Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Somehow nikukatishe kitu bro,

Kwenye trading hasa hii ya foreign exchanges (Forex) kuna kitu inaitwa trade pair.

Pair ni just between two, ya tatu ni uongo.

Lel say tunabadil Mtama na Mchele, kwamba 4Kilo Mtama kwa 1 Kilo Mchele. Hii is what we call Trade Pair.

Kutoka kwenye maelezo yako hapo juu ni kama umetaja trade pair zaidi ya moja

Kwamba TSH/USD

then USD/INR

Mwisho ndio iwe TSH/INR

Hilo binafsi nasema linawezekana kwa kuzungumzika tu ila practicality ni zero na kitu ambacho hakiwezekani. Kila pair ulio taja ina involve fees.

Ukituma TSH to someone in India inakuwa exchanged moja kwa moja to Indian Rupee INR bila kuipeleka to USD first. Kinachofanyika online ni kama kinachofanyika manual kwenye zile Bureau Exchange zetu za kawaida.

Kwani ulishawahi kwenda Bureau Exchange unataka fedha ya kenya wakabadilisha kwanza to dollar then wabadilishe tena to KES ndio wakupe? Si kweli.

The exchange to USD, I mean trade pair ya TSH/USD Itafanyika if and only if utakua unahitaji dollar unless utakua na jambo lako binafsi.

Nikupe mfano mwingine wa kuelekezana hili kwa mapana. Hope bank umeingia mara nyingi... zile rates umezisoma sana ukutani. Always bei ya kununua na bei ya kuuza iko tofauti. Bei ya kuuza ikiwa chini huku bei ya kununua ikiwa juu. Sasa hiki kishike vizuri af tutumie number kuupima mtizamo ulio nao.

Kubadili TSH to USD means unafanya ununuzi so bei itakua juu... lel say ni 15 kwa 1. So kama unahitaji 10 utakua umetoa 150TSH ili upate USD hizo 10. Then uje awam ya pili kuzitoa hizo 10 USD kuzipeleka katika Rupee... USD to INR. Maana ake itakulazimu ufanye ununuzi wa mara ya pili ambapo napo bei itakua juu. Na of course hii ni biashara kichaa hakuna bank inayoweza kufanya hivi.

That's why leo hii unawezs open bank account ya currency tofauti tofauti zaidi ya moja. Mfano unaweza ukawa na account ya bank in Tsh only, ama ukawa na account with Multi currencies like Euro, Yuen, Ruble, USD etc. Main purpose ya account kama hizi ni ku'hold values na kuepuka exchanges fees when you need them.

Kwa mfano wale wenye shughul za mara kwa mara nje ya nchi akiwa na account yake lel say in Yuen hahitaji kuingia gharama za Exchanges akiwa China.

So instead zipo trade pair kwa kila currency ya nchi duniani kote. Hata leo hii ukifika tu mpaka wa Rwanda, unaweza badil fedha zako za TZ upate za Rwanda bila dalal wa kati anayeitwa dollar. Sio lazima uwe na Dagaa ili uweze fanya mabadilishano ya Nazi na Maharage.

It's not that hard to ditch away mdudu dollar, na haijaanza jana wala juzi. Ilianzia kitambo tu Europe wenyewe tangu kuanzishwa kwa EURO, before that US dollar ilikuwa na global share of almost 90%, 1999 ilishuka hadi 71%... 2021 ilikua inasoma 57% na kwa mwendo huu yajayo yanafurahisha.

Hapa bongo tuna msemo wetu, mbwa ukisha mjua jina hakusumbui. This is what China and Russia wanamfanyia US... Wanamjua nje ndani. United State sio taifa la kale enzi za akina Nuh, ni la juzi tu. Ni taita ambalo lime take Global Power baada ya Vita ya pili ya dunia na kuanguka rasmi kwa USSR. Hapa tusisungumzie akina nani walio kua behind those two world war!

In short they know much zaidi ya kile tunachokiona nje. Umegusia Petro Dollar, umesahau au unakumbuka ila umepotezea kujiuliza how "Petro-dollar" imekuja into existence.

Unasema kila kitu lazima kinunuliwe kwa dollar, maybe its true... but why we are forced to do so? Of course ni ku-keep demand high ili aongeze supply kwa ku-print more dollars afanyie shughul zake. In some case you don't need to say terms kama "Stable", "Trust"... It's a joke, unasemaje "Trust" ilihali unapigwa pini ukienda kinyume na matakwa ya mhusika?

