Iv walishindwa kuidungua au ulikua n mpango wa kuiangusha kama ilivo?👉Two Russian Su-27 aircraft conducted an unsafe and unprofessional intercept with a U.S. Air Force Intelligence, Surveillance, and Reconnaissance unmanned MQ-9 aircraft that was operating within international airspace over the Black Sea today👈 In orange si kweli,ni uongo ule ule tulio uzoe wa the Empire of Lies.
Kudadeki kitu kinakmbia km 14800+ kwa saaRussian super-ultrasound Kinzhal missile with a blow speed of 12 Mach (12 times the speed of sound) succeeded in hitting the command, control and communications center of Ukrainians and NATO allies, located at a depth of 120 meters (400 feet) under the ground!.
Mwisho wa kunukuu.
Walitaka waiiangushe kama ilivyo ili wajue ilivyo undwa kwanza cha pili ambacho ni vha muhimu zaidi Warusi wanayaka ku-retrive data zote zilizo kuwa recorded pamoja na kujua iliruka kutokea nchi gani na waongoza drone walikuwa wa nchi gani: je, wanatoka Amerika kwenyewe au moja ya nchi za Ulaya,mfano: Italy ambayo inajulikana kutumiwa sana na US kuongozea Drones za USA, zamani walikuwa wanatumia hata Afghanistani wakitaka kuipeleleza Iran - siku moja Iran iliwahi kutungua Drone kama hiyo kwa kutumia ground to air missiles (Air defense system) US haikuamini ilicho kiona - lakini ilikuwa ni ajabu na kweli.Iv walishindwa kuidungua au ulikua n mpango wa kuiangusha kama ilivo?
Hawa inaonekana walitaka kuiangusha wakaiokote. Ama ilikuwa ni mbinu ya kutozua mzozoIv walishindwa kuidungua au ulikua n mpango wa kuiangusha kama ilivo?
Nmekupata kiongoziWalitaka waiiangushe kama ilivyo ili wa-retrive data zote zilizo kuwa recorded pamoja na kujua iliruka kutokea wapi na waongoza drone huwa ni wa nchi gani: Amerika kwenyewe au moja ya nchi za Ulaya mfano Italy utumika sana kuongozea Drones za USA, zamani walikuwa wanatumia hata Afghanistani wakita kuipeleleza Iran - siku moja Iran iliwahi kutungua Drone kama hiyo kwa kutumia ground to air missiles (Air defense system) US haikuamini ilicho kiona - lakini ilikuwa ni ajabu na kweli.
Nadhani urusi alikuwa na mpango wa kuichukua baada ya kuidondosha majini ili waipeleke laboratory kuifanyia uchunguzi maana hiyo drone ni high tech yenye siri za kitekinolojia ambazo marekani asinge penda hata kidogo mrusi azijueIv walishindwa kuidungua au ulikua n mpango wa kuiangusha kama ilivo?
Ila ndege za SU-27 matata sana sijui zimeudwa kwa kutumia alloy ya madini/chuma gani, we fikiria piloti anatumia wing tip ya SU-27 anaisogeza kwenye panga boyi ya Drone panga boyi zote zinakatika vipande vipande/kungoka - hapa na amini kwamba kumbe SU-27 ni flying TANK - next time ndege za kipelelezi za USA zitakuwa makini sana - hopefully, si unajua tena kwa ujeuri wao.Namuona kipanya na wafuasi wenzake wa NATO
CHEERS.Nmekupata kiongozi
Utanielewa siku mwanao wa kiume akichumbiwa na mwanaume mwenzie hapo ndio utaelewa west ni watu wa aina ipi....LAANA WEWE kwa kuwatetea wanaupindeww umejiajiri kuwa mc wa Mungu sio?!
Ukafiri wako umemzidi ibilisi ambaye hana ujasiri kuandika kufuru ulio andika!
laanatulahi!
Hivi Mungu amefuta lini amri yake ya latkatiru?!
Just marekani tu.Ilaani na Urusi pia kwa uonevu huko Ukraine.....au laana yako ni kwa ajili ya uonevu wa Marekani tu ?
Ila jamani naomba yule mbobevu wa uchambuzi wa silaha atupe mchanganuo maridhawa wa hizi spedi/paulo za pmc wagner maana ufanisi wake ni zaidi ya himars na chuiBreaking news...
Mlikokuwa mnajifariji kuwa prigo anatumia spedi au nyundo kupigana[emoji1]
Russia’s Wagner Group of mercenaries has taken full control of the eastern part of Bakhmut, its founder Yevgeny Prigozhin said.
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said the Russian army would have an “open road” into eastern Ukraine if it captures the besieged city of Bakhmut, US media reported on Tuesday.
Via Al Jazeera
Hivi kweli ukraine na nato wate wameshindwa kumfukuza urusi peke yake kwenye kamtaa kadogo kiliko sinza KWELI!!Hivi kweli Russia imeshindwa waondoa Ukraine hapo kwenye hicho kimtaa kidogo kuliko Sinza?
