Huu ndio uungwana sio wale mashetani wanaotupa mikopo na kudai kwamba masharti yake ni kuanzisha kampeni za kufeeranaRussia imetangaza kuifutia African countries deni lenye thamani ya zaidi ya $20bil.
Pia Russia imetangaza kuipatia Africa ngano bure kupitia.
Pia imetangaza kuipatia mbolea bure.
Hayo yamesemwa leo na President Putin kwenye kikao na viongozi wa Africa.
Bora Russia anatuletea mbolea ili African countries ziongeze uzalishaji wa kilimo na kujitegemea kwa chakula kuliko wale jamaa wanaotuletea vilainishi ili kuongeza idadi ya ma LGBTQ.
Kweli leo niimeamini Russia ni masikini sana.View attachment 2559530View attachment 2559533
Ukitambua kuwa Ukraine walikuwa ni best army kuliko nchi yeyote ya NATO na wenyewe viranja USA wamekiri hilo hutashangaa kwanini wana Pose changamoto sana kwa superior guerilla fighters wa Urusi. They inflict some pain to the Russian Army but they can never defeat it completely. Hii hata Shoga yenu mwandamizi Biden analifahamu.Mkuu usichanganye vita na muziki. Ukitaka tamasha ni vema kupiga ngoma kwa muda mrefu. Ukiwa vitani hutaki kupiga unataka kushinda. Kumbe unaona Bakhmut ni mafanikio makubwa ya jeshi la urusi kwa sababu wanapiga Ukraine tangu miezi mfululizo??
Watu wa kawaida wanaona hapa udhaifu wa jeshi kubwa linalojaribu kuteka mji mdogo tangu miezi bila kufaulu hadi sasa.
Binafsi nashangaa kwa nini Warusi hawakumaliza bado, lakini basi . . .
Hahahahahah anataka US atubu kwanza.Sijui kwann Putin anamchelewesha uyu kenge[emoji3063]
Alisikika Askari polisi mmoja toka ZanzibarWataruka ruka mpaka mwisho,lakini dictator Putin lazima afikishwe the Hague kujibu mashtaka
Huyu siyo polisi,ni mgambo wa kijiji
Akajibu mashtaka yepi ? Na kwa kipengele kipi aweze kushtakiwa mna yy hayumo kwenye iyo mahakamaWataruka ruka mpaka mwisho,lakini dictator Putin lazima afikishwe the Hague kujibu mashtaka
Mkuu uwe unajielimisha kidogo,mahakama ya ICC ni ya dunia nzima uwe mwanachama au laa,maadamu umefanya makosa utawajibishwa kwa mujibu wa sheria.Kutokuwa nchi mwanachama kunafanya tu mahakama kukosa nguvu kwenye nchi hiyo,lakini mtuhumiwa ukikanyaga nchi mwanachama wa ICC unaruhusiwa kukamatwa na kufikishwa the Hague.Akajibu mashtaka yepi ? Na kwa kipengele kipi aweze kushtakiwa mna yy hayumo kwenye iyo mahakama
Atayebisha hapa ni mwenye matatizo ya afya ya akili pekee.China and Russia don't have 'power' of United States, White House says
US National Security Council spokesperson John Kirby has been speaking at a White House news conference in the last hour, during which he was asked about the extent to which China and Russia were challenging the global influence of the US.
"No other nation in the world, none, has the network of alliances and partnerships that the US has," he said.
He went on to reference the 10th Ukraine Defence Contact Group meeting hosted by the US, each one of which he said had been attended by representatives of more than 50 nations.
"That's the power of American convening leadership. And you don't see that power out of Russia and China," he said.
"These are two countries who do not have that same network of friends and partners.
"And one of the reasons why you're seeing that tightening relationship [between China and Russia] is because they recognise that they don't have that strong foundation of international support for what they're trying to do, which is basically challenge American leadership around the world."
Mr Kirby also told reporters that China was still considering providing lethal aid to Russia.
He urged Mr Xi to speak to Volodymyr Zelenskyy about the impact of the war on Ukraine.
"We encourage President Xi to press President Putin directly on the need to respect Ukraine's sovereignty and territorial integrity. The world and China's neighbours will certainly be watching closely," he said.
