kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Fupa gumu hiloUkraine's top military leaders are determined to face down the Russian onslaught in Bakhmut, President Voldoymyr Zelenskyy said.
He discussed Bakhmut with the military command, who told him they were unanimously in favour of defending the eastern sector that includes Bakhmut.
"There was a clear position of the entire general staff: Reinforce this sector and inflict maximum possible damage upon the occupier," Zelenskyy said in his nightly video address.
Bakhmut has been the site of months of intense fighting with Russia pushing to take control of the area in Ukraine's Donetsk province.
Although it would provide a stepping stone for Russia to advance on two bigger Donetsk cities, Kramatorsk and Sloviansk, many analysts have repeatedly said it has little strategic value.
"I think it is more of a symbolic value than it is strategic and operational value," US Defense Secretary Lloyd Austin said earlier this month.
Valerii Zaluzhnyi, the commander in chief of Ukraine's armed forces, however, disagrees.
"The defensive operation in (Bakhmut) is of paramount strategic importance to deterring the enemy. It is key for the stability of the defense of the entire front line," he said during the meeting with Zelenskyy.
======================
Bakhmut bado pagumu
Ni vyema majeshi vamizi yarudi kwao, mazungumzo ya amani yafuate ili hivi 'vita vya wazimu' vifike mwisho.
Alafu tukiwapa takwimu jinsi warusi wanavyochinjwa wanakuwa wakali, wakati uhalisia wa mambo unajionesha!!Mwezi Ujao Russia imesema itaajiri Wanajeshi 400,000
Haya wale wafia Urusi kazi hizo hapo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na watapigika haijawahi kutokeaBado ni Story tu hizo
Na Kama wanajiamini Waingie tu mzigoni Ili tujue tu Dunia Imeishia hapo
maana Sio wao wala Nani
Awamu hii Moto utakuwa Mbaya sana
Hao ni lazima wawe raia wa Urusi au nchi zinazozungumza kirusi.Mwezi Ujao Russia imesema itaajiri Wanajeshi 400,000
Haya wale wafia Urusi kazi hizo hapo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama Russia analeta askari wapya it means wale wa zamani wameshachinjwa au kutiwa vilema, just simple,Kwa taarifa hao wapya au ingizo jipya litakumuisha makundi kama wagner na chenchen brother na wengine ambao tayar wanauziefu wa kijeshi na vita pia
Kwa tz unachukua kk security wale au suma jkt unawaingiza jeshin
Wanaanza ajiri April hivyo watu wanaoipenda Urusi wajiandae kwenda?Alafu tukiwapa takwimu jinsi warusi wanavyochinjwa wanakuwa wakali, wakati uhalisia wa mambo unajionesha!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii ndio analysis ya mtu mwenye mawazo ya kiwest west[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Russia analeta askari wapya it means wale wa zamani wameshachinjwa au kutiwa vilema, just simple,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
PoleHii ndio analysis ya mtu mwenye mawazo ya kiwest west[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati tukisubiri wajuzi waje kutuhabarisha, mtazamo wangu ni kuwa yale mafuta hayakuwa sababu ya kuanguka. Bali mafuta yalitumika kuwarahisishia kujua wapi ilidondokea.Wakuu, kwa mtu mwenye uelewa wa haya mambo, inakuaje mafuta ya Jet yanaangusha drone? Kuna Mechanism gani hapa inatumika, anayejua atoe maarifa kidogo.
Safi huko NATO hajafa hata mmojaJana walichinjwa zaidi ya mia Tisa 🥱🥱🥱View attachment 2552436
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivi unafikiri USA wako tayari kurisk kuvitanua zaidi hivi vita? Kuna baadhi ya mambo ambayo RUSSIA anajizuia sana kuyafanya na ndio maana hii aniita SMO.Hivi juzi kuna Jenerali mmoja wa RUSSIA karudishwa nyumbani kwa sababu alitoa tamko kuwa njia sahihi ya kuimaliza hii vitu ni kuusambaratisha kabisa mji wa KIEV kama ambavyo NATO huwa wanafanya kuwa intimidate wagomvi wao kwa overwelming use of force of destruction.Lakini URUSI wanaihitaji UKRAINE ikiwa katika hali nzuri iwezekanavyo katika hali hii ya mapambano.Usisahau kuwa kuna asilimia kubwa sana ya waukraine wanamafungamano ya kindugu na Urusi.Kama mwakumbuka, nilisema hapo awali kwamba US na NATO watatengeneza tukio ambalo litapekelea kuhitaji Ukraine kupewa ndege za kivita za F-16.
Marekani kuna sintofahamu kwa wananchi kwamba hawakubali kuunga mkono moja kwa moja vita na Russia.
Hiyo AUV ya Marekani ilikuwa ikiruka umbali wa maili 6000 kutokea kituo cha kijeshi cha NATO na US na ilikuwa ikiruka umbali wa maili 75 kutoka kisiwa cha Crimea. Pia Marekani hawajakataa kwamba kifaa cha mawasiliano kwenye hiyo AUV yaani "transponder" kilizimwa.
Ukizima "transponder" wamaanisha kwamba katika ujasusi wa kuchungua eneo la adui yaani surveiilance hutataka kujulikana wataka kuchukua picha za eneo la adui kugundua amejipanga vipi, vifaa vyake vya kijeshi na masuala mengine mazito.
Na kwa kuwa Russia waliona AUV hiyo yajongelea anga lake pale Crimea kama taifa lililo vitani Russia hawakuwa na jinsi bali ni kuidungua hiyo AUV.
Ili kuweza kufanya mashambulizi ya kimkakati dhidi ya Russia yanoitwa "Spring Offensive" Ukraine wahitaji sana hizo picha za satelite na za "Surveillance" kuweza kuwa na mashambulizi yenye kutoa ipnact kubwa.
Mida hii yaelezwa kwamba kuna maseneta wapenda vita tayari wazoza kuhusu kutuma ndege za F-16 jambo linoashiria kwamba sasa Marekani na washirika wake wapo tayari kwa vita kamili ya angani na Russia lakini bila kutuma vikosi vya ardhini nchini Ukraine kama walivyokubaliana na Russia.