Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu muda unakwenda kasi sana, hilo limeshajibiwa kitambo. Leo watu waiingalia ICC inaendeleaje.
 
Wanajeshi wa Urusi saa zingine ni kama wajinga fulani,wao kila saa wanatembea kama kumbi kumbi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanajeshi wa Urusi wako wapi hapo.ebu nionyeshe na mimi niwaone maana naona video game hapo sioni mwanajeshi wala kifaru, au wenzetu mna macho 12.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa nin unaamin huyo ni mzungu???

Usihadaike na hizo mbwembwe zake za uandish

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Kwahio wanataka kumkamata Trump na kumuweka ndani? Kosa lake ni nini au kuwa mrengo wa Putin[emoji1787]
Wanamkakat wa Biden wameshtukia kuwa uchaguz ujao wanatembelea kucha


Kwa namna upepo unavyovuma Trump anakimbiza balaa ndan ya chama chake na hilo ni tatizo kwa upande wa Babu



Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…