Mkuu sijajua kwamba naangalia mno uwezo au udhaifu wa silaha za Kirusi. Mara kwa mara marafiki wa Putin wanaleta matangazo ya kusifu silaha hizo na uwezo mkubwa wa jeshi la Urusi. Wako hata wanaosifu genge ya wahalifu wa Wagner. Naona si vibaya kuwakumbusha wakati mwingine kuna pia mitazamo tofauti.Kwa nini mnakuwaga overly concern na masuala ya idadi ya silaha na ubora wa silaha zinazo zalishwa kwenye viwanda vya silaha vya Urusi!!! Mara zote mnajaribu sana ku-water down everything Russian or Chinese - US na baadhi ya mashabiki kujifanya Miungu wadogo who knows kila kitu kinacho endelea huko Urusi na Uchina na wanazungumza na lugha ya dharau kweli kweli kumbe hiyo kisaikolojia inadhiliisha watu/taifa ambalo halijiamini kijeshi - ndio maana ana kawaida ya kutumia vitisho tisho na kudai wanamiliki silaha ambazo ni game changer kumbe ulaghai mtupu - kwenye miaka ya late 1957 nafikiri waliwahi kulipua bomb la nuclear na kujidai hilo ndilo lilikuwa babu kubwa
Sasa Russian bombers ziki take off ndio imaanishe WW3/Niclear war ndio inaaza hivyo - huo ni ulaghai wa Zelensky vita imemshida sasa ndio anabuni mbinu za kutaka kuziigiza moja kwa moja US/NATO kwenye mgogoro huu - Russian Bombers taking off doesnt mean are laden with thermonuclear missile/bombs or intending to attack NATO members with nuclear or conventional payloads - NATO/US wawe makini sana na uchonganishi na uongo wa Zelensky - maigizo yake yanaweza kuiangamiza Dunia nzima. Kesha ona vita hii haiwezi ndio maana anatuletea plan "B" ya kutaka kugambanisha NATO/USA na Urusi ana kwa ana - jamaa huyu nasema kila siku kwamba viko fyatu kidogo na ukiongezea unga ndio basi tena Dunia itakwisha.
🤣😂🤣😂 Umenifurahisha Sana kwa comment yakoIla US kwa propaganda wako vzr badala wakili tu UAV yao imedunguliwa wanakwambia zimegongana. Yani Russia haoni mpaka zigongane hivi hawa wanatuonaje?? Hata mjinga anaweza kuwazua hapa.
Wagona ni genge la wahalifu kwa mujibu wa nani?Mkuu sijajua kwamba naangalia mno uwezo au udhaifu wa silaha za Kirusi. Mara kwa mara marafiki wa Putin wanaleta matangazo ya kusifu silaha hizo na uwezo mkubwa wa jeshi la Urusi. Wako hata wanaosifu genge ya wahalifu wa Wagner. Naona si vibaya kuwakumbusha wakati mwingine kuna pia mitazamo tofauti.
Nimesifu mara nyingi ubora wa kifaru cha T14 Armata, pamoja na kuonyesha ukweli kwamba silaha hii haiko uwanjani. (na watazamaji wengi huona sababu T14 haikutengenezwa bado kwa matumizi ya jeshi ingawa ilitangazwa tangu miaka mingi..)
Hiyo sehemu ya pili unapoona "ulaghai" wa Zele kuhusu kupiga mayowe juu ya ndege za Urusi - sielewi kabisa. Wakipata habari kwamba Urusi unarusha ndege zake kubwa Waukraine wafanye nini?
Hawategemei Putin atatupa mabomu ya nyuklia kwa sababu ameshapata onyo kali kutoka NATO asianze jambo hili. (na anajua mwenyewe ungekuwa ujinga kufungua mlango huo). Lakini wanajua kwamba ndege hizo ziliwahi kurusha roketi dhidi ya nyumba za vituo vya umeme vya Ukraine.
Lazima wapige mayowe.
Kika siku NATO wanakufa wewe unasema hawajajihusisha hivi wewe unakaa sayari gani? Ina maana silaha zote zilizopelekwa zimetoka afrika? Kwa ufahamu unajua kwann hii SMO kwann imedumu kwa mda mrefu wewe unazani Ukraine ana silaha hata za kupigana wiki mbili? Inatakiwa utoke kwenye huu Uzi.
Asante kwa jibu zuri ambalo ni tofauti na mengi yanayopelekwa hapa.Unaweza kuiweka hapa hizo picha ya vufaru 1800!?
Taarifa zote za kuwa Urusi imepoteza vifaru 1000 - 1800 zinatoka kwenye vyanzo vya magharibi. Wa kulaumiwa ni Oryix. Na hapo wanasema hiyo idadi ni nusu au zaidi ya vifaru vyote vya Urusi. Taarifa za namna hii ni nyingi kutoka upande wenu kudai Urusi amepoteza kiasi kadhaa au amebakiwa na kiasi kadhaa ambacho hakitoshi. Bila kutoa vyanzo kutoka Urusi taarifa hii hatuwezi kuichukulia maanani kivyovyote vile ni kama tu taarifa za kwamba Urusi imepoteza wapiganaji laki mbili, au urusi imebakiwa na chakula cha siku tatu, au urusi inaishiwa makombora, au Majenerali wengi wa Urusi wamefia Ukraine Nk.