The Chinese and Russian leaders seemed to be connected in "a bit of a marriage of convenience" rather than one of affection, Mr Kirby said.
"These are two countries that have long chafed at US leadership around the world," he said.
John Kirby speaking at the White House todayAP
Ukraine war - latest: China and Russia don't have 'power' of US, White House says - after Putin's Moscow talks with Xi; 'mysterious' explosion destroys Russian missiles in Crimea, Ukrainian intel says
Aisee!Jamaa wanyama haswa,acha Ukraine wapate tamu ya wanaume Russia.[emoji23][emoji23][emoji23]VIDEO
Kuna Askari Mmoja wa Ukrein Aliwahi Kuhojiwa Kuhusu Vita
Jamaa alisema Hawa WAGNER
Nihatari yaani Nikama Mizimu inayo Fufuka haina Uoga Na Anajiuliza Hajui wanapewa Vitugani !!
Angalia Hii video Hawa watu Nihatari yaani Mashine Inatema Rocket yeye nduo kwanza Anapiga Gitaa juu yake
Wana mzuka Balaa
Ndio maana West wana wagwaya hawa watu ni Mizimu
MUNGU IBARIKI URUSI
URAAAAAAAAAAAAAAAAA
View attachment 2559073
Mkuu uwe unajielimisha kidogo,mahakama ya ICC ni ya dunia nzima uwe mwanachama au laa,maadamu umefanya makosa utawajibishwa kwa mujibu wa sheria.Kutokuwa nchi mwanachama kunafanya tu mahakama kukosa nguvu kwenye nchi hiyo,lakini mtuhumiwa ukikanyaga nchi mwanachama wa ICC unaruhusiwa kukamatwa na kufikishwa the Hague.
Lengo lao ukrain ni kusubirishia NATO zikusanye pakacha la kushambulia kutoka lgtb society,(NATO ni kakikundi kakijeshi na kamati ni politicians wa hiyo society ya hawa jamaa lgtb, na pro-NATO ndio bango lao la 'Ads')Mkuu usichanganye vita na muziki. Ukitaka tamasha ni vema kupiga ngoma kwa muda mrefu. Ukiwa vitani hutaki kupiga unataka kushinda. Kumbe unaona Bakhmut ni mafanikio makubwa ya jeshi la urusi kwa sababu wanapiga Ukraine tangu miezi mfululizo??
Watu wa kawaida wanaona hapa udhaifu wa jeshi kubwa linalojaribu kuteka mji mdogo tangu miezi bila kufaulu hadi sasa.
Binafsi nashangaa kwa nini Warusi hawakumaliza bado, lakini basi . . .
Russia imeanza kuigeuzia kibaao USA na icc Kwa kutoa hati ya kumkanata balozi wa USA icc , (USA itakuwaje na mwakilishi kwenye taasisi ambayo haiitambui? ) Na pia itamkamata jaji alieweka Saini kuidhinisha hati hiyo.
[emoji96] The Russian Federation will issue arrest warrants for the US Ambassador to the ICC (strange that the US would have an ambassador in an organisation it does not recognise), who initiated the case against President Putin and the ICC judges who signed the illegal warrant.
@NewResistance
Ndugu unafikiri kuanguka kwa dolar ya USA na kuinuka kwa nyingine kutafanya nchi zingine ziendelee? Huoni kwamba mtego ni ule ule anashuka uyu anainuka yule na yule anayeinuka lengo ni kutawala vile vile! Dunia hawezi kwenda bila kuwa na kiranja hilo sahau na halipo habari za Brics na ushirikiano wa Russia na China ni kutaka kuangusha tawala moja ili nyingine inuke na kutawala + kunyonya. Russia anaitaka hela ya mchina na Mchina anataka mali asili za Mrusi.Mara nyingi sana hili swala Putin ameliongelea,yani kiufupi USA ni kama kupe nyie mnagangaika huko kuzalisha halafu yeye anakuja kula tu kwa mrija.
Kwa maana hiyo Taifa lako hata uwekeze kiasi gani,kama USD itaendelea kutumika kama medium of exchange internationaly itakuwa ndoto kumpita USA kiuchumi.
China alikuwa ampite USA kiuchumi siku nyingi sana,kutokana na sababu hiyo inakuwa vigumu.Naona China na Russia wameigundua na wanatak kuiondoa