, avangard and kinzhal hypersonic weapons.
Hivi ni hypersonic missiles mbili tofauti kabisa:
The Avangard is a Russian hypersonic glide vehicle that can be carried as a MIRV payload by the UR-100UTTKh, R-36M2 and RS-28 Sarmat heavy ICBMs. It can deliver both nuclear and conventional payloads
The Kh-47M2 Kinzhal (in Russian: Х-47М2 Кинжал, "Dagger", NATO reporting name Killjoy) is a Russian nuclear-capable hypersonic air-launched ballistic missile.
Wanasema kwamba jana huko Ukraine, iliyotumika kuwapiga ni Kinzhal hypersonic missiles. Na zilikuwa 6 tu. Zingine ni normal missiles.
Sasa unaweza kuelewa ni kwa nini zilitumika hizo special Kinzhal - ofcoz ni kwa sababu ya commanding centers za NATO.
Hizi Kinzhal missiles ndizo hazifati normal trajectory za physics.
Hana sauti yupo Kama boya tu amezoea kutoa maelekezo kwa Nchi za AfrikaNaiona failure of UN kama ilivyotokea miaka ya zamani Baada yakufeli Kwa league of nations
Binafsi namuonea huruma yule Mzee UN secretary Bora angestaafu mapema
Naiona failure of UN kama ilivyotokea miaka ya zamani Baada yakufeli Kwa league of nations
Binafsi namuonea huruma yule Mzee UN secretary Bora angestaafu mapema
Watazidi kuja tu wengi sana huu ni mwanzo tu 🤣🤣🤣
Hio inaitwa hatari kwenye lango 🤣🤣🤣[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
To put things in context, Russia has over 12,500 tanks ready for military operations.
#StandWithRussia[emoji635]View attachment 2546631
Ngoja nieke kituoa hapaMkuu,
Hivi safari za PM wa UK nazo zinakuwaje ni habari ya Ukraine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Boss Putin akitengewa kidali cha NATO na US akitafune na Kamanda wa Wagner [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2546599
Bwashee we are in the same boat, clarification uliyotoa hapo ni tosha kabisa..Basi unatakiwa ujue, ukubwa wa dunia hautafutwi kwa njia ya vita, America hawakuipata kwa kumvamia Mexican, Haiti, Canada na majirani wengine
Mrusi alitakiwa asawazishe mahusiano yawe mazuri, kirafiki na yenye kuaminiana na majirani zake, lakini hakuna jirani mwenye mahusiano mema na Urusi apart from Belarus na Chechnya ambao ni mateka wa warusi kiuhalisia
Hitler alitaka ukubwa wa dunia ila sidhani kama aliupata, ukubwa wa dunia ina mambo mengi na siyo vita, nafasi aliyonayo USA ni kubwa sana na mara nyingi anatoa tu order hapigani lkn anasikilizwa sana like Ukraine
Putin hajengi anabomoa, akumbuke USA ni mjanja sana anatumia akili nyingi sana kumdhofisha yule wanao ona kama tishio kwao la ukubwa duniani, Putin angetumia akili bwashee
Putin anatakiwa ajenge kambi kubwa litakalo linda maslahi yake ya ukubwa duniani, kama alivyofanya USA ok, lakini kukurupukia vita anaenda kuaribu bwashee
Naona mrusi atakuwa kambi ya uchina, kulinda maslahi ya ukubwa wa uchina duniani lakini siyo China kuwa kwenye kambi ya kulinda maslahi ya Urusi ya ukubwa duniani ok
Hivi ukiweka mayai uliyonayo yoote kwenye kapu moja ukiwa unaenda sokoni, then ukajikwaa kinatokea nn? Wee unafikiri usa hana abram za kupeleka ukrain? Au german hana leopad za kushato kuzishindilia huko ndichi kwenye kamserereko? Au unahis UK hana chalenja za kucheza rede pale ndichi kwa zeleboy? Ukiliwaza hilo utaelew kwann huzion hzo T armata cjui avangrdMkuu unasema kweli haisaidii kuweka tu jumla zote mbili kandokando.
Kama kwenye picha hiyo:
View attachment 2538683
Jinsi alivyosema mtazamaji mmoja: "Why Russia Gets More Bang for the Ruble"
(jisomee Why Russian Military Expenditure Is Much Higher Than Commonly Understood (As Is China’s) - War on the Rocks)
Ila ukifungua budgets hizo, unaweza kuanza kuliganisha kidogo. Matumizi ya US kwa "procurement" (ununuzi) peke yake ilikuwa bil. 140 (2010) hadi 97 (2013). Tena kiasi kinacholingana (takriban) kwa "Research, Development, Test, and Evaluation (RDT&E)". Hata ukiona Urusi inazalisha vitu nafuu zaidi, sioni kwamba inakaribia viwango hivyo. Tofauti ni ukubwa wa uchumi na hivyo uwezo wa kuwekeza (na kupoteza).
Sababu ya kutoona silaha bora za Kirusi kwenye uwanja itakuwa katika tofauti hiyo. Mfano kutoonekana kwa Armata 14, au ule mfumo wa kulinda vifaru unaoitwa Arena. Watazamaji wengi wa kimataifa waliona ni bora - lakini karibu hauonekani uwanjani.
Ila ukipendelea kuamini kwamba Urusi kwa sababu zake bado hakuchukua silaha zake bora (ilhali inatazama tu vifo vya askari na uharibifu wa vifaa) - basi si mantiki ninayoelewa.
Unaelewa maandishi ni ya kiswahili..ila dhima ya aya nzima huwez kuielewa..utafikiri anatumia google kutafsir sentensi zake..au ww huna macho? Au naww hujapita shule za TZAnapoandika huelewi??
Yaani kama unapitiaga baadhi ya makala za bbc swahili...bas huyu jamaa nahisi ndio mwandishi wa hizo makala, maana MTz tuu ndio atakaegundua kasoro za hawa jamaa ambao sio WaTz[emoji23] mmeona hili Punga Kiswahili chake?
Alieligundua hili [emoji119][emoji119]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ha ha ha haa,NATO ni kwa ajili akina Libya TU Mzee baba.H
Hii taarifa ilimpa Biden tumbo la kuhara maana imekuja by suprise pale non sense weapon za mnyamakazi Putin ziliponyoosha hadi kwenye uvungu wa dunia na kuwakaanga kenge wa NATO
Aisee,hii inaweza kua aina nyingine ya mgogoro baina ya kama vile Urusi na Ukraine,hapa itakua USA na mexico.