Dalili za kuwa hizi ni propaganda ni, moja, wanaotoa taarifa za loss kwenye jeshi la Urusi wanaclaim wako 'independent' lkn hapohapo hawatoi taarifa za loss kwenye jeshi la Ukraine. Ilitakiwa watuambie Urusi amepoteza kiasi kadhaa na Ukraine kapoteza kiasi kadhaa ili tupate picha halisi ya nani anapoteza zaidi. Je, Unaweza kutuonesha wapi Oryix wametaja kiasi cha vifaru vya Ukraine vilivyopotea hadi sasa!? Kama hawajatoa za Ukraine kwa nini!? Ina maana wao wako commited kuhesabu tanks za urusi zilizoharibiwa tu bila ya kutilia maanani za Ukraine!?
Mbili, Hakuna uwiano mzuri wa namba zinazotolewa na hivyo vyanzo, mf. Taarifa ya Oryix kuhusu vifaru vya Urusi imenukuliwa na WSJ lkn kuhusu vifaru vya Ukraine WSJ wamenukuu taarifa ya IISS ambapo wamesema Ukraine imepoteza kati ya vifaru 450 mpk 700 huku vifaru 950 vikibakia operational. Sasa kama Ukraine wamepoteza vifaru 700 tu na Urusi 2000 inakuwaje Ukraine ndio anaomba apatiwe vifaru kutoka west!? Ukraine hajapoteza hata nusu ya vifaru alivyokuwa navyo kama kweli 950 bado vinapiga kazi lkn urusi tyr ameshapoteza zaidi ya nusu Logic ni kwamba Urusi anapoteza kwa speed kubwa zaidi ya Ukraine na hivyo angepaswa yeye kuomba na sio Ukraine maana kama ataendelea kupoteza kwa kasi ileile basi ataishiwa kbl ya Ukraine. Cha ajabu Ukraine ndio analalamika kutaka apatiwe vifaru zaidi.
Tatu, Mashambulizi yanayofanywa na urusi na mafanikio yake hayaungi mkono madai ya kwamba Urusi amepoteza zaidi au anakaribia kuishiwa. Mf. Kwenye mashambulizi ya juzi Ukraine wanasema urusi amerusha hypersonic 6 hii si dalili ya kuwepo na makombora ya aina hiyo 30. Una makombora 30 na production imesimama alaf kwenye shambulio la siku moja tu unarusha 6 kwa mpigo!? I am not buying! Kuzingatia level ya technology na ugumu wa kuzalisha hayo madude na umuhimu wake na hofu ya kuwepo na further escalation.
Nne, mnataka kutuhamisha kwenye jambo la msingi ambalo ni ushindi kwenye uwanja wa vita. Wakati Ukraine wamefanikiwa kdg kwenye counter offensive yao mwaka jana hakukuwa na taarifa nyingi za Urusi kapoteza tanks ngapi au risasi ngapi bali taarifa za kukombolewa miji ya Kharkiv na mingineyo na jeshi la Ukraine ndio zilitamalaki. Sasa hv hakuna progress yyt ya maana ambayo wanaifanya so wamerudi kureport habari za vifaru, ndege, makombora nk. ambazo Urusi amepoteza. Sisi hatusahau msingi ni progress kwenye uwanja wa mapambano na wala sio nani kapoteza nini wala nini. Km unapoteza vifaa kdg lkn kwenye mapambano umezidiwa unapigwa haina maana. End of the day Urusi wanareport kuchukua kijiji after kijiji after mji after jiji Ukraine wanareport loss za vifaa kwenye jeshi la Urusi kana kwamba wao lengo lao ni kulitia hasara jeshi hilo hata kama linazidi kuchukua maeneo ya nchi yao zaidi. Lets get back to the main agenda. Territory!!! Urusi atolewe Ukraine au Ukraine atolewe East Ukraine. Sio vifaa wala silaha.
Wangekubali kubutuliwa kwenye command center control na air defence zao kuchakazwa hata kupeleka vifaru vyao vya abram na leopard wanaogopa mwisho tunasikia Poland amepeleka lakini hatuvioni NATO waoga balaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sasa si waende.wanasubiri nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo Russia nilikua naiogopa sana, ila kwa hiki wamefanyiwa na kainchi kadogo hapo, nimewaona wa hovyo sana, mnapaswa mhamie kwa Kim Korea.Russia ni muziki mwingine. NATO hawajajihusisha?!! Nani kakwambia; Vikwazo, silaha, training, military advisers, mercenaries, military surveillance/Intel vyote hivyo wanatoa kwa Ukraine lakini mbuyu-Russia ndo unazidi kuwakaanga kwa Kinzhal kwenye bunkers.