Anyway usiku umekwenda niweke kituo nikalale zangu 💤💤💤💤
 
Mkuu, siwezi kutambua kwamba Ukraine ni "best army" kuliko nchi yeyote ya NATO.
Lakini nina swali: ukimwita Biden "shoga", je unataka kumtukana tu au una sababu yoyote kuamini yeye ni shoga? Ukiwa na sababu, nashukuru ukieleza kifupi "shoga" ni nani na jinsi gani yule babu Biden anapaswa kuitwa vile.
(najaribu kuelewa siri ya lugha hiyo kuhusu NATO au "magharibi" kuwa washoga, LGBT na kadhalika)
 
Mkuu kuwa serious!jeshi la urusi halipigani ukraine wakati tumeona mpaka majenerali wanapotea.
mkuu mwaka jana kuna mobilization imefanyika 300000 soldiers.
mkuu mimi sipo kishabiki.pia sina upande.nipo katika uhalisia!
sijasema RUSSIA haipigani nimesema RUSSIA haipo vitani ipo kwa SMO


Mobilization ilifanywa kwenye vita hua hakuna partial mobilization kama waliofanya RUSSIA

Kwenye vita kunakua na totally mobilazation kama walio ama wanayoifanya UKRAINE

Walitangaza wazi kwamba kila mwanaume kuanzia miaka 10s mpaka 60 basi wewe nimwanajeshi na upo vitani jambo ambalo RUSSIA hujaliona sababu walichukuliwa watu maalum wenye vigezo maalum ila UKRAINE walipitia wote maadam ukiwa Me

Tunaona mpaka sasa watu wanakamatwa mitaani wanalazimishwa kupigana

Mipaka UKRAINE ilifungwa ila RUSSIA hujaona hili siku ukiona RUSSIA wanafunga mipaka na kutangaza vita uje hapa tupeane yatayojiri

Mimi Team RUSSIA nisie naupendeleo kwenye uzi huu nasema ukweli nnaoujua
 
Mkuu nakumbuka kwamba nilitaja changamoto ya kifizikia kutumia roketi ya hypersonic pamoja na rada ambayo inahitajika kulenga kwa umakini hasa kama lengo inasogea. Nilirejelea makala iliyomtaja mtaalamu mmoja -
Jinsi ilivyo mara nyingi, hakuna aliyejaribu kujibu hoja. Badala yake lugha ya kawaida kuhusu "propaganda ya NATO" au "wamagharibi". Ukipenda kujadili - angalia Putin's 'invincible' missile has a very common problem
 
Mkuu mimi naona kama kutangaza au kutotangaza general mobilization inategemea na strength za adui na mazingira ya mgogoro(rejea armenia-azbaijan war)
 
Spana za hatari. Kudos
 

Yaani uko umefika mbali, watu wengi hawana uelewa na geopolitics na hawajui katiba ya Russia.

Katiba ya Russia kwa upande wa Raisi ni sawa sawa na Tanzania, kwani Raisi ni nembo ya Taifa (symbol of state), ukimkamata Raisi wa nchi hiyo maana yake umeikamata nchi hiyo. Ukimkamata Putin kwa katiba yao maana yake umeikamata Russia [emoji635], hiyo ni moja kwa moja act of War ndo maana Russia wapo kwenye mchakato wa kutoa warrant of arrest kwa majaji waliohusika kupitisha hiyo hukumu maana umetishia kuikamata Russia kwa katiba yao.

Raisi ni taasisi na siyo mtu, kwasasa Putin ndio raisi hivyo anakuwa ni taasisi, any attack to Putin, is an attack to the state, na hii ni sawa sawa na katiba ya North Korea [emoji1188], ndo maana mpaka kesho akuna atakaye thubutu kumuua Kim jong Un, maana itakuwa vita, coz an attack to Kim Jong Un is an attack to the state.
 

The tyrant who was the cause of chaos and mayhem in many parts of the World has finally died?The White House has issued an EMBARGOED Soros DEATH Statement​

21 MARCH 2023

The White House has issued an EMBARGOED statement expressing condolences to the family of George Soros on his death. It is not clearly known when this was written. See the copy below.
I have noticed a SPELLING ERROR in the Embargoed item below, but believe it or not, spelling errors from the Dimentia Joe Bidens' White house are quite common.

There are other, confirmed news from several people saying "It's has been a tough winter," said a close family friend, "He has not been feeling well and has deteriorated significantly over the last few weeks."

Despite this EMBARGOED Press Release however, I CANNOT confirm George Soros has actually died.More updates as I get them.For Americans and people around the World there will be a thigh of relief.The man has been the cause of suffering of humanity by his contravercial actions behind the scenes.
 

Well said
 
Heee...wewe ni mjinga.....namaanisha huna maarifa ndugu....
 
Mkuu hapana.ukraine hakuwa best kijeshi kuliko member yeyote wa NATO(unamaanisha US,UK,france nk nuclear armed stete)
hapana mkuu jaribu kuchunguza tena.tena now nchi hizo ndio zinampa vifaa advanced vya kivita.
Urusi na Ukraine ni walewale tu...yaani Ukraine ni kama Russia mdogo..characteristics za warusi, kijeshi ni almost the same tu, silaha n.k..Hivyo Ukraine naye sio wakubezwa hata kidogo..kwa vinchi vya kijinga Ulaya huko anafyeka tu
 
PUTIN nilishakukataza kutishia united kingdom, sasa endelea na mikwara yako mpaka pale damu zitakapotoka masikioni ndo utajua wewe ni kenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…