Mkuu nashangaa? Biashara ya Urusi kujitolea kuacha vifaru 500 njiani kwa matumizi ya jeshi la Ukraine? Ukiamua kutumia lugha isiyo na akili wala hekima ya "shoga" - je una msingi kwa takwimu yako? Siyo ushoga una historia nzuri na ndefu nchini Urusi?Yeah bishara ilishaisha kabla ya kifurushi cha kwanza toka kwa Shoga US.
Hebu rudia swali lako hili mara Tatu ili nijue kua wewe soi Robot.Wakipata mabaki ya droni, italeta faida gani kwa nani?
Mkuu tayari umeshaingia kwenye mtego,hutoboi.Mkuu ni typing error, usahihi ni 96 hours
Wauza kahawa hua hawabishani,ila wanywa kahawa.Nyinyi wauza kahawa bado mnabishania haya maigizo
Ziko wapi kwa sasa?
Kazi ya Manguli ilishafanyika, sasa ni wakati wa vijana kumalizia masalia uwanja wa vita.Dogo utakuwa huna kumbukumbu. Nashauri pitia tena uzi utaona mwanzo ulikuwaje. Nyie pro russia wa sikuhzi mmeibukia tu watoto wa juzi.
Mwanzo mwa huu uzi kulikuwa na wachambuzi manguli wa Pro russia wa jukwaa la kimataifa wakitamba na nguvu za Urusi sikuhizi wote wamekimbia mmeachiwa nyie wanywa kahawa vijiweni na waomba Mungu msojua lolote.
Pole kwa kutokujua kinachoendelea na usipende kuingilia mijadala ya mambo ambayo huyafahamuMkuu kama ni hivyo basi sawa, kwa hiyo Ukreine ipo chini ya Putin na operation imekwishs?
Waaacha we so na kile kilichokua kikifanyika Afghanistan kwa miaka 20 haikuwa Operation kama US wanavyodai bali vita kamili dhidi ya wavaa kobazi na mwamba kuambulia kamasi au sio 😉...Mkuu nilisema 'a week' kwa kuwa ulitaka usahihi ndio nikakuambia alitarajia within 96 hours, tatizo lipo wapi? Mkuu hakuna operation ambayo haina muda, na huwa operation huchukua muda mdogo na sio miaka. Nadhani sasa utaelewa
Kama Paa limeezuka basi haitakua ndani itakuwa kwa pembeni tu hapo... eishiii kwani week 1 kitu gani we jamaa wa 96 ha ha ha dah...Siku 96 ipo ndani wiki moja?????
Mkuu ulipata ngapi mtihani wa hesabu?????😆😆😆😆😆😆
Wakenya bhana. Huwa wananichekesha sana. Siku hizi 24/7 wamo JF, hii ni kwasababu these guys are jobless.Wewe jiulize mbona Urusi imekwama, hata mpaka sasa imeshindwa kufumua hata kamji kadogo tu kama Bakhmut, HIMARS chache tu basi.
Poa mkuu, salama lakini????Kama Paa limeezuka basi haitakua ndani itakuwa kwa pembeni tu hapo... eishiii kwani week 1 kitu gani we jamaa wa 96 ha ha ha dah...
MR MAJANGA habari ako Mkuu
Mama, kwa hiyo unasema Putin alikuwa anawatisha tu Ukreine!! Kweli kupenda wakati mwingine ni ugonjwa. Hivi una habari kuwa leo Putin yupo kwenye mazoezi makubwa akishikisana na China na wengine! nalo hilo ni kumtisha Ukreine. Mama muda utazungumzaNdugu..
Kama unaongelea vifaru vya ule msafara wa Km.60 ,ulifika nje ya mji wa Kyiv, ukakaa kwa siku kadhaa kisha Ukaamriwa urudi kuelekea Belareus, baada ya hapo yakaendelea mapambano Donbas..
Kimsingi ule msafara ulikuwa ni wa kuwatisha tu Ukrane, kwani lengo la urusi ni Donbas tu hana shida na nchi nzima ya Ukrane..
Hata ukisikia wameshambulia Kyiv wanapiga zile bases za majeshi ya ukrane, au maeneo muhimu yanayosaidi front kule Donbas..
Mkuu Cliff, mimi nawaona ni washabiki tu, mwenye akili hawezi kung'ang'ani jambo bila yeye kulitolea ukweli wake. Aidha fahamu kuwa humu tunapeana elimu pia. Nijitoe ili iweje? Mimi nakupa hoja inabidi na wewe kupinga hoja hiyo kwa hoja bora zaidi na si kubisha tu.. Mlikuwa mnasema Putin yupo peke yake; nikawaambia wapo wengi pia maana huo ni uwanja wa majaribio ya silaha zao.Mkuu tayari umeshaingia kwenye mtego,hutoboi.
Omba poo tuepushe kujaza saver.
Umo kwenye 18 zao Sasa hivi.
Wewe Hawa pro Russia huwawezi wako vizuri sana upstairs.
Jitoe mwana kulinda heshima Yako ndogo iloyobaki.
Hatare, me kila siku niko apa huwa napita nasoma comments nachekea tumboni life goes on. Wanasema ukishindwa kubadil usichokihtaji kizoee tu.Poa mkuu, salama lakini????
Kuna watu wanatema mashudu hadi Mimi naona aibu 😆😆😆😆
Kuna kizazi kipya cha Pro NATO yaani mpaka unajuuliza huyu yupo sawa hapo kwenye bati lake???
Mkuu naona na wewe ni wale wale. Hoja yangu nimeimalizia kwa kukuuliza kwamba "vita imeisha? " badala ya kujibu hoja wewe unaleta blabla tu.Pole kwa kutokujua kinachoendelea na usipende kuingilia mijadala ya mambo ambayo huyafahamu
Tumekekwisha wazoea hawa wanatumika kisiasa kutekeleza matakwa ya Merikani, wanacho sahau ni kwamba wana deal na a Super power not some banana Republic ambazo US imezoea kuzi- bulldoze.
- Russia has committed a wide-range of war crimes in Ukraine including wilful killings, systematic torture and the deportation of children, according to a report from a UN-backed inquiry published on Thursday.
- The report by the Independent International Commission of Inquiry on Ukraine was released a year to the day after the Russian bombing of a theatre in Ukraine’s south-eastern city of Mariupol that killed hundreds of people
- Its head said the team was following the evidence and that there were “some aspects which may raise questions” about possible genocide.