Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Labda Nikuulize swali moja Allen Kilewella, kwa uelewa wako, sababu za huu mgogoro wa Russia na Ukraine ni nini? Kwa maana ya chanzo cha huu mgogoro hasa ni nini? Nini kimepelekea Russia kuanzisha SMO hapo Ukraine?Zelensky anapambana na wapumbavu wa dunia wanaodhani uendawazimu ni kitu cha kusifiwa. Mwendawazimu kadhani anaweza kuweka vibaraka wake Kyiv aliposhindwa kazusha vita ya kipumbavu kabisa. Zelensky amekuwa ni kama daktari kwa wendawazimu waliotopea kwenye ulevi wa madaraka.
🇺[emoji1218]🇷[emoji1131]Iran launch another rocket attack on US military base in Syria , heavy casualties reported.
Umemuuliza swali gumu sana huyo kilaza. Subiri majibu ya kilazaLabda Nikuulize swali moja Allen Kilewella, kwa uelewa wako, sababu za huu mgogoro wa Russia na Ukraine ni nini? Kwa maana ya chanzo cha huu mgogoro hasa ni nini? Nini kimepelekea Russia kuanzisha SMO hapo Ukraine?
Kama mimi mjinga basi wewe zezeta zwazwaKama unabisha alicho andika huyo ...basi wewe utakuwa mjinga kamili ....hivyo ni vyombo vya kutumia kupigana na nchi za ulimwengu wa tatu tu
Kuna mahali nimesema kwamba mambo ya ushoga ni jambo la kisheria na siyo suala la Taifa la Marekani kuunga mkono hilo jambo. Na hoja hii imetokana na kesi waliyofungua wanapigani ndoa za jinsia moja kwa msingi kwamba ni kwa nini ndoa za jinsia moja zisiruhusiwe. Woa wanahoji ni nani kasema ni lazima watu wa jinsia tofauti ndiyo waone?Habari ya ushoga imeambatanishwa na haki za binadamu ambayo ipo kwenye katiba yao; haki za binadamu si sera ya chama kimoja ni sera ya taifa.
Humu kwenye huu uzi nilishaweka kwa urefu historia ya huu mgogoro. Tafuta bandiko hilo utaona maelezo yangu!!Labda Nikuulize swali moja Allen Kilewella, kwa uelewa wako, sababu za huu mgogoro wa Russia na Ukraine ni nini? Kwa maana ya chanzo cha huu mgogoro hasa ni nini? Nini kimepelekea Russia kuanzisha SMO hapo Ukraine?
Kwa sasa huu uzi uko na post zaidi ya 110,000 sio rahisi kutafuta kitu kilichokua posted miezi iliyopita.Humu kwenye huu uzi nilishaweka kwa urefu historia ya huu mgogoro. Tafuta bandiko hilo utaona maelezo yangu!!
Ngoja nilitafute.Kwa sasa huu uzi uko na post zaidi ya 110,000 sio rahisi kutafuta kitu kilichokua posted miezi iliyopita.
Nikumbushe bandiko lako lilikua post namba ngapi? Au lilikua na heading inasomekaje? Au lilikua tarehe ngapi?
Kabisa BOSS west nisehem ndogo sana ya hii DUNIAPoa mwamba.tuendelee kuwa toa watu kwenye utumwa wa kifikra kua west ndio Kila kitu.
Wafaransa wanahitaji regime change MAKARONI nchi ilishamshinda muda sanaKinacho Endelea Ufaransa Nihatari
Ingelikuwa Africa au Arab
Vilaza na Mazuzu ya Kibera Yange jaza Saver za JF
Tutawalaani mashoga woote pamoja na munaowasapotiNakubaliana na wewe lakini Republican wanaona si sawa mtu kuwa shoga ila shoga akiuawa na wao hulaani mauaji ya huyo shoga. Ila kama haki fulani fulani zinatamkwa kisheria basi hakuna budi kutekelezwa hata kama aliyeko madarakani ni Republican.
Watapigwa mpaka wachakae hao MAGAIDI wa KIUKRAINEJana jeshi la Ukraine lilitoa taarifa kuwa vikosi vya WARUSI vimeondoka kwenye mkoa wa Nova Kakhovka.
baada ya taarifa iyo Wanajeshi wa Ukraine wakawa wanajikusanya ili wavuke mto waingie Nova kakhovka, Kumbe Warusi wanawangalia tu wanachotaka kufanya.baada ya kuwaona wamejirundika kwa wingi ndo likatumwa mwana ukome kama lile lililochimbua military banker na kisha kuondoka na viongozi wa Nato.
Baaba ya wanajeshi wengi wa Ukraine kwenda na mma jioni yake ikabidi wakane ile taarifa waliyoitoa kuwa vikosi vya Warusi vimeondoka Nova kakhovka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabia ya US kuwapa wenzie majina mabaya ili iwe justfiction ya yeye kuwapiga kwa vikwazo na west wenzie tushaichoka..saivi hata angewaita autocracy autopilot automanual atajua yeye na shoga zake...safari hii atajua hajui[emoji298][emoji298] U.S. Secretary of State Antony Blinken called Russia's autocracy and full-scale aggression against Ukraine a direct and acute threat to the national interests of the United States.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sirikali hainapesa hawawez achana na huo mpango labda ije sirikali mpyaAisee,huyo Macron Si achane na Huo mpango wa kuongeza Umri wa kustaafu kutoka 62 to 64 years!
Jeneza [emoji16][emoji23][emoji16]Acha ushamba kasome doctrine ya mapigano ya kisoviet( Military doctrine ).
Halafu utajua kwa nini hajawekeza kwenye hilo jeneza linalo Elea.
Waambieni CCM wavunje urafiki na Democratic!!Tutawalaani mashoga woote pamoja na munaowasapoti
Braza kipanya hajaziona lait km angeziona angetujuza tu[
Hebu fikiria Kama hii hali Itokee China au Urusi au tanzania tu
Afu bbc jiulize in
Amenusurika wapi? Wamepiga pemben kumshtua arudi kwenye ubinadamu, wamemuonyesha wao wanatetea haki na sio kuua..wamemchukua kama PoW....tuonyesheni za ukrain wanawahurumia wanadamu wenzao, zaidi utaskia wanachochea warusi itengwe na dunia waishi dunia yao...kwa kauli hiyo haishangazi alipokua anaua warusi waliokua wanaishi huko Donbas na kwingineko...wale walioko pale sio waukrain halisi ndio maana wana roho mbaya kama hitler.Mbona kombora limepiga pembeni... Amenusurika
Hayo maandano ya pension reform yana uhusiano gani na vita?Serikali za nchi za west Nyingi Zitaangushwa/anguka kutokan na kujarbu kumbana putin lakn wanajiban mbavu wao wenyew