Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuahagaika kwote huko kwa nini, nani kawambia Russia ina lego la kuzivamia Nordic Countries kwanza ili afahidike nini??

Sisemi wasiwe na joint Airforce yao hisiyo tegemea Merikani, kwanza hilo ni wazo zuri sana, lakini binafsi naliona kama ni mbinu fulani za kutotaka kupewa amri kutoka Merikani - hili la kusema joint airforce hiyo ina lengo la ku-counter airforce ya Urusi naona hicho ni kisingizio tu - wanajua Urusi inataka kuelewana na kuwa na mahusiano mazuri na majirani wake wa Ulaya -lakini Amerika ndio mara zote utaka ku draw a wedge between Europeans and Russian for the sake of US wanting to dominate Europe for her own good not Europeans, wants her military to stay put in Europe indefinitely huku akiwasingizia Warusi - yeye mbona anaishi vizuri na Mexico na Canada kwa nini Merikani hataki Warusi waelewane na majirani zake.
 
Habari ya ushoga imeambatanishwa na haki za binadamu ambayo ipo kwenye katiba yao; haki za binadamu si sera ya chama kimoja ni sera ya taifa.
 
Since February 24, 2022, the UN Human Rights Monitoring Mission in Ukraine has documented 621 cases of enforced disappearance and unlawful detention of civilians by the russian armed forces.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna civilians ukrain, wote Zelenskyy alisema wote ni lazima wabebe mtutu wampige Urusi
 
Kama haupo kwenye kundi la wenye akili huwezi kuwatambua walio na akili. Inawezekana Russia wanaona Zelensky hana akili, lakini hata wao wanajua ndani kabisa ya nafsi zao, kuwa jamaa ni shupavu, muadilifu na muaminifu kwa wananchi wake!!
Muadikifu anakamata Kwa nguvu vitoto na kuvipeleka Frontline!
 
Hizo nchi zoote Marekani Alienda KUTETEA UHAI Ambao madkiteta sugu walikuwa wanauchezea!
Kwanini asifanye alichofanya Uchina kati ya Iran na Saudia? Umeona silaha pale?
Lkn unafaham fika US alipeleka silaha Saudia...ili ampige Iran, hapohapo akampiga vikwazo Iran
Umeona mgogoro wa China na kisiwa chake cha Taiwan? US amepeleka silaha Taiwan
Umeona Korea kusi na Kasiskaz? Miaka ya karibun walikua wamepatana vizur tuu na kuanza kutembeleana, US kikamuuma akaanzisha vurugu upya

US hapend uwe na utulivu..akiona una utulivu anakuletea habar za wanaume nchini kwako lazima muoane, ili tuu ukasirike ugomvi uanze akupige vikwazo

So unataka hadi tufe wote ndio nawewe ufurahi? Au wewe ni agent wa shetan kama alivyo US
 
[emoji1038]Austria will fulfill its obligations as a party to the Rome Statute and will arrest and extradite Putin to the ICC if he decides to come to the country, the country's Foreign Ministry said, Ukrinform reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️The Ukrainian government is launching mass production of drones in Ukraine, Digital Transformation Minister Mykhailo Fedorov reported.

"This is a historic decision that could bring our victory closer," Fedorov said.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#stoprussia
Russian invaders are unsuccessfully trying to advance in the Kupiansk, Lyman, Avdiivka, Marinka and Shakhtarsk directions; the enemy is conducting an assault on the city of Bakhmut and holding the defense in Zaporizhzhia and Kherson regions.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
President of #Ukraine Volodymyr Zelensky has held a meeting with the #WorldBank delegation led by Vice President for Europe and Central Asia Anna Bjerde.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#stoprussia #warcrimes
Seven children were returned to the #Kherson region after being forcibly taken to occupied Yevpatoria by Russian invaders.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mpaka wajichange kama VICOBA😆😆 against 1 country!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…