Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Sidhani kama kusawazisha fedha ni sahihi zaidi kuliko kuegemeza fedha. Hoja yangu ilikuwa kuwa kuna nchi kadhaa zimeegemeza fedha zao kwenye dollar ya Marekani na nchi hizo siyo chache kiasi kwamba ikawa ni rahisi kuachana na matumizi ya dollar kwenye kusawazisha fedha za dunia na kuhamia kwa mfano kwenye Yuan ama Rubuli ya Urusi.Kama ni Currency pegging ni kuweka fixed exchange rate ya pesa ya nchi dhidi ya pesa ya nchi nyingine!
Kwenye maelezo yako,sijaona kama hii ni hoja ya utetezi uliokuwa unataka kuumanisha!
Halafu kiswahili chake rahisi inaweza kuwa kusawazisha sarafu!
Mfano TZ na India vilipoingia bilateral agreement,TZ haijaikacha Dollar!Ila imeamua kufanya biashara na India Kwa kutumia currency zao tu!Sidhani kama kusawazisha fedha ni sahihi zaidi kuliko kuegemeza fedha. Hoja yangu ilikuwa kuwa kuna nchi kadhaa zimeegemeza fedha zao kwenye dollar ya Marekani na nchi hizo siyo chache kiasi kwamba ikawa ni rahisi kuachana na matumizi ya dollar kwenye kusawazisha fedha za dunia na kuhamia kwa mfano kwenye Yuan ama Rubuli ya Urusi.
Ni kweli lakini unadhani wingi wa biashara (Volume) kati ya Tanzania na India unategemeka zaidi kuliko wa India na Marekani? Jee ubora wa bidhaa zinazotarajiwa kununuliwa na India Tanzania na kinyume chake, utakuwa sawa na ubora wa bidhaa toka Marekani kwenda India ama India kwenda Marekani? Utaona kwamba India na nchi nyingine zinajaribu kuifanya Afrika kuwa soko lake jipya dhidi ya soko la Ulaya na Marekani. Hii ndiyo ile Profesa P.L.O Lumumba anaiita "Neo - Scramble for Africa!!!Mfano TZ na India vilipoingia bilateral agreement,TZ haijaikacha Dollar!Ila imeamua kufanya biashara na India Kwa kutumia currency zao tu!
Hii inapunguza uhitaji wa dollar,kama mataifa mengi yakiona njia hii ni salama zaidi,yanafanya hivyo!
US tokea aifanye Dollar kuwa silaha,mataifa yameanza kuchukua tahadhari kwenye utegemezi wa dollar!
Nani ameshatumia nyuklia kati ya shoga marekani na urusi. Na nyuklia ni silaha ikibidi inatumika tu.Urusi ndiyo huwa inatishia kila wakati kutumia Nyukilia kila wakati inapozidiwa.
Hivi ushoga upo Marekani tu?? Mimi tangu nakua nawajua mashoga katikati ya jamii yetu watanzania. Dar es salaam angalau kila eneo kuna shoga maarufu anayefahamika. Jengeni hoja na siyo kila wakati mnajificha kwenye kichaka cha kuutaja ushoga!!Nani ameshatumia nyuklia kati ya shoga marekani na urusi. Na nyuklia ni silaha ikibidi inatumika tu.
In kibatalas voice😀Allen Kilewella nakuomba ujibu swali langu.
Tumuombe Mh Jaji amlazimishe kujibu.😀Nimekuuliza kuhusu Yugoslavia au hujui kuhusu YUgoslavia?
Safi sana.Good answer. Sasa huyu USA aendelee kuwatesa wengine kwa kuwapiga Nuclear au kuwepo na balance of power?
Wenye kuzimiliki hizo silaha hawawazi kama wewe hivi unavyowaza!!Na nyuklia ni silaha ikibidi inatumika tu.
Usimjibu yeye.Ningeweza kukujibu na kukuelewa connection kati ya hii SMO na kufisika kwa western economy (including banking industry).
Sema siwezi kwa sababu ya mambo yako ya kuleta ubishani wa kitoto.
Good analysis.Hakuna asiyetaka Marekani kuwa na nguvu. Ndiyo maana Urusi aliondoa silaha za Nuclear huko Cuba.
Marekani lipewa nafasi ya kusaidia dunia katika Currency kwamba dunia itumie $ kama currency ya kuuziana kwenye international business.
Lakini cha kushangaza USA na washirika wake wameifanya dollar kuwa silaha. Sasa unataka huyu aendelee kujitanua na kunyanyasa watu?
1. Vietnam aliua watu wengi
2. Yugoslavia
3. Iraq
4. Afghanistan
5. Libya
6. Syria
7. Somalia
Sasa mwenzetu unataka USA asiweze kufugika?
Ni kweli volume inaweza kuwa ndogo ukilinganisha na ukubwa wa mataifa hayo mawili!Ni kweli lakini unadhani wingi wa biashara (Volume) kati ya Tanzania na India unategemeka zaidi kuliko wa India na Marekani? Jee ubora wa bidhaa zinazotarajiwa kununuliwa na India Tanzania na kinyume chake, utakuwa sawa na ubora wa bidhaa toka Marekani kwenda India ama India kwenda Marekani? Utaona kwamba India na nchi nyingine zinajaribu kuifanya Afrika kuwa soko lake jipya dhidi ya soko la Ulaya na Marekani. Hii ndiyo ile Profesa P.L.O Lumumba anaiita "Neo - Scramble for Africa!!!
Ukweli ni kwamba miaka mingi sana nchi mbali mbali zimeona siyo sawa kutegemea sana Dollar kwenye kufanya biashara. Lakini ni ukweli pia kwamba mpaka sasa bado dollar ndiyo inayotegemewa zaidi kwenye kufanya biashara kati ya nchi na nchi kuliko aina nyingine za fedha!!
Usijitoe ufahamu pro natoNilichojibu hujakielewa!!??
Akimaliza hili somo, tayari atakua mtaalamu kabisa wa hizo mambo😀Wewe mdogo wangu. Nataka kukufundisha kwa kukuuliza maswali.
Do you know Foreign Exchange Rates?
Do you know main types Foreign Exchange Rates?
Kichumi "Volume of Trade" haikuzwi kwa utashi wa kisiasa bali uzalishaji. Ukiziangalia nchi nyingi zinazotegemewa na yale mataifa yenye kutaka kubadili mkondo wa matumizi ya Dollar kwenye biashara, zenyewe uchumi wake uko shaghalabaghala.Ni kweli volume inaweza kuwa ndogo ukilinganisha na ukubwa wa mataifa hayo mawili!
Lakini nchi nyingine zikichukua mkondo Huo na zikafanya hivyo hivyo Kwa kufanya biashara na India,Huoni volume ya trade inaweza kuwa kubwa?
Ni kweli Bado dollar inatumika sana world wide lakini demand ya dollar inapungua taratibu!
Mpaka Sasa dollar Iko around 60% share ya world currency reserve!
Huko nyuma iliwahi kufika 90%!
Inakadiriwa kushuka belowa 50% in the near future!
Mkuu kiufupi hakutakiwi kuwa na fedha mmoja yenye nguvu,sababu Nchi moja fedha yake ikitumika ku-facitate international trade duniani unaipa hiyo Nchi advantage za kiuchumi mwishowe anakuwa mkubwa mpaka anaota mbawa na kuanza Ku dictate mambo na vitu vya ajabu against Nchi zingine ndicho anachokifanya USA.Okey,, Sasa hii inayosemwa semwa kuwa kila nchi ifanye biashara kwa fedha yake bila mzani wa fedha moja yenye nguvu unaizungumziaje?