Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna mahakama iliyokuwa juu zidi ya kiongozi wa nchi.mahakama izo zipo 10 tu katika dunia nzima.
Mke wa mugabe alimchapa mtu hapo hapo south na mahakama ikatoa warrant wa kuzuiwa na mwisho wa siku karudi Zimbambwe bila shida yoyote ile.

Ni mahakama gani Duniani inalipa mishahara Askari polisi na wanajeshi.kama hamna unategemea polisi au wanajeshi watatii mahakama na kuwaacha viongozi wao wanaowalipa mishahara.
 
Mkuu hakika sijaleta blogu ya serikali ya Urusi. Propaganda tumepata ya kutosha, na blogu za serikali - hasa wakati wa vita- ni propaganda, kama ni Urusi au Ukraine.
Uhaba wa vipuli - nadhani unajulikana. Ndiyo wanachukua kutoka China maana wanajaribu kupata kila mahali, mara nyingi kwa njiapanya maana walijiharibu vyanzo vyao katika magharibi.
Namba ulizoonyesha huko juu (bila kutaja chanzo - je uliogopa??) ukilinganisha na namba za uharibifu zilizothibitishwa kwa picha - basi tayari umepata maelezo kwa nini wameanza sasa kuchukua T 54-55 kutoka maegesho.
 
Kuna base za Marekani hata kifaru kimoja hamna.alafu ndo useme unaanza kupigwa kwenye izo base[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ebu kuwa serious kidogo
 
Non-Proliferation of Nuclear Weapons
US aondoe alizoweka German, Turkey na kazibe masilo/maandaki ya Nuclear aliyojenga huko Greece!!
===
Njia Rahisi ya kuelewa msimamo wa Russia juu ya hizo silaha kupelewa Belarus ni kusoma Nyaraka mbili muhimu ambazo Russia aliwatumia NATO, na EU kabla operation demilitarization and denazification of Ukraine haijaanza.
 
Bla bla nyingi ili kuonesha unajua mambo lakini kuhusu ile drone haikutumwa kupiga hapo umechemka.

Lengo ovu hata kupeleleza ni lengo ovu.
 
Russia's intention to deploy tactical nuclear weapons in Belarus is a violation of the Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
The same thing and scenario For russia it's illegal but for usa and it's allies is legal.
For this double standard of westerners thus why we choose to stand with russia.
 
Unaponunua gari ili utafute vipuli basi ni lazima lianze kufanya kazi.vifaru vya Urusi ambavyo vipo active(tayari kwa vita ni zaidi ya elfu 10).bado anaendelea kutengeneza na bado anaendelea kufanya upgrage ya baadhi ya vifaru kama T-64, T-72, T-80 na pia kuna upgrade na T-90 japo bado ni vya kisasa.

Urusi kwa miezi mitatu hii ukiangalia kama wamepoteza vifaru vingi basi ni 300.maana yake kwa mwaka wana uwezo wa kupoteza vifaru 1200.ndo maana Medved kasema kwa kila mwaka vifaru vipya 1500 vitakuwa vinatengenezwa na vile vya zamani vitaendelea kufanyiwa upgrade ili kwenda na wakati.

Urusi hata akikaa miaka 8 pasipo kutengeneza vifaru vipya na bado hatoitaji kutumia T-55 maana T-80 zipo, T-72 zipo na T-64 Zipo.

Kuna T-62 hatumii kabisa leo hii aje kutumia T-55.wakati T-62 ni bora na kipya kwa T-55. Na T- 62 anavyo vingi tu kwenye store
 
The same thing and scenario For russia it's illegal but for usa and it's allies is legal.
For this double standard of westerners thus why we choose to stand with russia.
Mkuu, Warusi walipojaribu kutembelea Kyiv safari iliyopita walitangulia kurusha mabomu na grenedi. Labda kama wangepiga hodi bila mabomu wangeruhusiwa kutembelea?
 
Kwanza unatakiwa ujue kuwa jumla ya viwanda vyote vya silaha vilivyokuwa ulaya ni sawa na viwanda vilivyokuwa Urusi.Urusi ndo nchi yenye viwanda vingi vya silaha hapa duniani.
 
Muongo.

Ulaya kwa sasa bei ya gesi ni 43$

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu hujui kweli au unafanya mzaha, weka source ya taarifa Yako hebu poke hiki kitu ulaya wanalia acha matani

The effect of anti-Russian sanctions on the European
Union

The picture shows the revenues of the European Union's gas suppliers in 2021 and 2022. It can be seen that the EU as a whole "overpaid" $270 billion [In 2021, it was $120billion and in 2022, it was $390 billion]
Current Gase price is $978 per 1000 cubic meter

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

#source
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Soldiers with the Ukrainian State Border Guard Service have used mortars to attack an area of concentration of Russian assault soldiers from the so-called "Wagner Group" in #Bakhmut, Donetsk region, eliminating at least 15 mercenaries.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#NATO has condemned the Kremlin's nuclear rhetoric as "dangerous and irresponsible" after Russia's statement on its intention to deploy tactical nuclear weapons in #Belarus and its continued nuclear threats against Ukraine and the collective West.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…